Ili kumpata Rais imara 2025- 2030 wagombea wote wa Urais bila kuwakilishwa wasimamishwe kwenye mdahalo live Kila baada ya miezi mitatu

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,828
21,460
Ninaomba BBC iandae mdahalo wa masaa 3 Kwa wagombea wote wa Urais bila kuwakilishwa wasimamishwe kwenye mdahalo live KABLA hawajachukua fomu za kugombea Urais.

Kuna wengine wanatumia watu kwawananchi yeye anajificha nyuma kuombewa kura.

Wanaccm tunaomba mdahalo tena midaholo mitatu .

Nikimaanisha Kila miezi mitatu mitatu kuanzia Sasa wagombea waonekane wakijieleza wenyewe na Kupigwa maswali ndipo wakubaliwe kuchukua fomu za kugombea Urais.
 
Back
Top Bottom