Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 793
- 2,001
Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote.
Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe.
Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija kwetu tunawaangali kijicho cha mbuzi, majirani wa kule kwa Paul Kagame hatuwataki kabisa. Wacongo wananini jamani kwa watanzania