Nashangazwa sana Raia wote wa Hong Kong majina yao ya kwanza ni ya Kiingereza na Kiyahudi

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa

Yani wote majina yao ya mwanzo ni ya Kiingereza na Kiyahudi (Anglo-Hebrew). Uingereza kweli iliwainfluence hawa watu.

Wareno nao hatari, japo Ufilipino Kireno siyo kwa sana lakini kwenye majina yao ni ya Kireno.

Sasa hapo Angola dah yani karibu wote wanaongea Kireno na majina ya Kireno. Utakuta jitu jeusi kama kwenye avatar Picha yangu anajiita Antonio Da Costa
 
Haishangazi walitawaliwa na British hao.
Waphilipino nao walitawaliwa na Spain.
 
Ndio walitawaliwa na uingereza lakini cha kushangaza mbona si wakristo ila jamii iyo ni ngumu sana kuiga. Ufilipino ilitawaliwa na Wareno siyo na Uispania
Visiwa vya Philippines viligunduliwa na a Portuguese dude Ferdinand lkn alitumwa na wa Spain ambao baadae wakatawala. Kisha wakawaachia wamarekani nao wakatawala. Jaribu kufanya research ndogo mkuu.
 
Kwanini Spain aliogopa kuja Africa

Hadi leo U.S bado anayo influence kubwa Philippines.
 
Muwe mnatembelea Quora hata mara mbili kwa wiki mtajifunza mengi.

Hong kong wanazungumza kiingereza na kale ka nchi ni kama Western country in a east side! Kapo kama Manhattan yani kaeneo chenye majengo ni kadogo sana na hawaishi kikomunisti kama mainland.

Hospital nyingi ni za makanisa na watu kutoka Western kama ilivyo Philippines.
Si ajabu kumkuta mtoto wa miaka mitatu anazungumza ki-hong kong kwa tabu ila anaweza kiingereza
 
Kwahyo bila Quora watu hawawez kufahamu kuhusu hilo?
 
Hapa mtaani kwetu, kuna mgumba ameinasa mimberi....
Basi sio kutema mate mtaa mzima na akwishi kuuliza majina ya watoto kama akina Kaundime, Chausiku, Kasindye, nohuku kijijini
Basi sio mgumba huyo bali mlikuwa mkizania tu😂
Mwacheni afurahie mimba mama kijacho
 
Ni kweli
IMG_20200526_063856.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom