wote

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake. Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions...
  2. Leak

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Watanzania wote wameanza kuwaelewa Chadema, TEC na wengineo

    Sasa ni wazi kila mtanzania anaelewa wazi matamko ya kina Mwambukusi, Dr Slaa, Mdude, Chadema na TEC! Sasa hivi wote tuna nena lugha moja wote tunaongea lugha moja na wote tumeanza kuelewana na sote sasa tumeanza kuwa na utulivu na sote tuna tafakari! Sote kuanzia wafanyakazi wa bandari na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Rais Samia anaungwa Mkono na wana CCM wote

    #HABARI: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia uwezo mkubwa wa kiuongozi, anaouonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka 3 ya uongozi wake...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha, wachezaji wawili wote leo ndiyo wamebeba 'Majini na Hirizi' za Kuzibeba timu zao kwa Mkapa

    Na nawaombeni leo kabla ya Mechi kuanza kuweni makini kuangalia nini Watafanya au Kitafanyika ila Mpira ukianza tu watakuwa Wanakwepana. Pia kuna uwezekano mkubwa Wote wakafunga Magoli kwa Timu zao ila Kuumia kiasi kwa Mmoja wao au sana ni kwa 85% kutokana na Mizigo ya HATARI ya Kishirikina...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio kutofika kileleni ishu ni usanii wa wanawake kukosa hisia na mvuto. Kanuni ni dakika 3-5-7 kwa wote kufika kileleni

    Shalom Wanaume bora niwachane ukweli ukiona manzi, demu, sholi, mke au mpenzi wa kike hafiki kileleni ndani ya dakika 3-5 hadi 7 ujue umepigwa za uso unatoka na mwanamke ambae analiwa sana, kila siku kazoea mwiko, ana sugu ya hatari. Binadamu hapigwi jeki. Imeisha bora upotezee tu kupigwa sio...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninawapongeza wazazi wote wanaopambana kulea watoto wao wenyewe kwa namna yoyote ile

    Wakuu dunia imefikia pabaya. Watu wamekuwa na roho za kikatili zisizoelezeka. Wahanga wa matukio ya kikatili ni watu dhaifu na mafukara ambao hushindwa kupata haki kwa sababu haki zao huporwa na wenye hela waliowafanyia ukatili. Hizi nyakati sio za kuacha mwanao akakae na kulelewa kwa bibi...
  7. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Yanga play like big European clubs

    Yanga play like big European clubs I don’t think Ronwen William will keep a clean sheet in this game ...Young Africans are unbeaten they play like big European clubs...it will be so hard for Masandawana - Mjagabani @mjagabani Habari za Yanga,Afrika nzima wanazo ila makoloudad tu kujifanya na...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Ramadhan Kareem

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan Ujumbe wake Muruwa huu hapa
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa somo hili wanasiasa wote Tanzania bado ni kizazi cha wapigania uhuru-uhuru wa bendera

    https://www.youtube.com/watch?v=pCEYJFpwydw
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wakati umefika sasa kwa uongozi mzima wa Simba ujiuzulu kupisha wengine

    Kelele na malalamiko yamekuwa mengi kwenye klabu ya Simba. Kuanzia kwenye masuala ya usajili wa wachezaji, matokeo uwanjani, malalamiko ya kuonewa ndani na nje ya uwanja, hadi utendaji wa kila siku wa klabu kote huko malalamiko yamekuwa mengi mno. Kwa muda sasa Simba imekuwa inahangaika huku na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa sura za wanawake na wanaume zilizochangia 120M kwa Rais, hakuna aliyetoa fedha mfukoni hawa wote wamechukua fedha za perdiem na posho za vikao

    Hawa wanawake na wanaume wanaodai kuchangia 120M wametumia posho na fedha za serikali ambazo ni kodi za wananchi. Wengi wametoka Dodoma na wanalipwa kwa kuwepo nje ya ofisi kikazi. Lakini wengi wao wana ndugu na jamaa wenye kukosa mahitaji muhimu. Wengine wana ndugu wasiomudu huduma za afya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Watanzania Wote: Amkeni

    Tanganyika ilimilikiwa rasmi na Ujerumani tangu mwaka 1885 baada ya mkutano wa kugawana Afrika uliofanyika mjini Berlin nchini Ujerumani. Baada ya hapo Watanganyika walianza kutawaliwa rasmi na Mjerumu. Katika utawala wa Mjerumani, Mtanganyika aliondolewa kabisa majukumu ya uongozi na kazi hiyo...
  13. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Kikubwa wote tumefungua kinywa hata kama mmenizidi!

  14. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yazindua huduma ya bima yenye misingi ya sharia kwa Watanzania wote

    Dar es Salaam. Tarehe 28 Februari 2024: Ikiwa na uzoefu wa takriban miaka minne sasa Benki ya CRDB imezindua huduma za bima zinazozingatia misingi ya shariah zijulikanazo kama Takaful kwa ajili ya wateja wanaofuata imani ya Kiislamu na wananchi wengine wanaozingatia misingi ya dini hiyo...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania 2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Haya ni mambo muhimu kuyaelewa pindi unapopata ugonjwa sugu

    Habari JF, nimeandika kuandika haya ili kuzuia madhara yatokanayo na ufuatiliaji duni wa magonjwa sugu. Kitu cha kwanza kabisa ukipatikana na ugonjwa sugu wowote iwe Sukari ,Presha ,HIV-UKIMWI , Lupus ,Seli Mundu - sickle cell disease , Rheumatoid ...etc lazima uielewe shida ulionayo na...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wote wahakikiwe na kupatiwa leseni ya kozi maalum ya kubeba abiria

    Hatuwezi kusema moja kwa moja kazi ya boda ni laana! Lakini matendo ya madereva bodaboda wengi wao nikama wana laana! Huko barabarani honi ndiyo breki, hawana kusubiri, wanaovateki hovyo wakiamini wapo sahihi muda wote! Bahati mbaya boda anapoovateki kushoto na mwenye gari ikawa anakwepa...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2017 niliandika wote walioshiriki kumpiga Lissu risasi watakufa na Lissu atashuhudia vifo vya adui zake. Hilo linaendelea kutimia

    Kwema Wakuu! Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Mpo 100 kwenye chumba, ili ushinde milioni 100 unatakiwa kufanya kitu kimoja unachokiweza sana kuliko wote. Utafanya nini?

    Wakuu kwema? Tuchangamshe kichwa kidogo. Mpo watu 100 kwenye chumba kimoja, na kuna milioni 100 za kushindaniwa. Ili uweze kunyakua mahela hayo unatakiwa kufanya kitu kimoja ambacho utawashinda wengine wote. Ungefanya kitu gani? Mimi ningekaa kimya tu, maana watu asiku hizi hawajui kunyamaza...
  20. john issa

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimepata mke tayari, nashukuru wote mlionitafuta

    Naomba nitoe shukrani zangu za dhati JamiiForums kunipatia mchumba, Pia, sio kwamba wewe hustahili kuwa mke wangu kama sijakupa kipaumbele, la hasha ni vile nilikuwa nataka mmoja tu! Wengine tunaweza kushirikiana katika biashara zingine, tu na zikaenda kwa uzuri. Mazao, ng'ombe, cosmetics...
Back
Top Bottom