wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020

    wimbo gani utakukumbusha mwaka 2020... We taja tu hata kama.... We taja tu..... ...nimesema we taja tu... Mabaya..mazuri...yote ni lazima tuyapitie.. 2020 Countin down
  2. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nautafuta wimbo wa dini “Unitume mimi”

    Habari za kwenu Wana jf? Msaada tafadhali wa wimbo wa dini jina linaitwa "Unitume Mimi" yani Wanaume kwenye huu wimbo wanaimba kwa sauti kubwa sana harafu ina beat ni hatari, Shida ni ninapo search nakuta nyimbo zingine pia zina jina hilo hilo la Unitume Mimi ila sijajua ni kwaya gani...
  3. Itovanilo

    JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo

    Nautafuta wimbo wa msanii anayeitwa Clean bandit na Sean Kingston unaitwa,rockabaye Tafadhali mwenye nao aniwekee hapa maana nimejaribu kugoogle naupata ila nashindwa kuudownload
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wimbo anaotakiwa Rais Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto

    Huu ndio Wimbo anaotakiwa Raisi Magufuli kuuimba yeye binafsi kila siku aamkapo au akutanapo na changamoto yeyote iwe kubwa au ndogo au akutanapo na chochote cha kukatisha tamaa au kumvunja moyo
  5. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 unaisha: Ni wimbo gani uliotoka mwaka huu unaukubali sana kwa tungo zake?

    Kwa ufupi mwaka huu pamoja na kuwa wa mabalaa ila kwa upande wa burudani hasa mziki imesonga kama kawa. Shiriki nasi wimbo zilizobamba sana kwako kwa mwaka huu. Mimi: Dear God; - DAX Lyrics; I just want to make this clear I am a believer But sometimes it gets hard My name is Dax (Dear God)...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania BASATA mtusaidie huu wimbo jana umenajisi kitongoji chetu siku nzima

    Hizi nyimbo za watu wa pwani wanaimba kama watu wanakimbia mchakamchaka fulani hivi zinaitwa Singeli. Jana watoto wengi walipata vipaimara sasa kuna Nyumba moja walikodisha mziki ambao sauti Kitongoji chote ilizizima kana kwamba kila mwanakitongoji kavalishwa headphone kwa ile mdundo. Mdundo...
  7. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dr. Levy mchoraji wa Katuni ya Baba Ubaya na mwimbaji wa Wimbo wa Kura yangu?

    Huyu jamaa alikuwa ndiye mchoraji wa katuni maarufu ya baba ubaya kwenye Gazeti la Kiu kabla ya kuacha kazi na nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine. Sijui kama hili gazeti bado lipo mtaani? Alikuwa rafiki yake Sugu, na nakumbuka alitoa kibao mwanana kinachojulikana kama Kura yangu. Kilikuwa...
  8. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Mario, wimbo "Tikisa" umetafsiri wimbo wa "Congratulation" wa Don Nalimison. Tafadhali buni vya kwako

    ANGALIZO kwa Msanii MARIO. MARIO: acha kutafsiri nyimbo zangu DON NALIMISON kwa Kiswahili, bunii vya kwako. Tikisa ume copy na ku paste wimbo wangu wa Congratulation ulioko You Tube tangu julai 2020. Ningeweza kukuweka DETENTION lakini Mimi simuuaji, naomba acha hiyo tabia buni vya Kwako bwana...
  9. Musundi

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa ''Sizonje - Mrisho Mpoto ft Banana Zorro''

    Wanajamvi, nakuja kwenu kutaka msaada kwa wataalamu wa fasihi kuhusu ujumbe uliomo katika wimbo uliotajwa hapo juu. Kiukweli Mrisho Mpoto namkubali sana kwa mashairi yake - tatizo tu sipati ujumbe sababu ya mafumbo yaliomo katika mashairi yake. Nakuja kuomba yeyote anayeelewa ujumbe uliomo...
  10. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Harmonize ashutumiwa kuiba wimbo wa "Huo ni Ushamba"

    Mwanamziki nguli wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ameshutumiwa na "wasanii wadogo" Lizu Dady na Phamo S kuiba idea ya wimbo wa wimbo wake mpya unaoitwa "huo ni ushamba". Wasanii hao wanadai walitunga wimbo mapema wanaouita "upimbi", wimbo ambao unaendana wazo pamoja na kiitikio (Chorus)...
  11. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Burna Boy na wimbo wa Jerusalema

