CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and our enemies,

'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics).

'How you do anything,is how you do everything'...(Dante Alighieri)

Wahenga wanasema kwamba 'Kazi ya polisi,waachie polisi' (Leave the police work to the police), same applies kwenye siasa,wapo wanaosema kwamba kazi ya siasa waachie wanasiasa,lakini tukisema tuwaachie wanasiasa hii siasa pekeyao bila hata ya sisi watawaliwa kutoa mitazamo yetu matokeo yake ni kulia na kusaga meno.

Makonda au Bashite ni yule yule,hajawahi kubadilika,the way anavyofanya harakati zake ni vile vile ambavyo amekuwa siku zote anazifanya tokea amefahamika na hadhira ya macho yetu.

Miaka kadhaa iliyopita kipindi akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,JIJI lile halikuacha kuwa na heka heka na pilika kila siku,leo aite mkusanyiko na wamama wajane,kusikiliza kero zo,,kesho yake aite mkusanyiko na boda boda,mtondogoo aite mkusanyiko na walemavu na kadhalika.

Na katika hiyo mikusanyiko yake yoote kipindi hiko kilichokuwa kinafanyika ni kama hiki anachoendelea nacho sasa (How you do anything,is how you do everything)

Kilichotofautiana ni kwamba kwa sasa amepata milege ya kuvuka nje ya boda ya himaya yake ya awali na amepata coverage ya kuzungumzia vitu vingi zaidi ili aweze kuendelea kuvuta attention na sympathy za watu.

Nimependa sana namna ambavyo CCM wenyewe wenye kujitambua walivyoamua kukaa kimya na kumuachia uwanja aendelee na harakati zake,na siyo CCM pekee hata VYAMA VYA UPINZANI,pamoja na kwamba Makonda amekuwa anawachimba chimba na kuwachokonoa hakuna hata mmoja ambae amejaribu kucheza ngoma ya Makonda,ni ukweli usio na shaka kuwa wanamjua ni mtu wa aina gani na kujiingiza kwenye ngoma hiyo ni kujipotezea focus ya kufanya yale yaliyo ya msingi.

Makonda,anafanya kitu ambacho anahisi ni sahihi bahati mbaya sana approach ambayo anaitumia ni kujiweka karibu na kutumia mwamvuli wa mwenyekiti wa chama badala ya kutumia nguvu ya chama katika kuendesha ajenda zake,ni yale yale ambayo alikuwa anayafanya kipindi cha mwendazake ya kujiweka katika position ambayo ni yeye ni RC Muhimu zaidi ya wengine kias cha kufikia hatua ya kusema kuwa yeye ana nafasi kubwa katika nchi hii kuliko hao viongozi wengine,na hao wakubwa wao wanajua.,kiufupi ni RC ambae alikuwa untouchable kiasi kwamba hata pale alipovunja sheria kwa kuvamia Clouds Fm Kwa bunduki waziri aliekawa anahusika na habari alipojaribu kuingilia kati alipoteza nafasi yake kwa kutetea haki kisha yeye mvunja haki Makonda akaendelea kupeta.

Makonda ana haja gani ya kutembelea NYOTA ya Rais Samia kwa kusema kwamba anayofanya yoote katumwa na mwenyekiti wa chama aliemteua badala ya kusema kuwa hayo ni maagizo ya chama??implication yake ni ile ile ya kutaka kuonesha yeye ni smart kuliko wenzake machoni mwa mwenyekiti wa chama ili hali collectively chama hiko ni nguvu ya watu wengi(How you do anything, is how you everything)

Hakika ukimchambua Makonda unaona wazi wazi motive yake ya kujijenga zaidi yeye kuliko chama chake kupitia matatizo ya wananchi ambayo hata hivyo hayajawahi kupungua ndani ya TAIFA HILI,kwani lini Makonda amewahi kuwa MSAFI hadi afikie hatua ya kuguswa sana na haya wanayofanyiwa wananchi??

Case nyingi za kupotea kwa watu kipindi Cha mwendazake,uminyaji wa vyombo vya habari,dhuluma Kwa wafanyabiashara wengi mfano hata like sakata lake na GSM,kupigwa Risasi Kwa Tundu lisu,kudukuliwa conversations za simu za wale makada wa chama wakisema mwendazake,kuwakashifu viongozi wastaafu yeye na mwenzake Ally Hapi ukiunganisha dots zinafika kwake,Jeuri ya kusimama kifua mbele anazitoa wapi.

Nawapongeza CCM na VYAMA VYA UPINZANI waliotambua kuwa hiyo ngoma ni ngoma ya mchiriku na kuigomea kuicheza,kwa kuwa ''HOW MAKONDA IS DOING ANYTHING,IS HOW HE IS DOING EVERYTHING''...
 
Friends and our enemies,

'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics).

'How you do anything,is how you do everything'...(Dante Alighieri)

Wahenga wanasema kwamba 'Kazi ya polisi,waachie polisi',(Leave the policy work to the ploce),same applies kwenye siasa,wapo wanaosema kwamba kazi ya siasa waachie wanasiasa,lakini tukisema tuwaachie wanasiasa hii siasa pekeyao bila hata ya sisi watawaliwa kutoa mitazamo yetu matokeo yake ni kulia na kusaga meno.

