Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli.
Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.
Taarifa kamili inakuja.
Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge.
Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni
Chanzo: Eatv Habari
Ramadhan Kareem!
Iwapo bunge letu litajikita kwenye kujadili hoja basi tunayo hoja ya msingi sana ya kuijadili.Hoja hiyo inahusu bima ya afya kwa watanzania wote yaani universal health insuarance coverage.
Tanzania lazima ijikomboe na kujitegemea katika sekta ya afya. mfumo bora wa afya unategemea matofali ya...
Maana mpaka sasa hatujaambiwa lolote la maana na Jeshi la Polisi wala viongozi wa serikali , kwamba ni nini kimewatokea watanzania wenzetu hawa akina Bernard Saa Nane , Kanguye aliyepotezwa Kigoma , Azory Gwanda wa gazeti la Mwananchi na wengine wengi waliopotea kwenye mazingira ya...
Ndg wanajamvi habari za jumapili.
Niende kwenye mada moja kwa moja, “Jeshi lijitathimini” ndiyo Jeshi letu kwa macho ya nje limejivika vazi nzuri la uaminifu macho pa Watanzania wote lakini kwa ndani linapokuja suala la Ajira ndani ya Jeshi hasa hili tunaloliona la vijana wa JKT siyo Waaminifu...
Baada ya kutembelea Magereza kadhaa za Kanda ya Nyasa na kujionea lundo la Wanachadema wanaozidi 100 waliolundikwa jela kwa uonevu kwa makosa ya Uongo ya mauaji , uhujumu uchumi, Madawa ya kulevya, ujambazi na Utakatishaji fedha, Ile Taasisi ya vijana inayoongoza Barani Africa kwa sasa...
Huyu dada nmeanza naye uhusiano baada ya kukutana naye Mlimani City. Tukale wote na kupata nafasi ya kufahamiana. Then nikamrudisha Chuo. Yupo hapo Chuo cha Ardhi.
Last weekend akanambia yupo bored tu anatamani tupate muda wa kuwa pamoja.nikasema hewala baby unataka iweje akanambia niamue mimi...
Lebo ya Kondegang ilianza Rasmi mwaka 2019 ikiwa na msanii mmoja ambae ni Harmonize baadae akamsajili Ibraah.
Leo nawapa mauzo ya nyimbo za Zuchu na Kondegang wote kwa Ujumla.
REPORT ZA YOUTUBE NA KONDEGANG:
VIEWERS WA IBRAAH
1. One Night Ibraah Ft Harmonize YouTube ina Viewers M 12
2...
Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari.
My Take:
Natengua msamaha...
Kwa kipindi cha miaka mitano asilimia kubwa ya watanzania katika ngazi mbalimbali yaani kuanzia ngazi ya wafanyakazi wa sekta binafsi , wamiliki wa sekta binafsi, wafanyabiashara, watumishi wa umma, wajasiriamali mpaka wanafunzi wa vyuo vya Juu makundi yote haya ilikuwa kila kukicha kauli kubwa...
Ushahisdi umepotea msitafute kuwaonea wanyonge,aliepita alikuwa ni chuma cha puwa, ameondoka na ushaidi sasa makelele ya nini?
Yaani kama ni kupiga ndio ameshapiga, sasa mtafanya nini? Hata mkiwapeleka mahakamani waliokuwepo watamtupia lawama marehemu si mahakama si wahusika wote aliwaweka...
Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana?
Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika.
Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA...
Ndugu Wana Jukwaa
Kuna maneno mengi yasioningia katika mizani ya akili yanayozungumzwa na watu hasa wenye asili ya Tanganyika kuhusu Zanzibar na Uzanzibari. Watu wamekuwa wakiunda historia ya zanzibar kutoka katika hisia na wivu wao binafsi. Historia ya kuunga unga vipande, historia isio na...
-Jana tarehe 7/4/2021, jarida la forbes lilitoa takwimu nzima ya matajiri katika dunia hii, japokua hua wanatoa kila mwaka lakini ya jana ilikua ngumu kumeza. Watu wengi hua wanapenda kujua tu nani anaongoza then baada ya hapo amemaliza yote anayojua kuhusu utajiri unaochapishwa na forbes...
Habari wakurugenzi..!
Kiukweli mama mpaka sasa hana slogan au msemo au kauli mbiu yeye kama rais .Maana yule alikuwa na hapa kazi tu 2015 na Kazi Iendelee 2020 .Vipi mama akiamua kuchukua ile "kazi na bata" mkamuazima mara moja mpaka miaka yake itakapokwisha 2025.
Mama kweli amekusudia...
Wasanii wabongo wasipofungua akili wataishia kwenda mahakamani kuvunja ndoa nakugawa riziki kidogo waliyojaaliwa
Nimemwona Ben Pol, nakumbuka kisa Cha Kiba, Hawa ni baadhi ya watu walioa kabla yakufungua macho kuona Nini Tafsiri ya ndoa
Naomba wasanii msikurupuke kuoa, wanawake wanawaza...
Waziri mkuu mh Majaliwa ametangaza hitimisho la maombolezo ya msiba wa hayati Magufuli na kwamba kuanzia kesho wananchi warejee katika shughuli za kawaida na kuchapa kazi.
Chanzo: ITV habari
Ukinizingua Nakuzingua!
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa.
Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri.
Sasa najiuliza, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.