    Angalia remix ya huu wimbo Jerusalema alioshirikishwa Burna Boy, naona kama ameupa huu wimbo ladha nyingine nzuri, enjoy!
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kijana mtanzania kaimba moja ya wimbo mgumu wa Rihanna

    Kijana mtanzania kaimba moja ya wimbo mgumu wa Rihanna
  13. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jumapili, 25/10/2020, Kanisani kwetu tuliombwa kuimba wimbo wa Taifa kwa ajili ya uchaguzi wa kesho 28/10/2020

    Kabla ya kumaliza Misa Takatifu, Jumapili iliyopita ya tarehe 25/10/2020, baba padri alituomba tuimbe wimbo wa taifa kwa ajili ya uchaguzi wa 28/10/2020. Mimi niliingiwa na kigugumizi kwa sababu siamini kama uchaguzi utakuwa huru, haki na wazi. Niliamua kuusikiliza ule wimbo kwa makini na...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania BASATA: Hatujaufungia wimbo wa 'One Time' wa Lady Jaydee

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema taarifa za kuufungia wimbo wa ‘One time’ wa Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee si za kweli. BASATA wamesema walimuita kumpa maelekezo msanii huyo ikiwemo kufanya maboresho kwa wimbo huo, kuwasilisha BASATA kusikilizwa na kupewa daraja la...
  15. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Wimbo Bora kabisa wa Kampeni Uchaguzi Mkuu 2020

    Wimbo uliobuniwa na Timu ya CHADEMA kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 unaweza kuwa ndiyo wimbo Bora kabisa kwa Chaguzi za hivi karibuni. Wimbo unaitwa "AIYAYA CHADEMA" Sikiliza mwenyewe then put your comment.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa CHADEMA 'Tuwamwage mafisadi' ulikuwa hamasa kwa vijana

    Kumekua na wimbo ambao umekua ukiimbwa kwenye harakati za chadema kwa mda mrefu safari hii siajausikia kabisa sijajua kwa nini. Wimbo ulikua ukiimbwa hivi "TUWAMWAGE MAFISADI" huu wimbo ulileta hamasa kubwa sana kwa vijana kuhusiana na tatizo sugu la ufisadi hapa nchini kwetu. Kwa maoni...
  17. Cannabis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Pongezi nyingi kwa aliyewaza kutumia wimbo wa Bob Marley wa "One Love" kwenye kampeni za Lissu

    Kama inavyoonekana kwenye video hapo, wimbo huu umekuwa ukileta hamasa kubwa sana kwa wananchi pale unapopigwa kwenye kampeni za mgombe Rais kupitia CHADEMA Mh. Tundu A. Lissu. Wimbo huu unatuma ujumbe wa muungano na upendo katika kipindi ambacho tunapitia changamoto kubwa ya siasa za chuki na...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe: Halima Mdee alalamikiwa kukiuka maadili ya uchaguzi kwa kutumia lugha ya matusi na kashfa

    Malalamiko yaliyofikishwa kwenye tume ya maadili ya uchaguzi ni pamoja na kumuita Gwajima kuwa ni Chokoraa, aidha ametoa madai yasiyoweza kuthibitika ni kudai kuwa mchungaji Gwajima anatembea na kondoo wake, ni mtu anayetafutwa huko Japan kwa kutembea na mke wa mchungaji Pia amedaiwa kusema...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo hakika ni mzuri ukiuimba mpaka unajisikia raha

    Huu wimbo hakika ni mzuri ukiuimba mpaka unajisikia raha.
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Msanii Lady Jaydee atuhumiwa kuhamasisha matumizi ya Bangi kwenye wimbo wake

    MSANII mkongwe wa Bongo Fleva nchini, Judith Wambura ‘Lady JayDee’ ameingia kwenye hatari ya kufungiwa wimbo wake mpya, unaokwenda kwa jina la ‘One Time’ baada ya kudaiwa kuhamasisha matumizi ya uvutaji wa bangi. Hatua hiyo imekuja, baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), kuthibitisha...
Back
Top Bottom