Yanga SC ya leo na ukubwa wake wote ilitakiwa ionyeshe chumba cha mfano cha wachezaji wake au jengo zima lililokamilika tayari?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Tukiwa tunawaambieni kuwa tumieni Akili zenu vizuri katika kufanya (kutenda) mambo muwe mnatuelewa ila bahati mbaya mkisemwa (mkisilibwa ) kwa Upuuzi wenu huwa mnanuna (mnatununia) hapa. Hivi kweli kwa Ukubwa na Ukongwe wa Klabu ya Yanga leo hii ilikuwa ni ya Kuita Waandishi wa Habari na Kuwaonyesha Chumba cha Mfano cha Wachezaji wake?

Kama Yanga SC leo hii inatuonyesha Chumba Mfano kwa Wachezaji wake je, Klabu kama Ihefu na nyinginezo Changa zenyewe zituonyeshe nini? Na nilishangaa mno katika Aibu hii na Ushamba huu Kumuona Msomi mzima na Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Dkt. Mshindo Msola akizindua hiko (hicho) Chumba mfano.

Kwa nijuavyo na kwa Ukubwa wa Yanga SC nilitegemea jana kuona wanazindua ama Jengo lao Kubwa au wanasema kuwa wanakuja na Ujenzi mkubwa wa Jengo la Klabu yao pale Jangwani lakini imekuwa ni Kinyume. Na hata hicho Chumba mfano chenyewe kilichozinduliwa jana kinatizama nje ambako kuna harufu mbaya ya Hewa na Kimazingira na Mafuriko yote yakija yanakuwa Kivutio cha Utalii kwa Wachezaji akina Sarpong na Fiston wakiwa wamelalia Magodoro membamba ya GSM.

Na Mimi All - Rounder nitakuwa nawasiliba (nawasema) hadi mbadilike na mkipatia pia nitakuwa nawapamba hapa JF vile vile tu. Mnivumilie tu.
 
Ni wazi kabisa,unaongea bila kuelewa unachoongea,ukubwa wa yanga ni upi?,wewe hujui kuwa yanga ni timu ya wananchi,ambao ndio mali yao na ili kuthibitisha hilo,wananchi wanajitolea kuijenga klabu yao,ubaya ni upi?,usomi wa mwenyekiti ni huo kwamba anawaita wanachama kuchangia kuijenga klabu yao,katika kipindi hiki ambacho,klabu ipo kwenye mchakato madhubuti wa kuujenga mfumo mzuri wa uongozi.Ukikosa la kuongea bora unyamaze
 
Hawa nyumbu wanateseka sana na yanga
Jaman mtuacheeeeee!
 
Ni wazi kabisa,unaongea bila kuelewa unachoongea,ukubwa wa yanga ni upi?,wewe hujui kuwa yanga ni timu ya wananchi,ambao ndio mali yao na ili kuthibitisha hilo,wananchi wanajitolea kuijenga klabu yao,ubaya ni upi?,usomi wa mwenyekiti ni huo kwamba anawaita wanachama kuchangia kuijenga klabu yao,katika kipindi hiki ambacho,klabu ipo kwenye mchakato madhubuti wa kuujenga mfumo mzuri wa uongozi.Ukikosa la kuongea bora unyamaze
Kutoka kua Yanga ya kimataifa hadi kua timu ya wananchi.
Yanga imeanzishwa 1935 haikuwahi kujiita timu ya wananchi. Hadi ilifikia kujiita Yanga ya kimataifa.
Hongera Utopolo mnajua kujishusha wakati wa njaa wala hamleti kiburi.
Sio jambo dogo utoke kujiita wa kimataifa hadi kufikia kujiita mwananchi kisa umefulia hauna Pesa.
NB. Chonde chonde kujishusha kwenu msije mkahama ligi, maana nasikia mlitishia kuwachia ligi yao.
 
Tukiwa tunawaambieni kuwa tumieni Akili zenu vizuri katika kufanya (kutenda) mambo muwe mnatuelewa ila bahati mbaya mkisemwa (mkisilibwa ) kwa Upuuzi wenu huwa mnanuna (mnatununia) hapa. Hivi kweli kwa Ukubwa na Ukongwe wa Klabu ya Yanga leo hii ilikuwa ni ya Kuita Waandishi wa Habari na Kuwaonyesha Chumba cha Mfano cha Wachezaji wake?

Kama Yanga SC leo hii inatuonyesha Chumba Mfano kwa Wachezaji wake je, Klabu kama Ihefu na nyinginezo Changa zenyewe zituonyeshe nini? Na nilishangaa mno katika Aibu hii na Ushamba huu Kumuona Msomi mzima na Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Dkt. Mshindo Msola akizindua hiko (hicho) Chumba mfano.

Kwa nijuavyo na kwa Ukubwa wa Yanga SC nilitegemea jana kuona wanazindua ama Jengo lao Kubwa au wanasema kuwa wanakuja na Ujenzi mkubwa wa Jengo la Klabu yao pale Jangwani lakini imekuwa ni Kinyume. Na hata hicho Chumba mfano chenyewe kilichozinduliwa jana kinatizama nje ambako kuna harufu mbaya ya Hewa na Kimazingira na Mafuriko yote yakija yanakuwa Kivutio cha Utalii kwa Wachezaji akina Sarpong na Fiston wakiwa wamelalia Magodoro membamba ya GSM.

Na Mimi All - Rounder nitakuwa nawasiliba (nawasema) hadi mbadilike na mkipatia pia nitakuwa nawapamba hapa JF vile vile tu. Mnivumilie tu.
Gentamycin Upo?
 
