wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Nestory Semeni

    JamiiForums Tanzania Wengi Amboa Pesa Zao Hazirudi baada ya "Kuisha" chanzo kikubwa huwa ni hiki.

    Nilijawa na furaha sana siku ambapo niliokota elfu nane barabarani, Na katika utoto wangu nikaenda na kumpa mama, Tangu hapo nikaanza kupambana sana kuwa makini barabarani ili "niokote hela nyingine 😁" Lakini mpaka leo sijawahi bahatika kuokota hela kama hiyo, Sidhan kwa sababu sina bahati...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Dar,hapa mtaani inaonekana kuna wanawake wengi kuliko wanaume

    Yaani kwa tathimi yangu niliyoiona kuna wanawake wengi sana mpaka nimebaki najiuliza sasa wanaishije,kila nikitoka inje ni wanawake tu, si wamama,vibiti,na vitoto vya kike, Tofauti na mkoani niliko toka hakuna mabinti wamejaa watu wazima hasa mabibi wajane,au ndiyo huwa wanakimbilia huku dar...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania Najua wengi watakosea hapa. Mbwa huyu ana urefu wa Sentimita gapi?

  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Dar ina wanaume wengi zaidi wenye hulka za kike (feminine)?

    Kwa nini Dar ina kundi kubwa la wanaume wenye hulka/ mienendo/ tabia za kike (feminine characters) ?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hijabu haina maana, tamaa ya wanaume wengi ni makalio, matiti na sura

    Hakuna mwanaume anayejali nyweli au kichwa cha mwanamke. Mwanamke hata awe na kichwa kizuri na nywele za peponi hisia za wanaume zinaanzia kwenye makalio, matiti na sura. Dini imewafanya wanawake kituko na hamnazo kufunika kichwa huku wameyaachia makalio yanatikisika yakivutia wanaume.
  7. M

    JamiiForums Tanzania wazanzibari wengi wanaishi Bara lakini sheria za muungano zinawabeba kurahisisha maisha yao kuzidi watanganyika wanaoishi nao.

    Unamkuta Mzanzibari amehamia huku Bara, watoto wake wanasoma shule hizi hizi, wanatumia hospitali hizi hizi na wanakua katika mazingira haya haya pamoja na watoto wa Tanganyika / Bara. Lakini kuna wakati maisha yanapofika kwenye fursa, uraia na umiliki, tofauti inaanza kuonekana. Mtoto wako na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bodi ya Ithibati fuatilieni Taasisi za Wanahabari (Press Clubs), Waandishi wengi ni “Makanjanja” hasa Mara

    Naiomba Bodi ya Ithibati Nchini Tanzania (JAB) kufanya uchunguzi katika Taasisi za Waandishi wa Habari Nchini na sio tu kwenye Vyombo vya Habari (Media Houses) kwani Kuna waandishi wengi kwenye Clubs hawana sifa za uandishi wa Habari ambapo wanafanya shughuli hizo kinyume na Sheria ya habari ya...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

    Mtaniwia radhi kwa ukubwa wake kutokana na hii mada.. Natambua wengi wenu mtakereka na maudhui yake na baadhi mtaudhika Sana..! Lakini kupitia mada hii naomba msijichukulie Kama walengwa bali kama wanafunzi wanaohitajika kujifunza kitu kizuri 1. Kutambua dhima ya social media Tambueni ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni za Watoza Ushuru Dodoma haziwalipi Watu Wanaokusanya Ushuru hasa Halmashauri ya Jiji

    Kuna changamoto kubwa sana kwa WATOZA ushuru, hasa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, unakuta Mzabuni anachukua tenda ya mwaka mmoja, mkataba ukiisha, wale wakusanyaji ushuru (watendaji waliokuwa wakifanya kazi) wanaachwa bila kulipwa na hawana sehemu ya kulalamika. Mfano, kuna kampuni moja...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanadhani bado DSM, ARS na MWZ ndio sehemu pekee zenye maisha ghali sana TZ, mnakosea, joto lisha sambaa kote, mikoani napo ni expensive

