"T-Shirts za wabunge zilizoingia na fly emirates zimewafanya wapagawe waone watanzania wote tunafanana!

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Jana saa nane ya usiku dege la fly Emirates lilitua uwanja wa kimataifa wa BoT kushusha maburungutu ya T-shirts za wabunge. Wengi wao wameona sms zao walipoamka asubuhi. Hivyo wana furaha hasa wale wa CCM ambao wao huangalia zaidi mavazi yao kuliko kitu kingine! Sasa kwa hizi T-shirts za full cotton unategemea nini?

Ndiyo maana leo bungeni kumegeuka ukumbi wa starehe. Wabunge hasa wa CCM wakishaona matisheti wao ndiyo basi. Ufe ulale ugalegale utapata kakipande kidogo ka ile iliyochakaa ili umkaribishe akatafute tena kwa miaka mitano ijayo.

Hongera wabunge kwa kupewa matisheti yenu.
 
Mtoa mada acha uongo. Hakuna Emirates inayokuja usiku. Nimeangalia flight radar Hakuna kitu kama hicho jana
 
Hata lugha ya picha hamna uwezo wa kutambua, yaani na akili kubwa mmejua ni T-shirt za kuvaa ndio "zimeingia kwa kila mmoja wenu"? Hata Ndugai kusisitiza "wabunge msiwe na wasiwasi Rais ametuthibitishia amerekebisha mambo zimeanza kuingia" hamkuelewa bado?
 
Jiongeze mazwazwa wewe! Huoni baada ya hiyo kauli mpaka hata wabunge wa upinzani walipiga makofi wakiongozwa na msigwa??

Wazee wa faru john hamuwezi kujiongeza jamaa linasema haijashuka ndege ya Emirate.
 
Jana saa nane ya usiku dege la fly Emirates lilitua uwanja wa kimataifa wa BoT kushusha maburungutu ya T-shirts za wabunge. Wengi wao wameona sms zao walipoamka asubuhi. Hivyo wana furaha hasa wale wa CCM ambao wao huangalia zaidi mavazi yao kuliko kitu kingine! Sasa kwa hizi T-shirts za full cotton unategemea nini?

Ndiyo maana leo bungeni kumegeuka ukumbi wa starehe. Wabunge hasa wa CCM wakishaona matisheti wao ndiyo basi. Ufe ulale ugalegale utapata kakipande kidogo ka ile iliyochakaa ili umkaribishe akatafute tena kwa miaka mitano ijayo.

Hongera wabunge kwa kupewa matisheti yenu.
Hili nalo ni la kufungulia thread?
 
Back
Top Bottom