wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Pasi ya maji hulinda nguo zako na kuzitoa smart kuliko pasi kavu, pasi za maji sio mbovu, zitumie kwa namna hii na hutafikiria tena kutumia pasi kavu

    Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Millennials tukaze buti, hawa Gen Z wanaijua pesa vizuri, bado wadogo lakini wako very sharp kwenye kutega pesa.

    Millennials tukaze buti 😅. Hawa Gen Z wanaingia kwenye game wakiwa na uelewa mkubwa wa kutengeneza pesa kuliko vizazi vilivyopita. Vijana wa 2000 wao bado wadogo lakini honestly wako very sharp kwenye kutega pesa na kuona opportunities . Wamekua kwenye era ya internet, apps na fast information...
  3. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji wengi hasa kutoka nje wananyanyasa wazawa Tanzania

    Salama. Wawekezaji wengi hasa kutoka bala la Asia hawa wachina ,wakorea ,Mahindi ni watu ambao wanawanyanyasa sana wazawa kwenye maeneo waliyowaajili. Hawa watu ni hawazingatii kabisa sheria za kazi na wanakuaga na kauli Tata za matusi ,malipo kidogo ,hawana huruma wala utu kwao wanaamini...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi

    WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa...
  5. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi ili uzi upate wachangiaji wengi

    1.Usiwe mchoyo kulike nyuzi za wenzio 2.Anzisha mada yenye mashiko mfano. Ndoa,Visa na mikasa 3.Gusa maisha ya watu mfano mila na desturi zao, dini, elimu, afya, michezo n.k 4.Udaku(uwe mbele ya muda) 5.Jitahidi uzungumzie mapenzi na utafute heading nzuri mfano ile ya "Ulishawahi kuchakata...
  6. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kiburi kimeua mahusiano ya watu wengi kuliko usaliti

    Mahusiano ya watu wengi yanakufa kwasababu ya kiburi , unakuta mtu anasema atanitafuta tu halafu mwisho wa siku imetoka hiyo , au mwengine anataka atafutwe yeye kwanza ana kiburi cha kujiona bora sana kuliko mwenzake sasa watu wengine hawana uvumilivu na watu wa aina hiyo anatafuta...
  7. mirindimo

    JamiiForums Tanzania MSITU ULIOFICHA NDUGU WENGI WA WATANZANIA

    Lango lake kuu pana barrier ndipo alipo ponea Msaidizi wa Tundu Lisu, msitu unaosimamiwa na TIS na kulindwa kwa zamu na askari wa kikosi maalumu kuhakikisha hakuna mtu anaingia huko kama hajatekwa nyara au kwa maelekezo maalumu. Yes ni hapa Tanzania Bunju huko tutakuja na google stalite view...
  8. H

    JamiiForums Tanzania UTEKAJI: Ujasiri wa Bodaboda Umeokoa Uhai wa DJumbe, Funzo: Ujasiri Wetu Wote kwa Pamoja Utaokoa Wengi. Bodaboda Wapewe Tuzo.

    Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kundi la watekaji lililoongozwa na mzanzibari, lilimteka msaidizi wa Lisu bwana DJumbe akiwa anaingia nyumbani kwake usiku saa 4. Baada ya Jumbe kupiga kelele, bodaboda wakaanza kulifuata gari la watekaji kwa nyuma. Mashetani hawa watekaji walivyoona...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu au Tanzania watu wengi wanaona kumuuliza mtu “unaitwa nani?” siku ya kwanza ni kama umemtongoza?

    Unaweza kukutana na mtu mkasalimiana, mkapiga story dakika 20, mkacheka kabisa… lakini hakuna anayesema jina lake. Mpaka mnaombana namba ndipo mchezo unaanza: “Ni-save nani?” Kuna ile culture ya kuzunguka sana kabla ya kuingia kwenye personal details. Watu wanaogopa kuonekana too direct au...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunazalisha Wataalamu wa Famasi Halafu Tunawanyima Mitaji Wakati Tunatumia Mabilioni Kuagiza Dawa

    Nina jambo moja ambalo linaumiza vijana wengi waliosoma famasi Tanzania. Serikali imetumia mabilioni kusomesha wataalamu wa famasi, lakini baada ya kuhitimu tunaachwa bila mtaji, bila uwezeshaji na bila nafasi ya kujenga viwanda vya dawa nchini. Wakati huo huo, kila siku serikali inaendelea...
  11. Stability

    JamiiForums Tanzania Kwanini kobaz wengi wa JF wanachagua sana dini kuliko au dhidi ya utu na mantiki.

    Firstly, nakumbuka walivyofurahia vijana wa tanzania kuuliwa na hamas kipindi kile, walivua utanzania kabisa na kushabikia hamas kisa tu ni kobaz wenzao. Pia mnajua upande gani waliokuwa juzi hapa. Then, fuatilia nyuzi zao, wako tayari kusimama na muuaji haijalishi ni ukatili wa namna gani...
  12. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania ✈️ Watu wengi wanacheza Aviator kila siku… lakini wachache sana wanajua strategy ya kucheza smart 🔥

    Tatizo sio kucheza pekee, tatizo ni: ❌ kukosa bankroll management ❌ greed ❌ chasing losses ❌ kucheza bila strategy Ndiyo maana watu wengi wanaishia kuliwa kila siku bila kuelewa wanakosea wapi. Katika blog hii mpya ya Chuosmart tumeelezea: ✅ Best Aviator Strategies ✅ Safe Cashout Tips ✅ Low...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwenezi KIHONGOSI MARA wafurika watu wengi mno kuja kusikiliza

    TARIME-MARA 15.05.2026 MKUTANO WA HADHARA WA MWENEZI KENANI KIHONGOSI TARIME MJINI MKOA WA MARAMkutano
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume Wengi ni wanyanyasaji. Ndio Maana Kila Siku nawaambia mabinti mjitegemee. Endeleeni kunikaidi

    Hamjambo! 1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa. 2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini tutaelewana. 3. Ninapowaambia wadada acheni akili za utegemezi sio kwamba ninawaonea Wivu mbuzi...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Huko maofisini wadada wengi ni single mama, hali ni mbaya

    Huko maofisini wadada wengi ni masingle mama. Nazungumzia hawa madada wanaojiita “corporate dadaz” Wengi wao wamezalishwa na kuachwa na wanaume wakilea watoti wao wenyewe. Hali inazidi kuwa mbaya, idadi hii inaongezeka siku hadi siku. Lazma wakubali kuna tatizo sehemu. Je tatizi hilo ni lipi?
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bunge lifanye jambo pale kwenye katiba ili Mama atuongoze angalau kwa miaka mingine 7 baada ya 2030, ndo hitaji la wananchi wengi kwa sasa

    Kwa sheria ya mabadiliko ya katiba, bunge lina nafasi kubwa ya kurekebisha katiba. Wananchi tulio wengi tumeona MAMA ANATOSHA AONGEZEWE MUDA. Bunge lifanya kitu kabla ya 2030 ili mama aendelee kuongoza kwa miaka mingine 7. Wazalendo tunataka mama amalize kabisa malengo yake mema kwa nchi hii...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kujisumbua vijana watakuwa wengi zaidi na wabishi zaidi kwa maisha haya

    Huwezi kuwalegeza vijana kuacha kudai haki zao kwa kuwapa rojo na uchawa. Vijana wanaona mambo mabaya na miaka ijayo vijana wanaongezeka hawapungui! Ushauri wangu ni kwamba tutengeneze mazingira mazuri na maendeleo hizi porojo za CCM na Samia ni kupoteza muda. Kwa wale wanajali nchi hasa wana...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mapazia ya kisasa, designing and installation kwa ajili ya nyumba, hotel, offices etc

    UNATAKA NYUMBA, HOTEL AU OFFICE YAKO IONEKANE YA KISASA NA YA KIFAHARI? 🏠✨ Watu wengi hutumia fedha nyingi kwenye furniture, rangi na decoration mbalimbali lakini bado room haipati ule muonekano wa “complete luxury look”. Sababu kubwa mara nyingi huwa ni uchaguzi mbovu wa MAPAZIA. Pazia si...
  19. Stability

    JamiiForums Tanzania Tuweni tu wawazi wakuu, hawa wanaojiita maboss ladies hapa wengi hawajifikia hapo jasho na damu bali ugwadu na utamu

    Haiwezekani mtu avuke step za matambo kiasi hicho leo amepangishiwa na bwana magomeni baada ya miaka mitatu anawauzia viwalo toka dubai na ana range rover yenye jina lake. Kitu nimegundua mdada akishaziliwa ngozi nyororo, makebo makubwa, umbo nane, aposti picha za kutega mitandaoni na awe na...
  20. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Asee hii hantavirus baada ya wiki itapita na wengi

    Huu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi. Abiria wa KLM inasemekana wengi wanayo na KLM kila siku inatua Kilimanjaro na Dar. Asee tumekwisha. Niko zangu hapa Ghetto natetemeka balaa isingekuwa msaada wa sigara na ba sijui ingekuwaje yani napanic balaa...
Back
Top Bottom