    Kama unapata fursa yako dar, we endelea kuishi dar, usidanganyike kurudi nyumbani Kuna sehemu nyingi hapa tanzania, kujenga nyumba ni ghali kuliko anaejenga dsm Nyumba na vyumba vya kupanga vimepanda wilayani huku, hakuna mtu mjinga ajenge nyumba ya kupangisha 30-60m+ alafu umpatie laki moja...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Kinondoni ni Hasara Taslimu

    Utakuta miaka 35 plus hadi 50 wapo wanaishi kwa wazazi wao. Au akijitahidi sana basi ameolewa na mwarabu kapangiwa nyumba. Na unamwona kama mwanaume hivi kumbe ni mke wa mtu. Kinondoni ni Wilaya ambayo inaongoza kwa Matakataka mengi. Ikifuatiwa na Temeke, Ilala, Manzese na Buguruni. Kisha kuna...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  14. Mwakikusi

    JamiiForums Tanzania MICHEZO NA VICOBA VINAVYOUA NA KUDHALILISHA NDOA ZA WENGI

    Wananchiiiiiiiii......... Hivi mnajua kwa asilimia kubwa za wanawake wanaojishughulisha na michezo ya fedha na upatu wanakuwa ●Hawapendi tendo la ndoa ●Wanakuwa na upuuzaji wa wenzi wao ●Wanakuwa watumwa wa madeni mitaani na kwenye taasisi ●Wengi wanaanza "Umalaya" ili kukidhi marejesho...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mawazo mgando ya Wanaume wengi Mabwege na wenye Akili duni.

    YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shujaa. Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tupazeni Sauti kwa Ajili ya NCHIMBI, Kwa CCM, adui wa Ndani ni Hatari kwao, alichokifanya NCHIMBI ni Sadaka, ni zaidi ya Upinzan na Wanaharakat Wengi!

    Mnakumbuka MH Polepole ?. Kile alichokifanya kwanza , kujiuzulu nafasi zake zote, kisha akaanza kukosoa UOVU wa CCM , kilikua na Thaman sana, na Watanganyika Wakamuamini 100% na Ule Ukweli alikua anauzungumza MH Polepole, ndio Ukweli ulowafanya Watanganyika Wadai NCHI yao Oktoba 29 2025...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini kingetokea kama binadamu wengi wangekubali hakuna maisha mengine zaidi ya haya?

    Mimi naamini tungepambana sana kwa pamoja kuboresha maisha yetu. Akili za mwanadamu kufikiria kuna maisha mengine baada ya haya hapa duniani kunalemaza kutoshughulika na changamoto na hali halisi ipasavyo na kuishi katika utimilifu wetu wote. Pia kunatupa matumaini hewa kuhusu hali zetu halisi.
  18. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo John Heche ameitisha Press ili kumjibu Mzee Butiku, CHADEMA ina wahuni wengi sana

    Nani asiyejua kuwa chadema wanapokea Hela za mabeberu ili kuhujumu ustawi wa Tanzania na Bara la Africa? Heche kumjibu Mzee Butiku ni kumkosea heshima Mzee wetu. ni vema akakiri wazi kuwa wanapokea Hela kutoka kwa mabebeb na mm naweka USHAHIDI hapa wa chadema kupokea Hela kutoka kwa mabeberu
  19. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole alisisitiza kwamba Samia na Kikwete lazima watashitakiwa na kunyongwa. Unabii utatimia wengi tukiwa hai

    Utawala wa Samia umefanya makosa makubwa ya kimkakati (strategic mistakes) yaliyoweka fursa ya kushitakiwa na kunyongwa. Kosa la kwanza ni "Coup D'etat" mtu yoyote anayejua siasa na sheria anafahamu October 29 Samia na Washirika wake walifanya mapinduzi dhidi ya maamuzi ya kiraia (Katiba...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nchi hii ina viongozi maprofesa na madokta wengi kabisa mbona sioni maajabu wanayofanya yanayoakisi uprofesa na udokta wao!?

    Kila nikijaribu kuangalia changamoto tunazokutana nazo hasa unaposhughulika na mambo ya kiserikali unagundua kwamba kila siku kero zinaongezeka. Sasa nini faida ya hawa maprofesa na madokta waliojazana kwenye uongozi? Tija Yao ni nini hasa tofauti na wasio kuwa na level hizo.!?
Back
Top Bottom