Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako.
Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya...
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itaanza kutumikia mwezi huu wa April 2024 katika tarehe itakayopangwa
=====
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya Mwisho wa Mwezi wa Nne...
VIJANA WA KIUME LAZIMA MUELEWE KUWA KUNA WANAWAKE WANAOWAZIDI KWA MBALI KIUWEZO IWE WA AKILI, UCHUMI NA MAONO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
NI kweli wewe ni mwanaume lakini elewa wapo wanawake wanauwezo zaidi yako. Hilo ukubali au ukatae lakini ndio ukweli huo.
Wanaume wengi hujikuta...
Habari ndugu zangu, nije kwenye hoja yenyewe nimeona Uzi wa cacutee nataka nimjibu kuhusu hii dhana walionayo ni kweli kuna wanaume wasiotulia na wapo pia ambao wametulia.
Zipo sababu za wanawake kudhani kuwa wanaume wote hawajatulia
Ni aina ya wanaume wanaodate nao, ni ngumu kudate na mwanaume...
Habari JF Kama ilivyo Kichwa Cha habari hapo Juu
Roho inauma sana Sijaona Hata kiongozi mmoja mwenye nyazifa kubwa Kuizungumzia Rufiji, wakati huu mapango wa mafuriko kama kule Bwana la nyerere walifungulia maji ili kunusuri Kuta kubaomoka,vipi mbona Hakuna hata hamamatsu yoyote Kuhusu watu Wa...
Salaam wana JF,
Wakati ndugu zetu waislamu wakisherekea siku kuu ya eid el fitri, natamani tujadiliane kidogo kuhusu swala la Bima yq afya kwa wote.
Kiukweli, nachukua fursa hii kuipongeza serikali kwa kuona umuhimu wa kuja na mpango wa bima ya afya kwa wote, maana watanzania wengi ambao...
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba kabisa , Freeman Mbowe , ambaye huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu za heri ya Eid El Fitri kwa Waislam wote Nchini na kote Duniani .
Hii hapa ndio Taarifa yake
Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna.....
Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama...
Antoine Griezmann ana watoto watatu na wote wamezaliwa April 8 miaka tofauti, hivyo basi leo wanasherehekea siku yao ya kuzaliwa.
Wakwanza ni Mia Griezmann alizaliwa April 8 ya mwaka 2016. Wa pili ni Amaro Griezmann yeye ni wa April 8 ya mwaka 2019. Wa tatu ni Alba Griezmann yeye alizaliwa...
BASHUNGWA AWAONDOA WATAALAM WOTE WANAOSIMAMIA UJENZI WA BARABARA YA KIBAONI - MLELE
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameagiza kuondolewa kwa wataalam wote wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya Kibaoni - Sitalike, sehemu ya kwanza ya Kibaoni - Mlele (km 50) kwa kiwango cha lami kutokana na...
Kumeibuka mabishano makubwa baada ya goli la Aziz Ki kuonekana halikuwa goli, hasira na ghadhabu za wanayanga ni za kiwango cha kimataifa, sijui ingekuwaje kama ngoma ingepigwa kwa Mkapa na matokeo yangeishia kwa Yanga kutolewa kwa penati.
Wapo wanaosema lile ni goli kabisa, limevuka mstari wa...
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?'
Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni hifadhi ya dunia yenye viumbe adimu, je wote wafagiwe na maji ? Halafu? Tusiogope kuomba msaada kwa...
Kama umeangalia hii mechi hutakuwa na sababu za kuhoji kwa nini goli la Yanga lilikataliwa.
Katika mechi hii ya ASEC VS AS du Tunis, mchezaji wa ASEC (POKU, km sijakosea) kapiga penaliti na mpira kugonga nguzo na kudundia ndani na kurudi nje lakini ule mpira ulikwa umeingia ndani 💯% na goli...
Mbunge Furaha Matondo Ataka Kujua ni Lini Bima ya Afya kwa Wote Kuanza
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote itatangazwa kuanza kutumika kabla ya mwisho wa mwezi huu wa Aprili kwa tarehe itakayotajwa.
Dkt. Mollel amebainisha hayo Aprili 3, 2024...
Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki.
Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe...
Kwanza kabisa ni kwamba mipango yote ya ccm inapangwa na watu walewale na kiukweli ccm haiwezi kutunza siri , taarifa ya Jokate, Mongella na Makalla nimevujishiwa jana saa 5 usiku, nilinyamaza tu kwa vile niliona labda kila mtu anajua kwahiyo haitakuwa habari, Kitendo cha Chama hiki...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakarabisha wananchi wote kutembelea banda letu katika uzinduzi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa 2024 utakaofanyika katika viwanja vya Chuo kikuu cha Ushirika wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro tarehe 2/4/2024.
Aidha TRA itaendelea kutoa elimu ya kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.