wote

  1. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Mwanahistoria Anapokutana Njiani na Kizazi Cha Chief Marealle na Chief Maruma Wote Kwa Wakati Mmoja?

    INAKUWAJE MWANAHISTORIA ANAPOKUTANA NJIANI NA KIZAZI CHA CHIEF MAREALLE NA CHIEF MARUMA WOTE KWA WAKATI MMOJA? Kuna mengi yasiyofahamika katika historia ya uhusiano waliokuwanao machifu wa Tanganyika na raia wa kawaida. Halikadhalika na viongozi waliokuwa katika harakati za TANU za kupigania...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakongo wengi wanapendwa Tanzania na kuaminiwa zaidi ya majirani wote

    Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote. Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe. Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija...
  3. JamiiForums Tanzania Naoni yangu: Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini

    Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
  4. X

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU: Wanawake wote ambao wana msongo wa mawazo kwa sababu ya kutoolewa mkutane hapa

    Najua wengi wenu mlikuwa mna ndoto za kuolewa na wanaume wenye mali, matajiri na handsome men. Lakini sasa huenda mmeishia kuwa single maza na umri umesonga mmekuwa wasimbe (27+) au mishangazi Kumekuwa na ongezeko la single maza wenye 30+ humu jf wanaotafuta waume kwenye love connect huu ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Handsome boy kuliko wote jamvin

    Mzuka wanajamvi! adriz Joannah Lamomy binti kiziwi EEX
  6. JamiiForums Tanzania CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

    Friends and our enemies, 'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics). 'How you do anything,is how you do everything'...(Dante...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wasimama kijijini kutoa taarifa ya mwanakijiji aliyeshambuliwa na nyuki, wanakijiji wote wakimbia

    Ni kwamba polisi walikuwa wanapita na msafari wao tu. Mara, karibu na kijiji fulani, wakamuona mwanakijiji, aliyeonekana kama anatoka shamba, akishambuliwa vibaya na nyuki. Wakiaa hawana uzoefu wa hao wadudu, wakaona wasijihatarishe na wao bali wakimbie haraka wakawahabarishe wanakijiji wenzake...
  8. JamiiForums Tanzania Bodaboda wadai kulipwa ili waandamane, wamesema Wanasiasa wote wanawatumia

    Mwenyekiti wa bodaboda wilaya ya Ubungo Dar es Salaam, amesema kwamba baadhi ya vijana wake wa bodaboda walifuatwa na kuahidiwa kupewa mafuta na posho ili washiriki kwenye maandamano lakini kwa mujibu wake yeye alikataa kushiriki. ANGALIA VIDEO HAPA Source - EastAfricaTv
  9. JamiiForums Tanzania Ili kumpata Rais imara 2025- 2030 wagombea wote wa Urais bila kuwakilishwa wasimamishwe kwenye mdahalo live Kila baada ya miezi mitatu

    Ninaomba BBC iandae mdahalo wa masaa 3 Kwa wagombea wote wa Urais bila kuwakilishwa wasimamishwe kwenye mdahalo live KABLA hawajachukua fomu za kugombea Urais. Kuna wengine wanatumia watu kwawananchi yeye anajificha nyuma kuombewa kura. Wanaccm tunaomba mdahalo tena midaholo mitatu ...
  10. JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa wananchi wote kuhusu watoto ambao hawajafanya vizuri kidato cha nne

    Ni kweli wamefeli form four, wamepata four na zero.... kabla ya kuwalaumu tujiulize tulifanya jitihada gani kupunguza tatizo. Tuliwaonya walipokuwa wanakosea? Tuliwashauri? Tuliwasaidia mahitaji yao ya kishule kama Ada na mengineyo? Hatukuwatumikisha kazi zetu bila kujali umri wao na ratiba zao...
  11. JamiiForums Tanzania Iran imejitetea sana kwamba haikuhusika, na imewakana wote waliofanya mashambulizi dhidi ya USA

