Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 38,861
- 59,468
Kila ninachokipata kinapotea kwenye mazingira yasiyoeleweka, kichwa kikuu kimeshindwa kabisa kufanya maamuzi magumu ya kuzuia pesa isipotee.
Maendeleo yangu yamekuwa ni yakusua sua, wakati mwingine naonekana kama vile nimechanganikiwa, wazee wenzangu hawanipi heshima tena kama mwanzo.
Sasa wakuu, nitumie njia gani kurejesha uchumi, heshima, utulivu wa akili n.k nilivyokuwa navyo kabla ya kupendwa na wanawake?
Kwa sasa nataka nitulie na mmoja tu, wengine sitaki wanipende tena.