Hawa wanawake na wanaume wanaodai kuchangia 120M wametumia posho na fedha za serikali ambazo ni kodi za wananchi.
Wengi wametoka Dodoma na wanalipwa kwa kuwepo nje ya ofisi kikazi. Lakini wengi wao wana ndugu na jamaa wenye kukosa mahitaji muhimu. Wengine wana ndugu wasiomudu huduma za afya...
Tanganyika ilimilikiwa rasmi na Ujerumani tangu mwaka 1885 baada ya mkutano wa kugawana Afrika uliofanyika mjini Berlin nchini Ujerumani. Baada ya hapo Watanganyika walianza kutawaliwa rasmi na Mjerumu. Katika utawala wa Mjerumani, Mtanganyika aliondolewa kabisa majukumu ya uongozi na kazi hiyo...
Dar es Salaam. Tarehe 28 Februari 2024: Ikiwa na uzoefu wa takriban miaka minne sasa Benki ya CRDB imezindua huduma za bima zinazozingatia misingi ya shariah zijulikanazo kama Takaful kwa ajili ya wateja wanaofuata imani ya Kiislamu na wananchi wengine wanaozingatia misingi ya dini hiyo...
2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP
Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
Habari JF, nimeandika kuandika haya ili kuzuia madhara yatokanayo na ufuatiliaji duni wa magonjwa sugu.
Kitu cha kwanza kabisa ukipatikana na ugonjwa sugu wowote iwe Sukari ,Presha ,HIV-UKIMWI , Lupus ,Seli Mundu - sickle cell disease , Rheumatoid ...etc lazima uielewe shida ulionayo na...
Hatuwezi kusema moja kwa moja kazi ya boda ni laana!
Lakini matendo ya madereva bodaboda wengi wao nikama wana laana!
Huko barabarani honi ndiyo breki, hawana kusubiri, wanaovateki hovyo wakiamini wapo sahihi muda wote!
Bahati mbaya boda anapoovateki kushoto na mwenye gari ikawa anakwepa...
Kwema Wakuu!
Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya...
Wakuu kwema? Tuchangamshe kichwa kidogo.
Mpo watu 100 kwenye chumba kimoja, na kuna milioni 100 za kushindaniwa. Ili uweze kunyakua mahela hayo unatakiwa kufanya kitu kimoja ambacho utawashinda wengine wote.
Ungefanya kitu gani?
Mimi ningekaa kimya tu, maana watu asiku hizi hawajui kunyamaza...
Naomba nitoe shukrani zangu za dhati JamiiForums kunipatia mchumba,
Pia, sio kwamba wewe hustahili kuwa mke wangu kama sijakupa kipaumbele, la hasha ni vile nilikuwa nataka mmoja tu!
Wengine tunaweza kushirikiana katika biashara zingine, tu na zikaenda kwa uzuri.
Mazao, ng'ombe, cosmetics...
Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure
Dkt Godwin Mollel amesema hayo leo Februari, 25, 2024 alipowajulia hali majeruhi wa ajali hiyo iliyohusisha magari manne...
Tokea juzi Ijumaa Jioni hadi Alfajiri hii ya leo ID yangu hii ya GENTAMYCINE ilikuwa Imedukuliwa na Wahuni hivyo kama kuna Maudhui yoyote yaliandikwa tokea hiyo juzi hadi jana jua si yangu bali ni ya hao Wadukuaji Wahuni wakiongozwa na adriz, Dada Nifah, Popoma Tate Mkuu na Rafiki yangu...
Kuelekea Februari 27 kwenye maandamano ya Arusha, tuwape pongezi na kuwatia shime wote wajitoao kuipigania nchi hii.
Kuipigania nchi ni jukumu takatifu, kwa hakika tuwape pongezi mashujaa wetu:
Ni wazi kuwa umoja wetu hatimaye, utaikomboa nchi hii:
Maandamano Mbeya, Mwanza umoja wetu...
Nimeona wananchi kesho wana mechi ya ligi ya mabingwa afrika, ni mechi muhimu sana kiasi wakaamua kuipa jina “Pacome Day” huku wakinogesha na style ya nywele ya mchezaji wao Pacome.
Style hiyo kutumiwa na wachezaji wengi wa timu sio ngeni katika shughuli za michezo hasa kabumbu.
Mwaka 1998...
Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu.
Asec vs simba 0 - 0ft
Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
Huyu Mzee anawajibika ipasavyo Kila akipata Fursa ya kuujulisha UMMA kiukweli anaitendea haki.
Kazi/projects zilizopo na zijazo zinatia moyo sana kwa future ya taifa na mataifa jirani.
Vp wakurugenzi wengine wangekuwa productive kama huyu Mzee naamini matatizo ya usafiri, mafuta, umeme...
Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi?
Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo?
Natumia Fl Studio + Ableton Live.
Kuhusu style ya mziki, bado siko sure hii ni aina gani, but the whole idea ni kuunda...
INAKUWAJE MWANAHISTORIA ANAPOKUTANA NJIANI NA KIZAZI CHA CHIEF MAREALLE NA CHIEF MARUMA WOTE KWA WAKATI MMOJA?
Kuna mengi yasiyofahamika katika historia ya uhusiano waliokuwanao machifu wa Tanganyika na raia wa kawaida.
Halikadhalika na viongozi waliokuwa katika harakati za TANU za kupigania...
Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote.
Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe.
Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija...
Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.