Iwafikie wanaume wote wenye tabia ya kuomba kununuliwa BIA au POMBE bar

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,379
SIKU HIZI KUNA KATABIA NAKAONA BAR

Umeenda zako mahali unapiga gambe na meza imependeza anatokea jamaa kapendeza na kaweka ufungua wa gari kiunoni anajisogeza na bia yake moja story nyingiiiii badae unasikia nipe moja brother atakupa au utasikia brother napiga moja

Umenunua zako K Vant unapiga ado ado huyo na glass utasikia kidogo nataka kucheuwa mara k vant yako kubwa unakata

Halafu wanavitambi kweli kweli na vikaptula alafu ukimpa bia moja izzo sifaa sasa utasikia huyu jamaaa yangu kumbe hakujui hata akipigiwa au kupigia wenzake utasikia nipo sehemu flani na kiongozi, papa, au tajiri flani utaskia mh kuna gari ya milioni saba inakufa sasa

Huwa mi nawazimishaga sana.

KAMA HUNA PESA, KALALE
 
SIKUIZI KUNA KATABIA NAKAONA BAR
umeenda zako mahali unapiga gambe na meza imependeza anatokea jamaa
kapendeza na kaweka ufungua wa gari kiunoni anajisogeza na bia yake moja
story nyingiiiii badae unasikia nipe moja brother atakupa
au utasikia brother napiga moja


umenunu zako v vant unapiga ado ado uyo na glass utasikia
kidogo nataka kucheuwa mara k vant yako kubwa unakata


KAMA HUNA PESA KALALE
Mkuu hapo kwenye kuning'iniza funguo kiunoni ongezea wanakuwa na vitambi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom