wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa una hati miliki ya serikali kubadili beti au chochote kunataka

    Ukitaka kubadili chochote sharti kibalib na sharti Ni hili Permission is granted at the discretion of the Government and may be subject to certain conditions, including: the tune or the words of the Anthem may not be modified, parodied or demeaned alternative words cannot be substituted for...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Remix ya Wimbo wa Taifa; CHADEMA mmezingua sana

    CHADEMA WAMEONYESHA UBINAFSI: NI KUHUSU WIMBO WA TAIFA. Na, Robert Heriel Nimesikitishwa sana na kile nilichokiona leo kwenye mitandao ya kijamii. Ni video moja ikiwaonyesha wanachama wa CHADEMA wakiimba Remix ya wimbo wa Taifa. Kuimba Remix ya wimbo wa taifa sio kosa na wala sina neno nao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

    Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine. Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni kweli CHADEMA wamebadili wimbo wa Taifa na kuweka maneno yao ya uvyama vyama kwa kweli, hicho siyo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Yaani ITV mkutano wote wa CHADEMA la maana kuripoti mliloliona ni kuhusu kuongeza aya kwenye wimbo mengine hamjayaona

    Yaani taarifa ya habari ITV mlichoona cha maana kuripoti kutoka mkutano wa CHADEMA Ni kuhusu kuongeza aya ya tatu kwenye wimbo wa taifa, tena kwa kumuonesha jaji mtungi tu Mengine yoote hamjaona ya maana bali Hilo moja tu! kweli?
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania CCM "wakiharibu" wimbo wa Taifa: Jicho la Mutungi lina makengeza?

    Katibu Mkuu wa BAVICHA Nusrat Hanje na mratibu wa uhamasishaji taifa Twaha Mwaipaya wapo gerezani yapata mwezi sasa kwa kile kinachodaiwa kuuharibu wimbo wa taifa kwa kusema "Mungu ibariki Chadema, wabariki viongozi wake". Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi nae kakipa onyo Chadema kwamba...
  6. Don Nzoko

    JamiiForums Tanzania Jina la msanii aliyeimba au jina la huu wimbo

    Mwenye kujua jina la msanii au wimbo
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msajili wa Vyama ameionya CHADEMA kwa kuongeza ubeti wa 3 katika Wimbo wa Taifa jana katika Mkutano wa Baraza Kuu

    Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu Francis Mutungi ameionya CHADEMA kutokana na alichokiita uvunjifu wa sheria kwa kuongeza ubeti wa tatu kwenye wimbo wa Taifa. Ameeleza kuwa kitendo hicho kilifanywa jana wakati Baraza Kuu la CHADEMA lilipokuwa likimpendekeza atakayepeperusha...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Sikiliza wimbo wa Rosa Ree ambao Harmonize alitumia beat yake bila ruhusa na kusababisha Rosa kumshtaki

    Sikiliza Wimbo wa Rosa Ree Ambao Harmonize Alitumia Beat Yake Bila Ruhusa na Kusababisha Rosa Kumshtaki youtube, Harmonize siku ya jana alipandisha wimbo katika Youtube channel yake wimbo wa Amen ambao ametumia beat ya wimbo wa Kanyor Aleng wa Rosa Ree Bila Ruhusa. Asubuhi ya leo wimbo huo...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wimbo: Kwaheri Benjamin Mkapa

  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Pengo la Capt. John Komba halijazibika, tayari wimbo ungekuwa hewani muda huu

    Captain John Komba alikuwa na kipaji chake Cha ajabu kabisa. Alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo mzuri sana, wenye ujumbe mzuri na wenye hekima za Hali ya juu Ndani ya dakika chache. Kwa Mara ya kwanza nilimsikia mwaka 1984 alipofariki Hayati Edward Moringe Sokoine. Ndani ya muda mfupi alitunga...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa: Mfahamu Enock Sontonga

    Mtunzi wa melody ya wimbo wa Taifa letu; Mungu Ibariki Afrika ni mwafrika anaitwa Enock Mankayi Sontonga (Enoch Sontonga - Wikipedia )ambaye aliutunga kama Nkosi Sikelei iAfrika mwaka 1897 huko Afika Kusini. Mwanzoni wimbo huu uliimbwa kama wa dini ili kupata baraka za Mungu, lakini baadaye...
  12. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa "Congratulation" katika Albam ya Antibioticcs ya Don Nalimison umetoka rasmi leo

    Karibu kutazama video ya wimbo wangu mpya uitwao Congratulations Bila Kusahau Like, Comment, Share & Subscribe 🙏
  13. M

    JamiiForums Tanzania Anayepiga ngoma kwenye wimbo wa Lucky Dube, Back To My Roots, ni hatari

    Anayemjua please atujulishe ni nani hyu mwamba anayecharaza bati kwenye huu wimbo wa hayati Lucky Dube Back To My Roots. Yani ni sheeda; anapiga ngoma vibaya sana. Huyu ni nouma dah yani sheeedah
  14. TODAYS

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwl. Samson Kibaso, mtunzi wa wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Afariki Dunia

    Ni nani mtunzi wa wimbo wa EAC? PICHANI: Mwl. Samson Kibaso enzi za uhai wake. Kuanzia 1999 hadi 2010 EAC ilikua ikitafuta wimbo rasmi wa Jumuiya hiyo. Aliyekua Katibu mkuu, Balozi Juma Mwapachu alikiita kipindi hicho "a decade-long search for a song that East Africans would call their own"...
  15. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuburudika kwa wimbo uliotulia. utafute huu

    Kama unataka kuskiliza wimbo utakaokutoa stress either za kutemwa na pisi yako au kudaiwa kodi, ama ada ya shule ya mtoto tarehe 29 .. Basi tafuta huu wimbo. Ibrahnation -naamini. Thank me later ni wa kitambo kidogo
  16. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Tukasikia haya mashairi ya huu wimbo pamoja

    Verse 1: wachache ndo wanaishi wengi wetu ma escorts, twiga wanapanda pipa hata bila ya passports, mikoa mingi bado haina hata airports, zaidi ya migodini madini kuya export, bila ya wazawa kufaidika, ndo mana wazanzibara wamechoka kutanga na nyika, big up Mandela leo South sio Africa...
  17. Slowly

    JamiiForums Tanzania Video: Harmonize akicheza wimbo wa Jeje wa Diamond Platnumz

    Huenda kuna kitu Kati ya hawa watu, tuwe na akiba ya maneno
  18. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Mwenye huu wimbo naomba jamani naupenda sana

    Mwenye huu wimbo naomba anitumie naupenda Sana, hapa nimefanya kuunga vipande tu ili niupate wimbo kamili. Vipande vyenyewe nilirecodi kwenyeTBC siku ya muungano mwaka 2014 na 2015 walipiga vipande tu ndio nikavirekodi. Mwenye nao full nisaidie.
  19. Robidinyo

    JamiiForums Tanzania Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

    Humu wameizungumzia Corona, huu ndo tunaita ubunifu. Siyo Habari za bunyero bunyero inama nipachike rungu MASHAIRI Rostam - Kaka Tuchati Lyrics | Afrika Lyrics (Tongwe Records) Oooii naona mtandao unakatika Upo kimya sana mkato au kunde imevunjika Na mtanyooka roundi hii Na hivi huwezi...
Back
Top Bottom