Makonda au Bashite ni yule yule,hajawahi kubadilika,the way anavyofanya harakati zake ni vile vile ambavyo amekuwa siku zote anazifanya tokea amefahamika na hadhira ya macho yetu.

Miaka kadhaa iliyopita kipindi akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam,JIJI lile halikuacha kuwa na heka heka na pilika kila siku,leo aite mkusanyiko na wamama wajane,kusikiliza kero zo,,kesho yake aite mkusanyiko na boda boda,mtondogoo aite mkusanyiko na walemavu na kadhalika.

Na katika hiyo mikusanyiko yake yoote kipindi hiko kilichokuwa kinafanyika ni kama hiki anachoendelea nacho sasa (How you do anything,is how you do everything)

Kilichotofautiana ni kwamba kwa sasa amepata milege ya kuvuka nje ya boda ya himaya yake ya awali na amepata coverage ya kuzungumzia vitu vingi zaidi ili aweze kuendelea kuvuta attention na sympathy za watu.

Nimependa sana namna ambavyo CCM wenyewe wenye kujitambua walivyoamua kukaa kimya na kumuachia uwanja aendelee na harakati zake,na siyo CCM pekee hata VYAMA VYA UPINZANI,pamoja na kwamba Makonda amekuwa anawachimba chimba na kuwachokonoa hakuna hata mmoja ambae amejaribu kucheza ngoma ya Makonda,ni ukweli usio na shaka kuwa wanamjua ni mtu wa aina gani na kujiingiza kwenye ngoma hiyo ni kujipotezea focus ya kufanya yale yaliyo ya msingi.

Makonda,anafanya kitu ambacho anahisi ni sahihi bahati mbaya sana approach ambayo anaitumia ni kujiweka karibu na kutumia mwamvuli wa mwenyekiti wa chama badala ya kutumia nguvu ya chama katika kuendesha ajenda zake,ni yale yale ambayo alikuwa anayafanya kipindi cha mwendazake ya kujiweka katika position ambayo ni yeye ni RC Muhimu zaidi ya wengine kias cha kufikia hatua ya kusema kuwa yeye ana nafasi kubwa katika nchi hii kuliko hao viongozi wengine,na hao wakubwa wao wanajua.,kiufupi ni RC ambae alikuwa untouchable kiasi kwamba hata pale alipovunja sheria kwa kuvamia Clouds Fm Kwa bunduki waziri aliekawa anahusika na habari alipojaribu kuingilia kati alipoteza nafasi yake kwa kutetea haki kisha yeye mvunja haki Makonda akaendelea kupeta.

Makonda ana haja gani ya kutembelea NYOTA ya Rais Samia kwa kusema kwamba anayofanya yoote katumwa na mwenyekiti wa chama aliemteua badala ya kusema kuwa hayo ni maagizo ya chama??implication yake ni ile ile ya kutaka kuonesha yeye ni smart kuliko wenzake machoni mwa mwenyekiti wa chama ili hali collectively chama hiko ni nguvu ya watu wengi??

Hakika ukimchambua Makonda unaona wazi wazi motive yake ya kujijenga zaidi yeye kuliko chama chake kupitia matatizo ya wananchi ambayo hata hivyo hayajawahi kupungua ndani ya TAIFA HILI,kwani lini Makonda amewahi kuwa MSAFI hadi afikie hatua ya kuguswa sana na haya wanayofanyiwa wananchi??

Nawapongeza CCM na VYAMA VYA UPINZANI waliotambua kuwa hiyo ngoma ni ngoma ya mchiriku na kuigomea kuicheza,kwa kuwa ''HOW MAKONDA IS DOING ANYTHING,IS HOW HE IS DOING EVERYTHING''...
Nani aamini Sanaa za Makonda?
 
Friends and our enemies,

'Anyone can become angry - that is easy.But to be angry with the right person,to the right degree,at the right time,for the right purpose,and in the right way - this is not easy.(ARISTOTLE,The Nicomachean Ethics).

'How you do anything,is how you do everything'...(Dante Alighieri)

Wahenga wanasema kwamba 'Kazi ya polisi,waachie polisi',(Leave the police work to the police),same applies kwenye siasa,wapo wanaosema kwamba kazi ya siasa waachie wanasiasa,lakini tukisema tuwaachie wanasiasa hii siasa pekeyao bila hata ya sisi watawaliwa kutoa mitazamo yetu matokeo yake ni kulia na kusaga meno.

Yaani unaongelea wenye akili CCM kama akina nani? Maana bila Makonda chama chetu kilikuwa na hali mbaya sana.
 
Tuliza Kalio weweee!!

Pambania Chama chako CDM kinazidi kupotea
 
CCM must wake up before it's too late to realize that he is the very way to their destination of woe...
Mmekuwa kama Hamas kujifariji huku mnakufa!! Makonda ndo habari Na. 1 nchini kwa Sasa!!

Vyovyote mtakavyomtafsiri lakini ukweli ni kwamba jamaa kakamata kwelikweli!! Sasa hivi hata vyama vya upinzani vinaogopa aibu ya kufanya mikutano! Ndo maana Lissu kaamua kufanyia Mkutano redioni
 
Back
Top Bottom