wote

  1. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

    .............
  2. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole usipotoshe umma, waliofanya maandamano wote walikuwa CHADEMA

    Polepole wewe ni Mkristu na huu ni mwezi wa Kwaresima, kabla hujasema uongo kwaajili ya tumbo lako muogope Mungu.
  3. JamiiForums Tanzania Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Akwilina: Padri Mayanga ataka aliyeua awekwe wazi, awaombe radhi Watanzania

    WASIFU WA AKWILINA AKWILINI Akwilina Akwilini alizaliwa tarehe 1 April, 1996 katika Kijiji cha Olele-Marangu, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, akiwa ni mtoto wa sita kati ya watoto nane wa familia ya mzee Akwilini Shirima. Akwilina alipata sakramenti mbalimbali katika kanisa Katoliki la...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

    Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji. Katika kesi hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ukimalizana na Mkonge Tanga, tugeukie Kahawa Moshi

    Kwako PM Majaliwa Awali ya YOTEE nikupongezee kwa zoezi linaloendelea Nichukue fursaa HIII kukuombaa BAADA yaaa kurejeshaa MALIZANA SERKL zilizomilikishwa kwa wahunii wasioitakiaa nchii hii memaaa upandee WA mkongee Tunaombaa MWELEKEZE paler kilimanjarooo kukaguaa malizote za bodi ya kahawaaa...
  6. JamiiForums Tanzania Hatimae Whatsapp wamezindua mfumo mwanga hafifu 'dark mode' wa watumiaji wote.

    Katika vitu nilikua natamani siku zote ni night/dark mode kwa whatsapp. Hatimae whatspp wamezindua huo mfumo kwa watumiaji wote wa whatsapp. Huu ni mfumo unaopunguza au kuondoa kabisa mwanga mweupe na kuweka mwanga mweusi kwenye ukurasa wa whatsapp ukiwa unaitumia ili kulinda macho. Sasa wale...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alshabaab waaamuru watu wote ambao si wazawa kuondoka katika eneo lote la Kaskazini mashariki mwa Kenya

    https://www.operanewsapp.com/tz/en/share/detail?news_id=70f928da842b6242fda46a9898eb65fd&news_entry_id=32bb7f30200227en_tz&open_type=transcoded&request_id=RELATED_NEWS_6702ca75-024e-495d-91ba-90db839a964e&from=news Hii amri inafuatia baada ya Wizara ya elimu ya Kenya kuwaondoa waalimu wote ambao...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Namhesabu anaepewa mtoto kuwa ni mwenye bahati kuliko wote duniani!

    1. watu wanahangaika kutafuta watoto kwa gharama kubwa mno.......... 2. watu wanafikia hatua ya kuiba watoto mahospitalini na mitaani na kukimbia nao ili wakawe na furaha.... 3. watu wanafikia hatua ya kuweka matambara ili waonekane wana mimba, ukifika muda anaibwa mtoto mahali na kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi ikitokea CCM kwa hila wakanunua wapinzani wote nini kitatokea?

    Ni kweli wanaweza na wameisha nunua zaidi ya nusu ya viongozi wapinzani wa Chadema, CUF, ACT nk. Na bado wanaendelea kununua na kushawishi kwa nguvu na vitisho. Nimejiuliza tu Ikitokea wakawapata au kuwanyamazisha wapinzania wote na kuchukua majimbo yote muhimu waliyokuwa ya Upinzania au...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tunaofunga Kwaresma hii tukutane hapa

    Kwaresma ni kipindi kitakatifu cha kukumbuka mateso ya bwana Yesu, wakristo tunakumbushwa kumrudia Mungu huku tukitafakari kwa kina maisha yetu katika imani. Wenzetu wana mwezi wa Ramadhani sisi tuna Kwaresma. Tuliopanga kufunga tuwe tunapeana updates na kutiana moyo. Haijalishia utafanikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nendeni CCM wote wasaliti wakubwa wa mabadiliko

    Nunuliweni, Peweni vyeo, Pigeni propaganda zote lakini ukweli utabaki pale pale ccm sio chama tena kimepoteza dira wote mliopo ccm na mnaoelekea ccm wote ni wasaliti wa sauti ya wengi. Tutakutana siku ya mwisho hakika mmefanikiwa kusaliti mageuzi lakini nawahakikishia wasindi ndio wale watakao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wote wanaokumbia shule za St Kayumba kwakua hawataki watoto wao wawe Waswahili, anagalieni hii picha.

  14. JamiiForums Tanzania Kwa hili la homa ya Ini, Serikali haiko makini na afya za raia wake. Raia wote wangepatiwa chanjo bure

    Kuna muda unashindwa kuelewa kama viongozi waliopo madarakani wapo kwa maslahi ya wananchi na Taifa hili kwa moyo wa dhati, leo asubuhi vyombo vingi vya habari ikiwemo magazeti wameandika na kuzungumzia usambaaji wa kasi wa hii homa ya Ini. Homa ambayo watawala hawajaichukulia kwa uzito wake...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye: Kuelekea uchaguzi mkuu wapinzani wanapaswa kuwa wavumilivu amani ikitoweka wote tutavurugikiwa

    Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye ameviasa vyama vya siasa na hasa vya upinzani kuwa na uvumilivu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ili kuilinda amani yetu. Sumaye amewaasa viongozi wa vyama vya siasa kukumbuka kuwa nchi iliyovurugwa na amani kupotea huwa haitawaliki. Kwahiyo pasipo na amani sote...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Serukamba: Serikali iige Rwanda ambako raia wote wana Bima ya afya na wale "wanyonge" wanakatiwa bima na Serikali

    Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Huduma za jamii ameitaka serikali kwenda kujifunza Rwanda ambako raia wote wa nchi hiyo wana Bima za afya. Serukamba amedai wananchi wanyonge wa Rwanda ambao ni kama 4% ya wananchi wote wanalipiwa bima zao na serikali. Serukamba amesema hayo wakati akifunga...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Wabunge wa CCM kumbukeni kuwa mambo yakiharibika tutazama wote bila kujali itikadi ya mtu

    Mbunge wa Arusha mjini mh Lema amesema wabunge wa CCM wanajisahau sana lakini mambo yakiharibika ni kama " mafuriko" yatawazoa wote bila kujali itikadi. Lema amesema atagombea ubunge mwezi octoba ili kuacha alama kwamba katika mminyo wa demokrasia kuna " wanaume" wachache walisimama hadi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kufikia tarehe 01/03/2020 wanafunzi wote wa sekondari watakaa madarasani kila mmoja na dawati lake, wazazi hawatachangishwa!

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Makonda amesema jiji la Dar es Salaam lina upungufu wa madarasa 381 baada ya wanafunzi wengi kufaulu. Hivyo mkoa utakamilisha ujenzi wa madarasa hayo kufikia tarehe 28/02/2020 na mnamo tarehe 01/03/2020 kila mwanafunzi atasomea darasani akiwa na kiti na meza...
  19. JamiiForums Tanzania Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

    (1) Ni muhimu kutambua kwamba kipindi tunachopitia hakijawahi kuwepo katika historia ya mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini na hata wakati wa chama kimoja. (2) Hatujawahi kuwa utawala wa kikatili wazi wazi kama huu. Hatujawahi kuwa na utawala usioheshimu Katiba na Sheria za nchi yetu wazi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe maalumu kwa wasaidizi wote wa Rais Magufuli na Viongozi wa CCM

    Mimi ni raia wa kawaida wa nchi hii. Nachukuwa fursa hii kutoa ujumbe wangu kwa wasaidizi wa Mh Rais wetu wote kwenye Serikali na Chama (CCM) Historia ya nchi yetu imepata doa ndani ya miaka 4 ya utawala wa JPM hilo halina ubishi. Ama iwe ni kwa bahati mbaya, makusudi au kwa kutojuwa ni DHAHIRI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…