Watu wa Dar waume kwa wanawake ni kama watu wa familia moja. Walio wengi wanaumbo mviringo kama kiazi ulaya!
Ningumu kujua kama mtu wa Dar anakwenda au anarudi, ngumu kujua mgongo ni upi na tumbo na kifua ni vipi .Miili Yao imeunganika kama matikiti maji.
Shida ni nini hapo Daslamu?
Nimefuatilia na mmoja nimemaliza kumfuatilia. Yaani hot ubarikiwe yake anaongea kana kwamba jinsia ya mkutano wake ni ya kike tu.
Na naona ndio wanaomfuatilia na kucheka sana mkutanoni kuliko wanaume.
Hii imekaaje. Wakina mama muache kuwajaza vichwa watumishi wakatusahau na sisi wababa ambao...
Na huna cha kuwaambia wanajiona wameyapata maisha , hizo sinoray zilizoundwa kwa matembezi ya kawaida wao wanaziona kama XL za mashindano na michezo.
Iwe foleni, mlimani, kivukoni, wao ni mwendo mdundo wakijisifu kwa kupangua gia
Tukisema tufanya maisha yetu tuachane nao bado sio sawa, kuna...
Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri mdogo ambao hawajavuka 30 za mwanzoni, ni risky kubwa sana kuendelea kuweka matumaini yako hapo...
Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina.
Usicheze na kitu kinaitwa...
Watu wengi wamekuwa na maoni kwamba Erling Haaland ana muonekano kama wa mwafrika. Sura ya Haaland ni features za kiafrika isipokuwa ngozi na nywele ndio vya mzungu. Wengi wanamfananisha na wa Afrika kutoka West Africa.. ( Rapper Fat Joe ni moja Kati ya watu ambao sio wa Afrika lakini wana...
Askofu Dkt. Bagonza amesema viongozi wengi wa vijana wamejaa uoga unaoitwa utii, hali inayowafanya washindwe kusimamia maslahi ya wenzao. Amesema viongozi hao wanaongoza vijana wengi waliokata tamaa na wanaokimbilia majibu mepesi, ikiwemo kutegemea miujiza, njia rahisi za kupata utajiri na...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema "Vijana wengi katika taifa letu wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa."
Akizungumza Julai 9, 2026, katika Jukwaa la...
Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani.
Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung.
Kashafika level ya kurusha ndege.
Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
"Mfumo haupendi watu smart."
Watu wengi wakisikia kauli hii huifikiria vibaya. Lakini sikumaanisha kwamba mfumo unachukia watu wenye akili.
Ninachomaanisha ni kwamba, katika mazingira mengi, mfumo huogopa watu wenye maono makubwa, wanaouliza maswali magumu, na wanaotafuta mabadiliko ya kweli...
Ukipitia maoni au hata mijadala ya watu mbalimbali humu jukwaani na hata kwenye mitandao mingine ya kijamii utagundua kuwa raia wengi hawana uwezo wa kuandika Kiswahili kwa ufasaha.
Wengi wao unakuta wanafupisha fupisha maneno hali inayopelekea kutokueleweka kabisa kitu wanachokimaanisha, je ni...
Siku imeisha!
Tayari imeingia siku ya jumatano.
Serikali ilitoa hakikisho kwamba wananchi waendelee na shughuli zao siku ya Jana 7/7. Kwani vyombo vya Dola vitafanya kazi yake ya kulinda na kuhakikisha kunakuwa na utulivu.
Lakini ajabu ni kuwa kwa sehemu kubwa biashara nyingi katika majiji...
Wiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu
Toyota crown
Ist
Raum
Harrier
Rav 4
Honda Cr
Mazda CX-5
Toyota Fortuner
Kia
Hyundai Santa Fe
Toyota Prado
Nissan patrol
Gari hizi sio
Luxury
Old technology
Bad interior...
Guyz, nimegundua kuna trend mpya mjini, wanawake wengi hawa wenye manyonyo makubwa a.k.a mtindi na wale wenye manyonyo ya kati a.k.a mabolibo hawavai kabisa bra, yaani mwanamke kavaa dera lake ndani hana chupi wala bra au wengine huvaa tishet oversize ukiangalia kifua mtindi unaning'inia...
Kila mara tunaposikia kuhusu Mashariki ya Kati, jina la Hamas huibuka haraka na mara nyingi hufuatwa na neno ugaidi. Lakini historia ina ukurasa ambao watu wengi hawaujui au hawapendi kuuzungumzia.
Kabla ya Israel kuzaliwa mwaka 1948, harakati za Kizayuni nazo zilikuwa na makundi ya "kigaidi"...
Leo mjinga ndio anakuwa na cheo na kila kitu.
Kwa nini dotto magari kafikia kuziaki wenye elimu wakati anachokitumia kimetengenezwa na wenye elimu.
Tanzania kama mzazi kumbatia mawazo ya mtoto wako na ndoto zake.
Walimu wengi wameharibu ndoto za watoto hata mliopo hapa JF mnaweza kutoa...
Nimekutana na jamaa kafanikiwa kimaisha na kaelimu.
Leo ndo nimeelewa watu.Mada ilikuwa hivi.
Kanikuta naangalia graph za forex kati ya USD vs GOLD.
Kaniuliza naona ushaanzaa utapeli.
mi nimemuuliza we unajuwaje leo thamani gold na wote tuko soko la madini.
Nimecheka sana, baada ya kusikia sababu za polisi kubadilishiwa uniform toka zile za zamani. Kumbe sababu ilikuwa kuficha vitambi!
Hizi za sasa mashati sio yale ya kuchomekea, na hivyo kutoonyesha vitambi vyao.
Huu ni ubunifu mzuri sana wa serikali. Funika kombe.
Habari,
Hili limekuwa tatizo kubwa hasa kwa mikoa ya pembezoni kwa madalali wa mahakama kuu kutokuwa ma ofisi na maghara ya kuhifadhia mali wanazokamata.
Hii ni changamoto kubwa kwani mahakimu wafawidhi wa mikoa wanapitisha watu wao wanaowapenda wao kwa maslahi yao kitu kinachopelekea madalali...
Anonymous (ee77)
Thread
kuu
madalali
mahakama
mahakama kuu
nyaraka
ofisi
wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.