Wimbo wa Taifa hatuna hati miliki kwa sababu tume "copy" toka ANC, na haupo kwenye Sheria na Katiba yetu. Tumeazima

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,552
2,000
Wimbo wetu wa Taifa umetokana na wimbo Nkosi Sikeleli Afrika uliotungwa 1897 na Enoch Sontonga (msauzi) kama wimbo wa ANC

Umetoholewa kuwa wimbo wa Taifa wa Zambia, Zimbabwe, Namibia na Tanzania. Sisi wenyewe tumebadili maneno ya wimbo na copyright si yetu ūüėĀ

IMG_20200804_231013.jpg
IMG_20200805_190111.png
IMG_20200805_192634.jpg
IMG_20200805_192636.jpg
IMG_20200805_192639.jpg
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
7,353
2,000
Umekosea huu wimbo kweli ulitungwa na Enock Sontonga lakini haukuwa wa ANC.
ANC nao waliupenda na baada ya kusikia maneno yake kanisani waliufanya wa kwao vile vile ili usaidie umoja in 1912.
Na kwa taarifa yako wimbo huu na maneno yake yamewavutia sana hasa mataifa yaliyopigania uhuru kusini mwa Afrika, na mataifa ya,
Afrika Kusini
Zambia na
Tanzania
yametumia melody ya wimbo na maneno yake ya kutia moyo , ambayo vile vile ni maombi.
Wimbo wa Taifa: Mfahamu Enock Sontonga
 
mzee wa liver

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
74,992
2,000
*_KUHUSU NEMBO ZA TAIFA_*

1. National Flag - Bendera
2. National Animal - Twiga
3. Uhuru Torch - Mwenge
4. Coat of Arms - Ngao ya Bibi na Bwana
5. National Anthem - Wimbo wa Taifa

Hizi nembo zote (National Symbols) zinalindwa na sheria yaani (Protected by law) isipokuwa: wimbo wa Taifa pekee ndio haulindwi na sheria .

KWANINI IKO HIVI

Ili kitu kilindwe na Sheria ni lazima kiwe kinamilikiwa kwa asilimia 100. Tanzania haina Umiliki wa 100% wa Wimbo wa Taifa kwa sababu wimbo huu tumeukopa kutoka kwa jamii ya wa *XHOSA* bila kuhamisha umiliki.

Baada ya kupata UHURU mwaka 1961, Tanganyika ilianza kuutumia wimbo huu kama *_Wimbo wa Taifa_"* lakini tayari ulikuwa unaimbwa na Jamii ya XHOSA iliyoko Afrika Kusini, na hata baada ya Muungano na Zanzibar, wimbo huu tumeendelea kuutumia.

Sheria ya Nembo za Taifa ya mwaka 1971 ilitungwa kulinda *HAKIMILIKI* (Copyright) ya Nembo zetu za Taifa, haikujumuisha wimbo wa Taifa kwa sababu hatuumiliki kwa 100%, *TUMEUKOPA* .

Mpaka sasa, wimbo huu unaimbwa kwa lugha tofauti katika nchi tatu ukiwa na mantiki ile ile na mahadhi/melody sawia: Tanzania (Kiswahili), Afrika ya Kusini (kama kipande cha wimbo wa Taifa lao; Kiingereza) na Zambia (Kiingereza).

Wimbo huu ulitungwa na *ENOCH MANKAYI SONTONGA (akiwa na umri wa miaka 24)* mwaka 1897 ukipewa jina la *"Nkosi *Sikelel *'iAfrika *"* yaani, "MUNGU IBARIKI AFRIKA*" na ulitungwa uwe wimbo wa shule lakini ukapendwa na watu wengi na kupata umaarufu na kuwa wa wimbo wa TAIFA lao, (AFRIKA Kusini) kabla hatujaukopi.

Mpaka sasa, hakuna mwenye mamlaka kamili ya wimbo huu kwa sababu, kijana aliyeutunga alifariki mwaka 1905 na hakuna anayeumiliki ndiyo maana unatumiwa na Nchi tatu(3) tofauti bila malumbano.

