Mabibi na mabwana tuna cha kujifunza hapa:
Fact Sheet: President Biden to Announce All Americans to be Eligible for Vaccinations by May 1, Puts the Nation on a Path to Get Closer to Normal by July 4th | The White House
Habari yenyewe ni kuwa:
1. Marekani kuchanja wote kufikia May 1.
2. Marekani kuwa Corona free by July 4.
Haya si malengo ya kutia moyo kwetu kujifunza?
www.bbc.com
Kwao pia rais ka sign muswada wa stimulus package kumfikia kila mtu:
Sisi vitu vyote, sema: mafuta ya kula, sukari, kodi, petrol, diesel, hata oil za magari nk bei juu!
Hatuna habari tuna janga.
Kwanini miradi mikubwa isisimamishwe tukahakiki usalama wa maisha yetu sote kwanza?
Hivi kweli nani baina yetu ana uhakika na kesho kwa jinsi tunavyo chukualia poa?
Ninawasilisha

Covid pandemic: Biden eyes 4 July as ‘Independence Day’ from virus
In his first prime-time speech, the US president says he is boosting efforts to vaccinate Americans.