    Sasa wameachwa mayatima, Marekani inapiga, na hakuna mwenye uwezo hata wa kujifanya anajikuna, jana wamepiga maslahi 85 ya Iran huko nje......... Si Iran imewatelekeza? Iran denies involvement in drone attack on US in Jordan The Iranian government on Monday distanced itself from the kamikaze...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kukataa mabadiliko ya miswada 3 inayopigiwa kelele na wote ni wazi wana nia ovu. Watanzania tusikubali

    Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as opposed to natural science, na hivyo CCM inabidi ikubali matakwa ya wengi. Kuna mambo hayahitaji...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Lema aache wivu kwa Makonda, demokrasia iliona wote hawafai 2020

    Mwenyekiti wa UVCCM taifa ndg Mohamed Kawaida amemtaka aliyekuwa mbunge wa Arusha ndg Lema aachane mara moja na CCM pamoja na Makonda na badala yake ambane mwenyekiti kuhusu matumizi bora ya pesa za Chadema. " Nimekuwa namsikia Lema kwa siku kadhaa akimuandama mara kadhaa katibu wangu mwenezi...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Serikali ya Mtaa, Diwani, Mbunge na Rais wote CCM; vipi maendeleo mtaani kwako unayaona?

    Katika historia ya vyama vingi nchini, uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na uchauzi mkuu wa 2020 ulighubikwa na sintofahamu nyingi na kupelekea vyama vya upinzani kukosa uwakilishi wa kutosha ngazi ya Serikali za Mitaa na Bungeni. Wote tulishuhudia wagombea wengi wa vyama pinzani wakienguliwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake UWT tunajivunia Rais wetu Samia

    TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA 📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024 Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Katika hatua ya makundi AFCON, Aishi Manula ashika namba nne kwa ubora miongoni mwa walinda milango wote

    Mtandao wa Sofascore umetoa ubora wa walinda milango katika hatua ya makundi ambapo mlinda mlango wa Tanzania, Aishi Manula, amefanikiwa kuwa katika namba nne kwa ubora katika orodha ya walinda milango wote walioshiriki katika mechi za AFCON 2023 hatua ya makundi. Orodha kamili iko hapa:
  17. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027

    Sio vibaya kukumbushana...!!! Nipende kuwakumbusha ndugu zangu kwamba mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027, yaani hapo akitoka anaenda Ulaya, mbali na hapo ataichezea Yanga milele tena milele amina😀. Kuna Club moja ya Bundasliga inamhitaji lakini sitawaambia hamtaki kutunza siri...
  18. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 56,149 Wamepata Disivion 0 Kidato cha 4, zaidi ya Laki 2 wamepata Division 4

    Licha ya Takwimu za Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 zilizotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuonesha Watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu Mtihani huo, Watahiniwa 56,149 (10.64%) wamefeli kwa kupata Daraja 0. Pia, Jumla ya Watahiniwa 274,001 (51.94%) wamepata Daraja la 4 ikiwa ni...
  19. JamiiForums Tanzania Nawaombea baraka na neema za Mungu waandamanaji wote kesho Jan, 24

    Mwenyezi Mungu Abariki Mawazo, Maneno na Matendo ya waandamanahi wote, daima yawe ya ustaarabu, utulivu, ungwana, upendo na amani tangu mwanzo hadi mwisho wa maandamano yenyewe. Wasiohusika wasibughudhiwe, wasiguswe, wasilazimishwe kushiriki maandamano, wasizomewe wala kudhulumiwa chochote...
  20. JamiiForums Tanzania Wivu hausaidii ngoja niandike tu nilichojifunza kitusaidie wote

    Hakika naandika haya katika hali ya kuhakikisha kuwa tunatoka gizani na kuutazana ulimwengu katika mawanda mapana zaidi ya mazoea. Ninachakika tukitoka kwenye mazoea tutaitwa watu wa tofauti lakini tofauti hiyo ndiyo itakayotusaidia. Natamani sana kila mmoja wetu kufikia hatua ya kuacha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…