wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. KENZY

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kudediketi wimbo wowote kwa memba yoyote wa JF

    Maisha sio lazima tung'ang'ane na vitu vigumu tu kila siku.. let's have some fun here. Dedicate wimbo wowote kwa memba mwenzako,mtag na weka wimbo husika kwa muhusika.. naanza namna hii. Kwanza hii ni dedication kwa members wote wakike humu haijalishi mzee au kijana ama mweupe au black beauty...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu hili gitaa la huu wimbo limekaaje

    Habari za Leo wakuu, Hili gitaa la huu wimbo limekaaje.
  3. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huu wimbo wa CCM wataisoma namba upigwe marufuku kwenye kampeni hizi

    Huu wimbo sio rafiki kabisa. Umekaa kama vile unakejeli makundi mbalimbali ya wananchi walioathirika na utawala wa awamu ya tano. Wepi mnataka waendelee kuisoma namba? Je, ni wananchi waliopigwa na maisha kutokana ugumu wa upatikanaji wa pesa kwenye utawala huu? Je, ni vijana waliokosa ajira...
  4. B

    JamiiForums Tanzania One love wimbo wa Bob Marley ndio ulionikuna kwenye Uchaguzi huu, Lissu alifikiria nini?

    Wakuu huu wimbo Tundu Lissu alijifikiria nini kwenda nao katika kampeni? Kiukweli umenigusa sana hasa hiyo mistari niliyobold ina maana kubwa sana. Tundu una akili sana na napenda unavyojua kuucheza. One love One heart Let's get together and feel alright (hear the children crying) One love...
  5. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wimbo wa taifa la Kenya

    Wimbo wa taifa la Kenya inavutia kweli. Tazama video. Maoni ya Watanzania ni ipi kuhusu wimbo wa taifa la Kenya? Ila natoa ilani, kama una utoto usicomment.
  6. Scars

    JamiiForums Tanzania Dizasta vina: Ujumbe uliojificha wenye kufikirisha kwenye wimbo wake mpya wa "the verteller"

    Inafaa kunena, inafaa kunena labda ni muhimu sijui, labda kusimulia si karama kama wanavyo sema Ikiwa msimuliaji huingia hatarini, labda kweli baraka ni laana njema Wasikilizaji naskia wana ndoto na wenyewe, si uongo hadithi nzuri ndio kilele kwa wasikilizaji ila ndoto ya msimuliaji Ndoto ya...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Aliyefuta wimbo wa Cheche ajulikana

    Hivi karibuni kuna mtu anaijiita Tony Anton alifuta ngoma ya Cheche na akaifanya isipatikane YouTube kwa siku mbili, baada ya huo mkasa kutokea uongozi wa WCB kwenye department ya digital platform ikiongozwa na kimkayndo wakalishughulikia hilo jambo na kugundua kuwa aliyofanya hivyo jina halisi...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Dkt. Magufuli arejea Makao Makuu ya nchi Dodoma, aserebuka wimbo wa Zuchu mbele ya wananchi

    Baada ya kuanza kampeni za kuwania Urais katikati ya kitovu cha nchi na kwenda mikoa mbalimbali, leo mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amerejea mjini Dodoma na kulakiwa na wananchi mbalimbali wa mkoa. Katika furaha isiyo kifani, Dkt Magufuli amecheza wimbo wa 'Tanzania ya sasa'...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mume wa Alicia Keys amuomba Diamond kuwatuliza mashabiki wake katika kumshambulia mkewe kwa kumpa sekunde 26 ndani ya wimbo wake

    Mume wa msanii Alicia Keys, Swizz Beatz amelazimika kuingilia kati baada ya mashabiki wa Diamond Platnumz kumshambulia mke wake mtandaoni kwa kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake wa Wasted Energy kwa sekunde 26 tu Katika chapisho lililotolewa na Pulse Live, Swizz Beatz alimtetea mkewe...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania CCM watumia wimbo wa taifa kuiombea CCM

    WanaCCM Zanzibar watumia tune ya wimbo wa taifa kuisifia CCM Kuanzia dk ya 37
  11. Kichuguu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaujua wimbo huu?

    Wimbo mzuri sana; sasa swala la haki miliki siyo letu wasikilizaji.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Historian ya wimbo wa Malaika ambao mkenya inadai ni wao

    Kenya wameanza hizi Mambo kitambo , huu wimbo maarufu wa malaika asili yake ulitungwa na mtanzania Adam Salim Ila Kuna mkenya enzi hizo bwana fadhili William anadai Ni wake c kweli, hii kiswahili Ni yabongo. Someni historia mjue ukweli. Malaika, the mystery, the history, the torment MALAIKA...
  13. el_magnefico

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnuz aachia 'kibao' kingine kinaitwa "Ongeza"

    Wimbo unaitwa “Ongeza”
  14. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya: Alicia Keys Ft Diamond Platnumz

    Huu wimbo ni mzuri na nimeusikiliza japo Diamond Platnumz kaimba sehemu ndogo sana peke yake, ila sehemu kubwa kafanya Back-Vocals. Mwanzo mzuri kwake na natumai atatumia nafasi hii kujinoa vizuri maana Alicia Keys na mume wake ni wataalamu na walimu wakubwa wa muziki. Ndugu Diamond Platnumz...
  15. Umojaaaaa

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa wa "Umoja wa Afrika"/kwa Kiswahili

    Umoja Wa Afrika ulichagua Kiswahili kama lugha ya wimbo wa taifa wa Afrika
  16. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ninamuomba Rais Magufuli anidhamini niingie studio kumrekodia wimbo huu mzuri chini kwa ajili yake

    Wimbo maalumu kwa ajili ya kupongeza juhudi za mh.Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli.
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Zuchu utakuwa wimbo bora sana wa kampeni kipindi hiki

    Miongoni mwa nyimbo za kampeni zitakazovuka mpaka ni wimbo wa Zuchu wenye kiitikio.." Jua lile literemke Mama"..wapinzani watetereke sana".Una mahadhi nzuri ya reggae, mahadhi inayochezeka na watu wote na rika zote. Hata kama hutaki kucheza unaweza kutingisha bega tu. Geita hapa muda huu ni jua...
  18. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Somo zuri kwa vyombo vya Usalama na Uchaguzi Mkuu kupitia wimbo "Innocent" wa Don Nalimison

    NOTES TO: POLICE FORCE,FBI,CIA,INTERPOL,TISS and ALL GOVERNMENTS SYSTEM all over the World. "INNOCENT" special Video song to Police Officers, FBI,CIA,TISS and Governments Systems. Watch this animated song to change Police forces from Don Nalimison
  19. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Je, mpenzi wako amekukwaza au amekusaliti? Mfukuze kwa Wimbo huu "GO AWAY" ili uondoe msongo wa mawazo

    IF YOUR LOVER HATRED YOU, GIVE HIM/HER THIS SONG. . New video song "GO AWAY" for Lovers in Hatred, watch now to remove Stress alongside Don Nalimison.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Wimbo mkali sana bado upo jikoni ila hiki ni kionjo tu

    Habari ndugu na marafiki, Wimbo mkali sana bado upo jikoni unasukwa vilivyo na Msanii: EllySkyWilly Hiki hapa ni kionjo chake tu. Pia unaweza kuusikiliza youtube kwa mbaliii upate walau kuburudika. Ila ngoma bado haijatolewa bado inaandaliwa zaidi. Wakati tunaendelea kusubiri audio na...
Back
Top Bottom