Yanga sio kubwa ila ni kongwe. Utofauti wa yanga na Ihefu ni yanga kuwa na mashabiki wengi baaasi. Thamani ya hilo jengo Ihefu wanaweza linunua.
hivi ukiachana na fedha za bwana Mohammed mikia mna nini cha kujivunia?
 
Ni wazi kabisa,unaongea bila kuelewa unachoongea,ukubwa wa yanga ni upi?,wewe hujui kuwa yanga ni timu ya wananchi,ambao ndio mali yao na ili kuthibitisha hilo,wananchi wanajitolea kuijenga klabu yao,ubaya ni upi?,usomi wa mwenyekiti ni huo kwamba anawaita wanachama kuchangia kuijenga klabu yao,katika kipindi hiki ambacho,klabu ipo kwenye mchakato madhubuti wa kuujenga mfumo mzuri wa uongozi.Ukikosa la kuongea bora unyamaze
Akili yako hii Mbovu imewakilisha 99% ya Akili Mbovu za Wanayanga wengi na ndiyo maana sikushangaa aliyekuwa Kocha wenu Eymael Kuwatusi.
 
hivi ukiachana na fedha za bwana Mohammed mikia mna nini cha kujivunia?

1. Wanachama na Mashabiki Werevu ( Geniuses ) kabisa
2. Mabadiliko makubwa ya Kiuendeshaji na hakuna Uswahili kama uliopo Yanga SC
3. Tuna CEO ambaye siyo tu kwamba ni Mrembo ( Mnyange ) bali pia ana uwezo mkubwa wa Akili kuliko Viongozi wote wa Yanga SC
4. Kikosi kipana ambacho kama kingepata nafasi ya Kucheza na Ken Gold iliyofungwa Goli 1 tu na Yanga SC yenyewe ingewafunga Magoli 47
5. Klabu bora katika Vilabu 20 bora katika Bara zima la Afrika
6. Klabu ambayo imeweza Kuifunga si tu Klabu Bingwa barani Afrika ya Ah Ahly bali imewafunga pia Matajiri wa Afrika Klabu ya Ah Ahly
7. Klabu ambayo thamani ya Wachezaji wake kwa sasa ni kuanzia Tsh Milioni 750 tofauti na wa Yanga SC ambayo wanaanzia Tsh 3,000/= tu

Kama kuna Swali lingine nalisubiri tafadhali kwani wengine kujibu Maswali ya Watu Utopolo ( Dhaifu ) humu Mitandaoni ndiyo Jadi yetu kabisa tu.
 
Mkuu wasifu mzito huu
Hebu usibishane nae
 
Nimeanza kufuatilia mpra nakumbuka kama sio mwaka 2001 bas 2002,kulikua na mech kat ya simba na yanga nakumbuka yang alikufa gol 4 moja sikumbuk wafungaj ila mwamuz alikua omar abdukadil kama sikosei, tokea apo sikuwai kusikia wala kujua kama simba inaombaga michango kwa mashabik wake au wanachama kama wanavyofanya yang simba inapitia kipind kigum ila viongoz na baadh ya wanachama wanajua wanapata wap ela mm sikuwai kusikia simba omba omba kama yanga
 
hivi ukiachana na fedha za bwana Mohammed mikia mna nini cha kujivunia?
Kwa nini uachane na fedha za bwana Mohammed wakati bwana Mohammed ni sehemu ya simba na si utopolo? Bwana Mohammed hajaikodisha simba kama alivyowahi kufanya Manji kuikodisha Utopolo. Klabu inakodishwa?..kweli utopolo hamna tofauti na mababu zetu akina Chifu Mangungo.
 
Hivi kwanini washabiki wa Utopolo wote wanatembea na silaha za jadi kila mahali,tujihadhari nao wamechanganyikiwa mbaya
IMG-20210218-WA0015.jpg
 
Nimeanza kufuatilia mpra nakumbuka kama sio mwaka 2001 bas 2002,kulikua na mech kat ya simba na yanga nakumbuka yang alikufa gol 4 moja sikumbuk wafungaj ila mwamuz alikua omar abdukadil kama sikosei, tokea apo sikuwai kusikia wala kujua kama simba inaombaga michango kwa mashabik wake au wanachama kama wanavyofanya yang simba inapitia kipind kigum ila viongoz na baadh ya wanachama wanajua wanapata wap ela mm sikuwai kusikia simba omba omba kama yanga
tumia akili kidogo kufikiri, kama yanga wanakusanya michango kwa wanachama wake hiyo sio misaada kwani ni wajibu wa mwanachama kutoa mchango kwa mujibu wa katiba ya club ya yanga, sio kama nyie lazima mkajikombe kwa mabeberu wa kihindi na waarabu kuendesha timu sababu wanachama wengi wa Simba ni masikini na mbumbu hawana hata plan B pindi timu unapokwama
 
Kwa nini uachane na fedha za bwana Mohammed wakati bwana Mohammed ni sehemu ya simba na si utopolo? Bwana Mohammed hajaikodisha simba kama alivyowahi kufanya Manji kuikodisha Utopolo. Klabu inakodishwa?..kweli utopolo hamna tofauti na mababu zetu akina Chifu Mangungo.
bora Mara mia timu ikodishwe kuliko hiyo Simba,bwana Mohammed anavyowafanyia kwani hadi Leo aeleweki kama ni mwekezaji au sponsor, yeye mwenyewe Mara kibao alishasema anachofanya ni kutoa msaada tu kwa Simba.
Nazani ndio sababu hata hiyo timu kashaifanya kama Mali ya familia yake mixer hadi michepuko yake anaipa vitengo anavyotaka, kwa ufupi bwana Mohammed kaokota dodo chini ya mwarobaini sababu hiyo timu kuanzia viongozi hadi mashabiki ni mbumbumbu
 
Back
Top Bottom