Mohamed Kawaida: Lema aache wivu kwa Makonda, demokrasia iliona wote hawafai 2020

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,484
20,436
Mwenyekiti wa UVCCM taifa ndg Mohamed Kawaida amemtaka aliyekuwa mbunge wa Arusha ndg Lema aachane mara moja na CCM pamoja na Makonda na badala yake ambane mwenyekiti kuhusu matumizi bora ya pesa za Chadema.

" Nimekuwa namsikia Lema kwa siku kadhaa akimuandama mara kadhaa katibu wangu mwenezi pasipo ushahidi wowote, mwaka 2020 demokrasia iliona Makonda hafai Kigamboni na Lema hafai Arusha, namtaka mara moja Lema aachane na Makonda badala yake ambane mwenyekiti wake kuhusu kutoa hesabu za mapato na matumizi ya Chadema" alisema Mohamed Kawaida alipokuwa akiongea na vijana wa CCM Nguruka Kigoma asubuhi ya leo.
 
Mwenyekiti wa UVCCM taifa ndg Mohamed Kawaida amemtaka aliyekuwa mbunge wa Arusha ndg Lema aachane mara moja na CCM pamoja na Makonda na badala yake ambane mwenyekiti kuhusu matumizi bora ya pesa za Chadema.

" Nimekuwa namsikia Lema kwa siku kadhaa akimuandama mara kadhaa katibu wangu mwenezi pasipo ushahidi wowote, mwaka 2020 demokrasia iliona Makonda hafai Kigamboni na Lema hafai Arusha, namtaka mara moja Lema aachane na Makonda badala yake ambane mwwnyekiti wake kuhusu kutoa hesabu za mapato na matumizi ya Chadema" alisema Mohamed Kawaida alipokuwa akiongea na vijana wa CCM Nguruka Kigoma asubhi ya leo.
Visiwani pamekushinda unakuja kutafuta ulaji bara!
 
chinga sn hili
 
Back
Top Bottom