Mufti wa Tanzania asema maadili ya Uislamu yanataka marehemu wote wakumbukwe kwa mazuri

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,384
2,000
Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguzwa na taarifa za kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021.

Amesema kwa maadili ya dini ya kiislamu marehemu anatakiwa kukumbukwa kwa mazuri. Hivyo ametoa wito kwa watanzania kukumbuka mazuri ya Rais Magufuli.

Aidha ameomba kuendelea kuomba dua ili atakayechukua nafasi ya Rais Magufuli ajaaliwe ‘taufik’ katika uongozi.
 

Phoenix

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
10,250
2,000
Asitupangie namna ya kuwakumbuka, ukifanya ubaya utakumbukwa kwa ubaya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom