Songwe: RC Brg. Jen. Mwangela, ametoa mwezi moja kwa DC wote Mkoani humo kuhakikisha kila mfanyabiashara mdogo ana Kitambulisho

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,801
11,961
Songwe: Mkuu wa mkoa wa Songwe, Mhe. Brg. Jen. Nicodemus Mwangela ametoa mwezi moja kwa wakuu wa Wilaya Mkoani humo kuhakikisha kila mfanyabiashara mdodo anakuwa na kitambulisho cha mjasiriamali mdogo.
1591012364461.png

Mkuu Wa Mkoa Wa Songwe ametoa agizo hilo alipokuwa anawakabidhi wakuu wa wilaya na wakurugenzi vitambulisho vya mjasiriamali mdodo, 1 juni 2020 “ndani ya mwezi jambo hili linawezekana kwasababu unauza kitambulisho kwa mfanyabiashara uliyemuuzia mwaka jana ni kitendo cha kumufuata na kumuuzia” Mkuu wa Mkoa, Mhe, Brg. Jen. Nicodemus Mwangela.
 
Back
Top Bottom