wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. hiram

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Harmonize Yanga umekuwa Number 1 trending: Diamond alipia post ili kujaribu kumshusha

    Wimbo wa Yanga ulioimbwa na Harmonize umeushusha wimbo wa Simba na kuwa Number One trending kwenye youtube; hata hivyo Mondi hajakubali na hivyo amelipia post ya facebook (sponsored) ili kuutangaza wimbo wake wa Simba na pengine aweze kumpiku tena Konde Boy
  2. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Harmonize wimbo wa Yanga usingeimba singeli ungetoboa sana, hapa ni kama umecopy na kupaste tu

    Ifike wakati washauri wa wasanii hawa wawaze nje ya Box. Kwanza kutumika tu na Yanga ni kuiga walichafanya Mikia (Simba) lakini Kama haitoshi na nyimbo uliotunga ni umecopy Kama sio kubadili tu maneno. Huo wimbo wa Yanga ungeimba kwa mahadhi tofauti na singeli ungeenda mbali sana, Ila kwa...
  3. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Wimbo "DEAR MAMA" wa DON NALIMISON umetolewa maalum kwa ajili ya MAMA wote Duniani. Je, unampenda MAMA yako, watch now

    . New video "DEAR MAMA", watch my New 3rd video song for "DEAR MAMA" LIKE IT, SHARE IT, SUBSCRIBE IT & COMMENT FOR IT if you Love your Mama.
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen adai kuzurumiwa Vyombo vya Mziki

    Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen Hizza amwemwambia mtangazaji wa kipindi cha zilipendwa wiki iliyopita TBC Chacha Maginga anasikitika licha huo wimbo kuwa maarufu radio Tanzania lakini Serikali ya Awamu ya Nne pekee ilimpa ahadi...
  5. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Hivi kuimba Wimbo wa Taifa ni kosa lisilokuwa na dhamana?

    Hivi nchi hii, awamu hii ya uchumi wa kati, yaani ukiimba wimbo wa Taifa wakati unapandisha bendera ya chama cha siasa ni kosa lisilokuwa na dhamana? Wanasheria hebu tusaidieni. Ndugu zetu pichani chini wako ndani miezi zaidi ya mitatu bila dhamana huko Singida kisa waliimba Wimbo wa Taifa...
  6. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania "GOODBYEE" wimbo mpya wa pili kutoka wa DON NALIMISON. Umetoka rasmi leo

  7. B

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha mashairi ya Roma Mkatoliki kwenye wimbo 'Tundu Lissu Shujaa''

    Roma Mkatoliki ameshusha mzigo mpya YouTube. Moja ya mistari katika wimbo wake mpya Ni "wakati wa JK tulipinga sana ila hatukupigwa risasi wala kutekwa"....."Nani alijua Tundulisu atapona?" Huu wimbo unakuja kipindi ambacho Chama cha Mapinduzi kimeapa kutotumia wasanii katika shughuli za siasa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali na BASATA upigeni marufuku upesi wimbo mpya wa Msaga Sumu kwani una Matusi matupu na si wa kimaadili pia

    Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu. " Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga " Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu. " Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka vyote au nikupe Kimoja tu? " Msaga Sumu anaendelea. " Nataka Kimoja tu ila kama kina Vumbi...
  9. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa hatuna hati miliki kwa sababu tume "copy" toka ANC, na haupo kwenye Sheria na Katiba yetu. Tumeazima

    Wimbo wetu wa Taifa umetokana na wimbo Nkosi Sikeleli Afrika uliotungwa 1897 na Enoch Sontonga (msauzi) kama wimbo wa ANC Umetoholewa kuwa wimbo wa Taifa wa Zambia, Zimbabwe, Namibia na Tanzania. Sisi wenyewe tumebadili maneno ya wimbo na copyright si yetu 😁
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa una hati miliki ya serikali kubadili beti au chochote kunataka

    Ukitaka kubadili chochote sharti kibalib na sharti Ni hili Permission is granted at the discretion of the Government and may be subject to certain conditions, including: the tune or the words of the Anthem may not be modified, parodied or demeaned alternative words cannot be substituted for...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Remix ya Wimbo wa Taifa; CHADEMA mmezingua sana

    CHADEMA WAMEONYESHA UBINAFSI: NI KUHUSU WIMBO WA TAIFA. Na, Robert Heriel Nimesikitishwa sana na kile nilichokiona leo kwenye mitandao ya kijamii. Ni video moja ikiwaonyesha wanachama wa CHADEMA wakiimba Remix ya wimbo wa Taifa. Kuimba Remix ya wimbo wa taifa sio kosa na wala sina neno nao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

    Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine. Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Yaani ITV mkutano wote wa CHADEMA la maana kuripoti mliloliona ni kuhusu kuongeza aya kwenye wimbo mengine hamjayaona

    Yaani taarifa ya habari ITV mlichoona cha maana kuripoti kutoka mkutano wa CHADEMA Ni kuhusu kuongeza aya ya tatu kwenye wimbo wa taifa, tena kwa kumuonesha jaji mtungi tu Mengine yoote hamjaona ya maana bali Hilo moja tu! kweli?
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CCM "wakiharibu" wimbo wa Taifa: Jicho la Mutungi lina makengeza?

    Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba...
  15. Don Nzoko

    JamiiForums Tanzania Jina la msanii aliyeimba au jina la huu wimbo

    Mwenye kujua jina la msanii au wimbo
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msajili wa Vyama ameionya CHADEMA kwa kuongeza ubeti wa 3 katika Wimbo wa Taifa jana katika Mkutano wa Baraza Kuu

    Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi ameionya CHADEMA kutokana na alichokiita uvunjifu wa sheria kwa kuongeza ubeti wa tatu kwenye wimbo wa Taifa. Ameeleza kuwa kitendo hicho kilifanywa jana wakati Baraza Kuu la CHADEMA lilipokuwa likimpendekeza atakayepeperusha...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Sikiliza wimbo wa Rosa Ree ambao Harmonize alitumia beat yake bila ruhusa na kusababisha Rosa kumshtaki

    Sikiliza Wimbo wa Rosa Ree Ambao Harmonize Alitumia Beat Yake Bila Ruhusa na Kusababisha Rosa Kumshtaki youtube, Harmonize siku ya jana alipandisha wimbo katika Youtube channel yake wimbo wa Amen ambao ametumia beat ya wimbo wa Kanyor Aleng wa Rosa Ree Bila Ruhusa. Asubuhi ya leo wimbo huo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wimbo: Kwaheri Benjamin Mkapa

  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Pengo la Capt. John Komba halijazibika, tayari wimbo ungekuwa hewani muda huu

    Captain John Komba alikuwa na kipaji chake Cha ajabu kabisa. Alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo mzuri sana, wenye ujumbe mzuri na wenye hekima za Hali ya juu Ndani ya dakika chache. Kwa Mara ya kwanza nilimsikia mwaka 1984 alipofariki Hayati Edward Moringe Sokoine. Ndani ya muda mfupi alitunga...
  20. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa: Mfahamu Enock Sontonga

    Mtunzi wa melody ya wimbo wa Taifa letu; Mungu Ibariki Afrika ni mwafrika anaitwa Enock Mankayi Sontonga (Enoch Sontonga - Wikipedia )ambaye aliutunga kama Nkosi Sikelei iAfrika mwaka 1897 huko Afika Kusini. Mwanzoni wimbo huu uliimbwa kama wa dini ili kupata baraka za Mungu, lakini baadaye...
Back
Top Bottom