Ikumbukwe, kijana Sontonga alikuwa mahiri wa kutunga nyimbo za kanisani
 
kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
3,709
2,000
Lakini hyo sio sababu ya kutokuheshimu wimbo wetu wa taifa, nchi za wenzetu watu wanaheshimu wimbo wa taifa, huku wanasiasa wanaharibu. Tuwe wazalendo kwa nchi yetu bana
Nilivyo elewa, ukipigwa kiserikali sawa unaupa heshima yake. Lakini kesho nikiamua kutuma baadhi ya maneno yake na beat lake kwenye Bongo fleva kuna sheria za kunishtaki?
 
Mkuu umekosea, sisi Tanganyika ndio Taifa la kwanza kutumia kitaifa wimbo wa Nkosi Sikelei Afrika yaani Mungu ibariki Afrika.
Na hiyo ni 1961.
Tulicopy ndio toka ANC, lakini wakati huo wimbo HAUKUWA wa Taifa la Afrika Kusini.
Afrika Kusini walianza kutumia wimbo huo baada ya Mandela kutoka jela na kuchaguliwa kuwa Rais wa Afrika Kusini huru mwaka 1994.
 
muke ya mtu

JF-Expert Member
May 25, 2015
290
250
Nyumbu at their best.
Yaani wanatetea hata upuuzi. Tungeni nyimbo yenu ya kukitukuza chama chenu sio ku edit our National anthem.
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
12,770
2,000
Nilivyo elewa, ukipigwa kiserikali sawa unaupa heshima yake. Lakini kesho nikiamua kutuma baadhi ya maneno yake na beat lake kwenye Bongo fleva kuna sheria za kunishtaki?
Sijui Hilo la kisheria Ila kutumia tu common sense sio sawa Kuna vitu ni unwritten laws ndo zinatakw place
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
10,666
2,000
*_KUHUSU NEMBO ZA TAIFA_*

1. National Flag - Bendera
2. National Animal - Twiga
3. Uhuru Torch - Mwenge
4. Coat of Arms - Ngao ya Bibi na Bwana
5. National Anthem - Wimbo wa Taifa

Hizi nembo zote (National Symbols) zinalindwa na sheria yaani (Protected by law) isipokuwa: wimbo wa Taifa pekee ndio haulindwi na sheria .

KWANINI IKO HIVI

Ili kitu kilindwe na Sheria ni lazima kiwe kinamilikiwa kwa asilimia 100. Tanzania haina Umiliki wa 100% wa Wimbo wa Taifa kwa sababu wimbo huu tumeukopa kutoka kwa jamii ya wa *XHOSA* bila kuhamisha umiliki.

Baada ya kupata UHURU mwaka 1961, Tanganyika ilianza kuutumia wimbo huu kama *_Wimbo wa Taifa_"* lakini tayari ulikuwa unaimbwa na Jamii ya XHOSA iliyoko Afrika Kusini, na hata baada ya Muungano na Zanzibar, wimbo huu tumeendelea kuutumia.

Sheria ya Nembo za Taifa ya mwaka 1971 ilitungwa kulinda *HAKIMILIKI* (Copyright) ya Nembo zetu za Taifa, haikujumuisha wimbo wa Taifa kwa sababu hatuumiliki kwa 100%, *TUMEUKOPA* .

Mpaka sasa, wimbo huu unaimbwa kwa lugha tofauti katika nchi tatu ukiwa na mantiki ile ile na mahadhi/melody sawia: Tanzania (Kiswahili), Afrika ya Kusini (kama kipande cha wimbo wa Taifa lao; Kiingereza) na Zambia (Kiingereza).

