Hata tufanyeje lazima tufanane na wazungu kwenye siasa za vyama vingi. Aina hii ya siasa ililetwa kwetu na wazungu kwakuwa wana kazi nayo, lakini vyama na wanasiasa waliopigania uhuru waliikubali aina hii ya siasa kwa shingo upande kwa kulazimishwa.
Wakati wazungu wanaileta kwetu aina hii ya...
Hii Ndio List Ya Wasanii Wenye Wafuasi (Subscribers) Wengi Zaidi Kwenye Mtandao Wa YouTube
1. #DIAMOND 5.44M
2. #RAYVANNY 3.03
3. #HARMONIZE 2.68M
4. #MBOSSO 1.71M
5. #ZUCHU 1.44M
6. #ALIKIBA 1.03M
7. #LAVALAVA 1.01M
8. #NANDY 847K
9.#ASLAY 805K
10. #ROMA 442K
CC @chartdatatz
Mitaani misiba imekuwa mingi sana. Kwingine habari za mochwari kufurika zinasikika.
Maprofesa na hata vigogo ni baina ya wahanga.
Moja ya vipimo vya uhalisia wetu kuhusiana na huu ugonjwa ni hiki hapa:
Babu Loliondo aliachwa kukusanya wagonjwa wa Corona nyumbani kwake pasipo na kuwepo...
samahani kama nimetumia neno baya, lakini ukweli ndio huo, nimesikiliza na kusoma basdhi ya hoja na maoni ya wapinga chanjo, nimegundua taifa hili bado linamzigo wa ujimga kwa asilimia 90, soma baadhi ya sabanu zao
huyu yeye anaamini alinayechoma hiyo sindano ni ummy mwalimu, kwaiyo...
Utaratibu wa Sasa wa mabenki Ni lazima uwe na salio la kwenye line ya simu ndipo uweze kufanya miamala, Kwanza tu hii idea na mfumo wake unaonyesha Tanzania tuna wamiliki wa benk wasiotumia akili na wasiofanya utafiti au wanaoburuzwa. Kwasababu "Nina zaidi ya milioni kumi kwenye akaunti au hata...
Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote.
"Mimi ni Binadamu sijakamilika na siyo Malaika hivyo yawezekana nina Mapungufu yangu na kuna...
Rejea kichwa cha Habari hapo juu
Ni mechi ya kirafiki iliyochezwa tarehe 2/8/2014 mjini Michigan kwenye dimba la Ann Arbor Stadium, Nchini Marekani, ilihudhuriwa na watazamaji 109,318 na kuweka historia ya aina yake kwenye ulimwengu wa kandanda kwa vilabu.
Mechi hiyo ya kirafiki Manchester...
Baraza la Haki Za Binadamu la Umoja wa Mataifa mwaka 2016 lilitambua Intaneti (Internet) kuwa ni Haki ya kila mtu.
UN inatambua, kila mtu ana Haki ya kupata na kutumia Intaneti bila ya kujali kipato chake, eneo alilopo na hali yake ya mwili (ulemavu au la).
Hata hivyo Jamii Forums...
Wosia ni kauli ya hiari inayotolewa na mtu wakati wa uhai wake ikionyesha mgawanyiko wa mali/mirathi pamoja na muongozo wa familia yake baada ya kifo chake. (tafsiri ya kisheria)
Katika jamii ya Kitanzania, kumekua na mitazamo mbalimbali juu ya kuandika wosia na wenegi wamekua wakihusisha na...
Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa ukosefu wa elimu huwafanya watu wengi waingie katika utumwa unaotokana na biashara ya binadamu
Wahanga wa Biashara ya binadamu wametakiwa sana ili kuonesha namna ya kukomesha biashara hiyo haramu
Aidha #COVID19 imetajwa kuwa na uwezekano wa kuongeza matukio...
Mh Rais mashitaka dhidi ya Mbowe na wenzake yanashitusha sana watu wengi na hata wale ambao kwa vyovyote si mashabiki wa Mbowe au CHADEMA na ni mashitaka ya juu sana mtu kutuhumiwa nayo hasa mtu wa karba ya Mbowe kwa hiyo matarajio yetu ni kuwa serikali na DPP walishajipanga kumpeleka Mh Mbowe...
UTANGULIZI.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na changamoto kubwa ya watu wengi kupata maumivu ya viungo sehemu mbalimbali za mwili. Zipo sababu nyingi zinazosababisha watu kupata matatizo ya kumwa viungo vya mwili lakini sababu moja wapo ni ukosefu wa elimu ya Ergonomics.Kwa...
Je, wangapi unawajua wametimiza ndoto zao '?, Na wewe kama wewe ulishiliki vipi kuzitimiza '? ,Na pia ni wangapi unawafaham hawajatimiza ndoto zao na wameshakata tamaa katika kutimia kwa ndoto hizo '?, Na ni wangapi mpaka leo bado wanapambana ili kufikia na kutimia kwa ndoto zao ,na wewe...
Soka ( ama mpila wa miguu ) ni moja kati ya michezo inayopendwa na kufuatiliwa sana ulimwenguni kote, Mchezo huu una wafuasi wengi zaidi ya michezo mingine duniani, Vijana mbali mbali duniani wamekuwa wakifaidika, kuwa maarufu na kujipatia maendeleo kupitia soka, vivo hivyo , Ndizo ndoto za...
Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”
kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani
(1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
Mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka 1347 karne ya 14, meli 12 ziliwasili katika bandari ya messina mji wa Sicily nchini Italia zikiwa zimetokea bahari nyeusi maarufu kama The Black Sea.
Sababu ilikua moja ya bandali kubwa ya kibiashara watu walisogea ili kupokea meli hizo na kupigwa na butwaa baada...
Mkazi wa makabe anayeitwa Grace amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mpenzi wake ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai.
Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba...
Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
Kijana Diamond Platnumz ni msanii ambae ni fundisho sahihi la namna halisi la jinsI ya kuwa na maendeleo one step at a time, kutumia connections za watu (networking) na kuji brand, pengine niseme wasanii wengi wapo kwenye kiwanda cha muziki ila huyu jamaa yupo kwenye kajiongeza mpaka kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.