wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Swali: Wimbo wa Gere haupo trending au umekuwa replaced na Jeje? Kwa nini haupo kabisa kwenye 50s

    Wimbo wa Gere ulikuwa Trend no. 1 juzi yu, na then umekuwa replaced no. 1 na Jeje Jeje kuwa no. 1 kwa popularity na power ya Diamond haina la kushangaza Ila iweje Gere umepotea kabisa? Ungekuwa angalau no. 3, 4, Hata 10, 30, hata 40.. HAUMO Wimbo kama wa haujanikomoa ni wa 49 sasa it makes a...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Sikiliza kionjo cha wimbo mmojawapo kwenye album ya #Afroeast..

    Katika pitapita zangu nmekutana na kionjo cha one of the song in #afroeast album. Aisee a new big artist in Africa and the world is introduced tarehe 14 mwezi Wa 3. Kondeboy anaenda Ku trend kama Burnaboy mwaka jana. Download it
  3. Slowly

    JamiiForums Tanzania Video: Huu wimbo anaocheza Haj manara unaitwaje niupakue

    Kama nilivyouliza jaman , nahtaj kujua jina la huu wimbo , naupenda nataka niupakue
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naomba wimbo Huu wa kihindi wa sharkhan

    upo hiv una sound anko hamisi tucharo najua nimekosea kutamka kihindi lakini kitu Kama hicho.
  5. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa taifa uwe lazima mashuleni

    Naandika kwa masikitiko makubwa, ni masikitiko makubwa sana, mtoto anarudi nyumbani kutoka shule amekariri nyimbo zote za kizazi kipya na hajui kabisa kama kuna wimbo wa taifa inasikitisha sana, ukienda kwenye mahafali ya shule za msingi watoto wanawekewa nyimbo za sasa ambazo nyingi zimetungwa...
  6. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Stamina kaiba wimbo wa Dizasta Vina. Ushahidi huu hapa

    Kwa wapenzi wa Hip-Hop nadhani tunamfahamu Dizasta Vina na huu wimbo wake ni wa siku nyingi tu Angalia jinsi huyu Stamina alivyo copy (Hapa nyimbo zote zinalinganishwa) Na huu ndo wimbo wa Stamina aliyoiba Nawasilisha
  7. H

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo Nani kaimba na unaitwaje?

    Kuna wimbo mmoja hiv unasikika Sana mtaani ni wa bongo fleva umeimbwa na mwanamke na mwanaume na moja Kati ya mistari ya huo wimbo ni "Naisi kuibiwa, nachanganyikiwa" "Nimechoka kusubili,mbona utokei" Alafu corus yake inaimbwa " kaputa" sijui nitakuwa nimelipatia hili neno .
  8. H

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo na kaimba?

    Kuna ngona moja hiv nasikia Sana mtaani na moja Kati ya mistari inasema hiv Naisikuibiwa,nachanganyikiwa nimechoka kusubili mbona utokei. alafu chorus yake ni "kaputa" sijui nitakuwa nipo sahihi na hili neno.waimbaji wapo wawili mwanamke na mwanaume.
  9. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Kwanini jana waumini walilazimishwa kuimba wimbo wa Taifa Makanisani?

    Jana waumini wa makanisa mbalimbali walienda makanisani kuabudu kama ishara ya kumshukuru Mungu kwa kumaliza muongo/ mwaka. Cha kushangaza wakati ibada inaendelea walilazimishwa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania. Haya niliyashuhudia kwenye kanisa la RC Kimara na LILE pale karibu na ofisi za...
  10. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu mnakwama wapi?

    Hii Wizara ishakuwa kidonda ndugu, ubora wa elimu unashuka kila kukicha wahitimu tunaozalisha hawakidhi vigezo vya soko la ajira. Shule zetu za umma uwiano wa wanafunzi kwa Mwalimu hauendani na uhalisia watoto wetu kila siku wanadaiwa hela na maelezo sahihi mwanangu wa Darasa la pili kila siku...
  11. Slowly

    JamiiForums Tanzania Video: Maelfu waimba wimbo wa mdogo mdogo, Diamond akitumbuiza kule Guinnea Bissau

    Juzi Diamond Platnumz alikuwa Guinnea Bissau akipiga show , Wimbo wa mdogo mdogo ulipopigwa uwanja wote ulizizima na ikawa shangwe kila Kona chek video, video ni fupi ya dk moja
  12. T

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kushare nyimbo za Kisukuma

    Bhanamhala mhu le mhola hene? Uzi huu mahususi wa kushare ama kushirikishana nyimbo zozote za kisukuma ili kudumisha mila na tamaduni zetu. Kwa sababu wasukuma tunasifika kwa kuwa wapole na wakarimu. basi uzi huu unaruhusu pia makabila mengine kuweka nyimbo zilizoimbwa kwa lugha zao ili tuweze...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Unatafuta wimbo wa Gosple na hujaupata? Hata mimi pia

    Jamani naomba tusaidiane, kuna nyimbo za Gospel huwa nazitafuta na sizipati naomba kwa uzi huu ikiwezekana nifanikiwe. Mimi nawapa huu wa Malebo kama kuna yeyote anautaka ila mimi natafuta .. 1. Maisha yako wewe - Kijitonyama 2. "Shambani mwa bwana kuna mavuno watenda kazi ni wachache" "Ninani...
Back
Top Bottom