wote

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Mfano wa Wanaume wanaotufanya Wanaume wote Wakazi wa Dar es Salaam tuonekane 'Nyoro Nyoro' tupu

    Hivi kuna baridi gani kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam hii hadi Dume zima kila mara tena likiwa limejikunyata Chumbani linamuomba Mkewe amchemshie Maji ya Moto akaoge? Kuna Wanaume wengine ni Mayai Mayai ( Nyoro Nyoro ) hadi nikiwasikia wanafanya 'Upuuzi' huu wakiwa Makwao natamani 'niwaibukie'...
  3. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Bill & Melinda Gates watalikiana

    Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini. ===== Bill and Melinda Gates have announced their divorce after 27 years of marriage, saying "we no longer believe we...
  4. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hii ya CCM kuwa inawafagia watendaji wake wote bila kujali mafanikio yao inaweza kuwa Taasisi ya kwanza kwa ubora Duniani

    CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM nchi imeendelea kubaki salama hili limesababishwa na mfumo wa Chama kuwa imara CCM inaamini kwenye mfumo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siyo sahihi viongozi wote wakuu wa nchi kuwa mahali pamoja kwa wakati mmoja, ni hatari kwa Taifa

    Nimekua nafuatilia matukio mbalimbali siku hizi, mara nyingi unakuta viongozi wote wakuu wa nchi wakiwa pamoja wamelundikana pamoja kwenye tukio moja. Hii kitu haina afya kwa usalama wa nchi kwa sababu ikitokea dharura, nchi inaweza kuparalyse kwa sababu Line of Succession nzima inaweza...
  6. mama D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na Watanzania, hiki ni kipindi cha kumuombea sana Rais wetu Sami zaidi kipindi kingine chochote

    Tukiwa tunapitia kipindi hiki cha mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu wa nchi yetu ambayo hayakuhusisha uchaguzi. Watanzania tunatakiwa kusimama imara sana, tunatakiwa kuiangalia nchi na kuweka matakwa yetu binafsi kando, tunatakiwa kulinda tunu za taifa letu na kuweka itikadi zetu pembeni...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza awamu ya pili ya ajira 5000 za Walimu

    Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli. Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Polepole azungumza na waandishi wa habari akiwa na ulinzi wa wasaidizi wake wote wanawake

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake. Taarifa kamili inakuja.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Rais Samia ametuandalia futari Wabunge na Wafanyakazi wote wa Bunge siku ya Alhamisi 22/04/2021

    Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge. Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni Chanzo: Eatv Habari Ramadhan Kareem!
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Mojawapo ya Agenda muhimu kwa Bunge kujadili ni bima ya Afya kwa wote

    Iwapo bunge letu litajikita kwenye kujadili hoja basi tunayo hoja ya msingi sana ya kuijadili.Hoja hiyo inahusu bima ya afya kwa watanzania wote yaani universal health insuarance coverage. Tanzania lazima ijikomboe na kujitegemea katika sekta ya afya. mfumo bora wa afya unategemea matofali ya...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hitimisho: Wale wote waliopotea awamu ya 5 na hawakuonekana hadi sasa, waliuawa ama tuendelee kuamini kwamba wako hai ipo siku watarudi?

    Maana mpaka sasa hatujaambiwa lolote la maana na Jeshi la Polisi wala viongozi wa serikali , kwamba ni nini kimewatokea watanzania wenzetu hawa akina Bernard Saa Nane , Kanguye aliyepotezwa Kigoma , Azory Gwanda wa gazeti la Mwananchi na wengine wengi waliopotea kwenye mazingira ya...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Jeshi lijitathimini kuhusu uadilifu na uaminifu wake kwa Watanzania wote

    Ndg wanajamvi habari za jumapili. Niende kwenye mada moja kwa moja, “Jeshi lijitathimini” ndiyo Jeshi letu kwa macho ya nje limejivika vazi nzuri la uaminifu macho pa Watanzania wote lakini kwa ndani linapokuja suala la Ajira ndani ya Jeshi hasa hili tunaloliona la vijana wa JKT siyo Waaminifu...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kutoa Sadaka Maalum Kanisani ili kumuomba Mwenyezi Mungu atoe hukumu ya haki kwa wote waliohusika kuwabambikia kesi wanachadema

    Baada ya kutembelea Magereza kadhaa za Kanda ya Nyasa na kujionea lundo la Wanachadema wanaozidi 100 waliolundikwa jela kwa uonevu kwa makosa ya Uongo ya mauaji , uhujumu uchumi, Madawa ya kulevya, ujambazi na Utakatishaji fedha, Ile Taasisi ya vijana inayoongoza Barani Africa kwa sasa...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hapa sasa mnatukosea hata sisi ambao huwa tunapenda kuwatendea mema mnataka wote tuwe wahuni?

    Huyu dada nmeanza naye uhusiano baada ya kukutana naye Mlimani City. Tukale wote na kupata nafasi ya kufahamiana. Then nikamrudisha Chuo. Yupo hapo Chuo cha Ardhi. Last weekend akanambia yupo bored tu anatamani tupate muda wa kuwa pamoja.nikasema hewala baby unataka iweje akanambia niamue mimi...
  15. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Zuchu vs Kondegang wote

    Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah. Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla. REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG: VIEWERS WA IBRAAH 1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12 2...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya; hekima ni kuwaacha wote watoe hisia zao

  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari. My Take: Natengua msamaha...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi za kupeleka hela katika mifuko ya Watanzania wote

    Kwa kipindi cha miaka mitano asilimia kubwa ya watanzania katika ngazi mbalimbali yaani kuanzia ngazi ya wafanyakazi wa sekta binafsi , wamiliki wa sekta binafsi, wafanyabiashara, watumishi wa umma, wajasiriamali mpaka wanafunzi wa vyuo vya Juu makundi yote haya ilikuwa kila kukicha kauli kubwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mnayemlalamikia ni marehemu ameondoka na ushahidi wote - Tujenge nchi yetu tusikubali kurudi nyuma

    Ushahisdi umepotea msitafute kuwaonea wanyonge,aliepita alikuwa ni chuma cha puwa, ameondoka na ushaidi sasa makelele ya nini? Yaani kama ni kupiga ndio ameshapiga, sasa mtafanya nini? Hata mkiwapeleka mahakamani waliokuwepo watamtupia lawama marehemu si mahakama si wahusika wote aliwaweka...
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

    Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana? Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika. Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA...
Back
Top Bottom