Hasira na ghadhabu ya Mungu inaweza pia kuwa juu ya yule anaetukuzwa ambapo pigo la Mungu litawashukia wote

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,982
144,289
Nimeshaandika mara kadhaa kupitia hapa JF kuwa kuna pigo linaweza kuja kuwapata watu fulani na hakika pigo hili ni dhahiri litatimia kwani watu hawa wameendelea kujisahau sana na wanaendelea kumkufuru Mungu (Nature).

Niwaambie tu watu hawa kuwa linaweza kushuhwa pigo takatifu litalobadili kila kitu na kuondoa matumaini yao yote na story ikawa tofauti kabisa.

Niwaonye tu kuwa hata kule kujiamini kwao kuwa Oktoba wapinzani hawatapata kitu, pigo hilo linaweza futa kabisa ndoto hizi na kuondoa kiburi chote hiki na kuacha funzo zito kwa mwanadamu wa leo na kesho.

Tunawashauri mtubu na muwe wanyenyekevu mbele za Mungu vinginevyo yanaweza kuwakuta.

Power of Nature ipo na maisha yetu yako controlled sana na hii nguvu isioonekana kwa macho na mambo kama "karma" ni ushahidi tosha wa uwepo wa nguvu hii.

Mnaishi kwa kumtumainia mwanadamu mwenzenu ambae hata nae haijui kesho yake!!

Mjitafakari sana maana hakika mnashangaza mno!
 
IMG_20200501_071900.jpg
 
Hawa wapumbavu kupindukia unadhani watakuelewa mkuu?
Na huyo Yesu wao anaweza kufa kabla ya Oct 25 na kwa sababu ni Yesu feki hatafufuka.
Kuna MATAGA mmoja humu alikuwa anajiita "State Agent "nasikia kuwa Covid -19 imepita naye, alikuwa anashinda humu kumsifia huyo Yesu feki.
 
Hivi mnaona hii ni mada amabayo itawanyanyua kisiasa? Watanzania sio wajinga. Wanajua fika Lugola hakumaanisha kuwa Magufuli ni Yesu. Yaani hakumanisha JPM ni sawa na Yesu,bali kutatua kero za wananchi papo kwa papo anafanya kama Yesu alivyokuwa anawaponya watu wenye shida papo kwa papo.
Mfano anapoenda sehemu akikuta mwananchi ameonewa hutoa amri papo kwa papo asaidiwe.
Nyie Chadema kubalini tu mmeshazidiwa na Ccm sababu kwa miaka mitano imetekeleza ilani yake kwa ufasaha. Na hakuna mahala mtaikosoa serikali.
 
Wewe ni miongoni mwa wanaosubiri laana , anza kuwaaga wazazi wako mapema
Kuna mtu alikuambia lazima uwe mchawi. Chadema inakufa kuanzia jumanne.
Yaani mtu kusema JPM anatatua kero za wananchi papo kwa papo kama Yesu alivyokuwa anawasaidia wenye shida. Ndio mnakomaa kupata kick?
 
Kuna mtu alikuambia lazima uwe mchawi. Chadema inakufa kuanzia jumanne.
Yaani mtu kusema JPM anatatua kero za wananchi papo kwa papo kama Yesu alivyokuwa anawasaidia wenye shida. Ndio mnakomaa kupata kick?
Kwani wewe ulitaka watu wasisaidiwe!?tuelewane kwanza hapo.
 
Kuna nafasi Mungu anaamua kukutoa na kumuweka mwingine. Lakini binadamu tunalazimsha sana mambo. Mfano mchumba hakutaki, unaamua kwenda kwa waganga kuloga akupende au hata kumbambika mimba.

Kumbe kuna kitu Mungu alikua anakuepusha kwa mtu yule.
 
Hivi mnaona hii ni mada amabayo itawanyanyua kisiasa? Watanzania sio wajinga. Wanajua fika Lugola hakumaanisha kuwa Magufuni ni Yesu. Yaani hakumanisha JPM ni sawa na Yesu,bali kutatua kero za wananchi papo kwa papo anafanya kama Yesu alivyokuwa anawaponya watu wenye shida papo kwa papo.
Mfano anapoenda sehemu akikuta mwananchi ameonewa hutoa amri papo kwa papo asaidiwe.
Nyie Chadema kubalini tu mmeshazidiwa na Ccm sababu kwa miaka mitano imetekeleza ilani yake kwa ufasaha. Na hakuna mahala mtaikosoa serikali.
Kule kutembea na mabulungutu ya kodi zetu na kuzigawa kwa watu kwa personal political platform ndiyo kutoa misaada?
 
Back
Top Bottom