wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu zinazowafanya wagonjwa wengi wa bawasiri kutumia dawa nyingi bila mafanikio

    ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WAGONJWA WENGI WA BAWASIRI KUTUMIA DAWA NYINGI BILA MAFANIKIO. Pandex(+255 743 549 126) Pandex Herbal Clinic Dar es salaam ILALA BOMA. PANGANI & UTETE STREET Kwanza Mgonjwa wa Bawasiri anatakiwa kufahamu ya kwamba,matibabu si dawa pekee.Watu wengi wanaamin kwamba...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usiingilie ugomvi wa Wakubwa! Ndicho kinachoenda kuliza wengi

    Hallelujah! Bado nakusanya ripoti. Bado najifunza na nitaendelea kuwafundisha. Kuna msemo maarufu usemao, usiingilie ugomvi wa wazazi, msemo huo upo kwenye level ya kifamilia. Watoto wengi wanaoingilia ugomvi wa Baba na Mama hujikuta katika maisha magumu hapo baadaye kwa namna waijuayo au...
  3. Vien

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanachanganya haya maneno mawili: best & favorite

    Moja ya vitu vinavyoleta mkanganyiko mkubwa kwenye mijadala ya watu ni matumizi ya maneno mawili “Best” na “Favorite.” Unapaswa kuelewa kwamba kitu kinaweza kuwa Best kwa maana kwamba unakikubali kuwa ndicho bora zaidi, lakini kisiwe Favorite chako. Vivyo hivyo, kitu kinaweza kuwa Best na...
  4. Stability

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya kuishi Dar es Salaam na kukaa Dar es salaam. Wengi wetu tunakaa Dar es salaam

    Umeshtuka usiku unasikia kiu, sasa lile wenge la usingizi unasahau dumu ambalo lina maji ya kunywa unachanganya na ndoo yenye maji uliosuuzia vyombo vichafu usiku unayochota na kunywa, 🤮
  5. J

    JamiiForums Tanzania Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

    Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.! Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
  6. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mitaa kwenye mikoa mbalimbali inayoongoza kwa kuwa na walevi wengi wa pombe

    Kimara- DSM Uyole-Mbeya Ccm-Iringa mjini Kiboriloni-Moshi Himo-Moshi Nyegezi-Mwanza Manzese-DSM Tegeta-,Dsm Tabata-DSm Kwa mrombo-Arusha Matejoo-Arusha Majengo-Moshi Sanawari-Arusha Mabibo-Dsm Buguruni-DSm Mbagara-Dsm Mwananyamala-DSm Sinza-Dsm Mbezi Magufuli-Dsm Kigogo-Dsm
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawapo kwa ajili yako,wapo kwako kwa manufaa yao siku ukibaki wewe utaelewa hili

    pale unapougua, pale kazi inapokwama ndipo utajua ni nani alikuwa na wewe na ni nani alikuwa na kile ulichokuwa nacho. Huu siyo uchungu bali hii ni uchujaji wa asili. Mungu wakati mwingine anakuruhusu "ubaki wewe" ili akufundishe somo ambalo vigelegele haviwezi kukufundisha. Unapobaki wewe...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini wasomi wengi nchini Tanzania, husita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani?

    Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nyuzi zipi zina wachangiaji wengi?

    Jamii forum ndo jukwaa lenye mchanganyiko wa watu mbalimbali wakiwemo wasomi na watu wenye vitengo mbalimbali n.k. Hivyo wingi wa uchangiaji kwenye mada fulani unaweza kusaidia kuiona sura ya taifa. Je wachangiaji wengi wapo kwenye nyuzi za siasa, michezo, vita, uchumi, harakati za maisha...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Historia ya watu wengi ipo machoni mwao

    Macho hayafichi, tabasamu linaweza kufanya kazi ya kuku-brand ila macho yanabaki vile vile. Combination ya hurka yako na historia ya maisha yako ya nyuma hubebwa na macho yako. Makusudi yako yatafichwa na kukenua kwako ila sio macho yako. Machungu yako yatafichwa na kuchangamka kwako ila sio...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unafikiri kwa nini CCM haina ushawishi kwa members wengi humu JF?

    Hamjambo! Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani. Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha. Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu...
  13. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Tatizo la afya ya akili linavyomaliza wengi kimyakimya

    Hii gari imeonekana ikiwa imepaki pembezoni mwa uwanja wa hapa mtaani kwetu toka Jumanne ya wiki iliyo pita, mwenye gari hii alikuwa mdada. Huyu dada ilikuwa Kila siku saa mbili asubuhi anakuja na gari lake ana paki hapo anashuka na kiti chake anakaa hapo nje ya gari chini ya mti, halafu...
  14. Vien

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa wengi wanauonea wivu uhuru wa waliojiajiri, lakini hawajui gharama ya huo uhuru

    Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara. Waajiriwa wengi wanawatazama waliojiajiri kwa jicho la wivu. Wanaamini kujiajiri ndiyo uhuru wa kweli. Unaamka muda unaotaka, unafungua biashara muda unaotaka, unafunga muda unaotaka, hakuna boss wa kukupangia ratiba, hakuna mtu wa kukuuliza kwa nini...
  15. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

    Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana) Binafsi napenda kuwa the center of attention. Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba Africa imeshakua na madikteta wengi na wameshindwa ondoa umaskini kwenye nchi zao

    Ayoub rioba afrika imeshakua na madikteta wengi sana ila cha ajabu wameshindwa kuondoa umaskini na kutengeneza taasisi imara kwenye nchi zao Sasa unavyosema chanzo cha matatizo ya afrika ni madikteta ni wazi hujasoma historia ya bara la afrika
  17. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali iboreshe huduma za usafiri wa anga na kushusha gharama za nauli ili Wananchi wengi wapande

    Serikali iangalie kwa karibu sekta ya usafiri wa anga nchini, hasa suala la gharama kubwa za nauli za ndege ambazo zimekuwa changamoto kwa Watanzania wengi. Kwa sasa, wananchi wengi wanashindwa kumudu usafiri wa anga kutokana na bei kuwa juu ukilinganisha na uwezo wao wa kifedha. Tunaiomba...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sioni Mwanasiasa wa Kuwapambania Wananchi. Wengi ni Wazee Waliojichokea na Madingi wenye Njaa.

    Nimeziona picha zilizotumwa mtandaoni zikiwaonyesha viongozi wa vyama vya siasa waliokua wakimsikiliza Samia, ama kwa hakika ni aibu na hawatii matumaini kwa Tanzania ijayo. Yani ule ukumbi ulipwaya, ni kama ombaomba walikua ukumbini wanamsikiliza Samia. Mwingine sijui kapigwa stroke kapona...
  19. Vien

    JamiiForums Tanzania Wasanii wengi wa Hip Hop wanafanya muziki ambao hauna impact yoyote

    Kwa upande wa Hip Hop, imekuwa ni kawaida sana kukuta msanii ana zaidi ya miaka 20 kwenye game, lakini ukichunguza vizuri utakuta ngoma iliyompa heshima ndiyo ileile iliyomtoa kwenye game. Baada ya hapo hajawahi tena kutengeneza ngoma iliyofikia kiwango kilekile. Yaani unakuta msanii kila...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wakikuchoka hutamani uwa-cheat ili wakufumanie kisha wakufukuze

    WANAUME WENGI WAKIKUCHOKA HUTAMANI UWA-CHEAT ILI WAKUFUMANIE KISHA WAKUFUKUZE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tena ukute ndio mama wa nyumbani, beki Tatu, huna kazi wala kipato. Kwenu mafukara. Aiseeh! Binti zangu. Mmekwisha. Kila siku nawaambia mnisikilize. Baadhi yenu wakaidi. Jitahidi...
Back
Top Bottom