Kwanini watu wengi wanapenda singeli???

Kwanini watu wengi wanapenda singeli???

Seran huyu anasemaje? Atakuwa sio mwana huyu.
IMG_5054.jpeg
 
Hiyobl resechi yako umeifanya mikoa migapi? Sample saizi ilikuwa ngapi? Unauhakika watu wa Kanda ya ziwa, nyanda za juu kusini na magharibi mwa Tz kama kigoma na tabora wanapenzi utamaduni huo wa watu wa pwani?

Sio Kwa kuwa demu wako anapenda singeli basi umeconclude binadamu wengi tunaoenda singeli.
 
Back
Top Bottom