Wimbo huu ulitungwa na *ENOCH MANKAYI SONTONGA (akiwa na umri wa miaka 24)* mwaka 1897 ukipewa jina la *"Nkosi *Sikelel *'iAfrika *"* yaani, "MUNGU IBARIKI AFRIKA*" na ulitungwa uwe wimbo wa shule lakini ukapendwa na watu wengi na kupata umaarufu na kuwa wa wimbo wa TAIFA lao, (AFRIKA Kusini) kabla hatujaukopi.

Mpaka sasa, hakuna mwenye mamlaka kamili ya wimbo huu kwa sababu, kijana aliyeutunga alifariki mwaka 1905 na hakuna anayeumiliki ndiyo maana unatumiwa na Nchi tatu(3) tofauti bila malumbano.

Ikumbukwe, kijana Sontonga alikuwa mahiri wa kutunga nyimbo za kanisani
Ondoa hapo wimbo wa taifa maana haupo na uweke sarafu ya nchi ambayo inatambulika.
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
2,299

Sawa hatuna umiriki nao,
Lakini tutumie busara Basi,huu wimbo unaheshima yake hapa bongo,unaimbwa bungeni,Ikulu,mashureni hata kwenye matamasha ya kimataifa,huu wimbo ni Kama Sala kwetu,
Tukienda kushiriki kombe la dunia,huu wimbo unapigwa,sasa Chadema msijifanye mna akili sana,kuriko watz wote,hata Kama hakuna Sheria inayoulinda,msiuchezee,mfano mkichukua madaraka mnaweza kuongeza ubeti wa kichaga,kinyiramba,kisukuma,kimakuwa kwenye huu wimbo?
Acheni Kiki za kitoto,yaani mmenichefua sana,
 
mutegulo

Member
May 15, 2013
61
125
Hu
Sijui Hilo la kisheria Ila kutumia tu common sense sio sawa Kuna vitu ni unwritten laws ndo zinatakw place
Yaani Mara zote sikusikiii vizuri kumwita binadamu Nyumbu, lakini Kama leo watanzania wanzetu wanajisibu kufuata demokrasia na haki. Wanadharua wimbo wantaifa kisa tu wameona haulindwi na Sheria. Nadhani hawa wakipewa nchi wataharibu zaidi.
Sawa nikubali kuwa wimbo huu haulindwi na Sheria Kama mtakavyo, je ni wapi Kuna sheria kwamba lazima umwamkie baba yako shikamoo? au Basi kwa vile hakuna sheria, upo siku baba yako na yeye akusalimie shikamoo mwanangu?
Tafakarini Sana. Kitendo chenu no sawa na kuidharau nchi yako.
Maadili na uadilifu wenu uko wapi?
 
Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
7,666
2,000
Lakini hyo sio sababu ya kutokuheshimu wimbo wetu wa taifa, nchi za wenzetu watu wanaheshimu wimbo wa taifa, huku wanasiasa wanaharibu. Tuwe wazalendo kwa nchi yetu bana
Mkuu kuheshimu ni kufanya nini? Kufanya remix ya wimbo wa mtu ni kuudharau wimbo wake au kuupenda? Ninyi watu mbona ujinga wenu umezidi kiwango? Au kwa kuwa imesema serikali ndo mnajitoa ufahamu Kama mlivyofanya kwenye corona?
 
cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
12,770
2,000
Sawa hatuna umiriki nao,
Lakini tutumie busara Basi,huu wimbo unaheshima yake hapa bongo,unaimbwa bungeni,Ikulu,mashureni hata kwenye matamasha ya kimataifa,huu wimbo ni Kama Sala kwetu,
Tukienda kushiriki kombe la dunia,huu wimbo unapigwa,sasa Chadema msijifanye mna akili sana,kuriko watz wote,hata Kama hakuna Sheria inayoulinda,msiuchezee,mfano mkichukua madaraka mnaweza kuongeza ubeti wa kichaga,kinyiramba,kisukuma,kimakuwa kwenye huu wimbo?
Acheni Kiki za kitoto,yaani mmenichefua sana,
Common sense ndogo imewashinda very shame
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom