Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,594
Reaction score
59,919
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi.

Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi.

Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?
 
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi. Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi. Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?
Alcohol free since January 1 2024.

Sipo kundi hilo.
 
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi. Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi. Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?
Wakifika mbiguni watapewa figo mpya new modely
 
1000324207.jpg

Karibu tumalizie weekend mkuu

1000188729.jpg
 
Kila kitu ukifanya bila wastani kina madhara.

Best way ni kunywa kwa wastani.

Organs za mwili zina kinga ya juu. Ukiona mtu anaumwa organs shida haianzii kuwa ni pombe. Bali kuna kichocheo kingine kilichochea.

Pia asilimia 80% ya wanaoumwa Figo chanzo ni High blood pressure. Ambayo hata kama haunywi pombe. Unaweza ukapata.
 
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi. Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde wa clouds fm inaonyesha kuwa madhara haya ni halisi. Hata hivyo, bado watu wengi hawataki au tunashindwa kuacha mapombe makali.shida ni nini hatuamin yaliyowatokea au?
Hata chakula kina madhara ila watu wanaendelea kufakamia. Kila kitu kwa kiasi mbona hakuna shaka
 
Pombe ni "social lubricant"; Inarahisisha mchakato mzima wa kujumuika na watu. Inakupa wepesi. Vile vile pombe ni mhadarati unaolevya na kupagawisha.

Binadamu amekuwa akiitumia kwa muda mrefu sana. Teknolojia ya viwanda imetuwezesha tuitengeneze kwa wingi kuliko tunavyoihitaji.
 
Back
Top Bottom