watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Sisi Watanzania ni wanafiki

    Hakika Watanzania sisi tuna unafiki wa hali ya juu mno sijawahi kuuona popote duniani. Wamepotea watu kimaajabu wanaokotwa Baharini na mitoni hatukuimba kwaya kulilia haya maovu. Kapotea Ben kimya Kapotea Azory kimya Kapotea kanguye kimya Akwilina kauwawa kimya Lisu chupuchupu kuuwawa kimya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania tunabishana Trump asema " kusimamisha" kazi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko Corona yenyewe

    Nimemsikia Rais Trump wa USA kupitia BBC akisema uchumi wa nchi yake unatikisika na kusimamisha kazi na shughuli za kiuchumi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko ugonjwa wenyewe wa Corona. Ngoja nirudie kusikiliza hotuba za viongozi wetu wakuu na ile ya KUB Mbowe aliyoitoa jana halafu nitarejea...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize: Kwanini kila mwaka Watanzania hawana furaha?

    Je, ni Siasa mbaya, Maendeleo madogo, kukosa haki muhimu, ubinafsi, tofauti ya vipato. Pamoja na kujengewa barabara wanasiasa wanakimbia ukweli kwamba Watanzania hawanaraha na maisha yao. Hata Rwanda pamoja na Kagame kusema wanamaendeleo tatizo ni nini? Botswana nayo iko chini sana Mimi kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wako wapi Watanzania waliotibu kiasilia..?

    Mkoani Mara kulikuwa na wataalamu wa asili wa kuunga mifupa, Unyamwezini kwetu kulikuwa na dawa ya kichocho (kichocho kinaitwa "nkazya" na dawa yake ni mizizi ya mti ambao unapatikana Kandi ya mito - ni michungu hiyo, unatafuna mara moja tu na "nkazya" yote Keisha); nasikia uchagani kulikuwa na...
  5. Informer

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

    Wakuu, Kwa taarifa nilizo nazo, ni kuwa muda si mrefu Rais Magufuli atalihutubia Taifa. Kama hii itatokea, itakuwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani kuhutubia Taifa. Tutarajie nini? Stay tuned... ======= LIVE: VIDEO: Rais Magufuli anasema; => Baada ya kuibuka Ugonjwa wa Corona...
  6. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Elimu nzuri sana ya namna ya kunawa mikono, ila je watanzania wangapi wanamudu au kufikiwa na mfumo huo wa maji na sabuni haina hiyo?

    Maelekezo ni mengi na mazuri kabisa, na yamekuwepo hata kabla ya Corona mpya kusumbua watu. Namna inayoonyeshwa kwenye video ni nzuri sana, ila je ni watanzania wangapi wanaweza kumudu mfumo huo wa maji? Au ni wangapi wamefikiwa na mfumo huo wa maji? Je, watanzania wangapi wanamudu aina ya...
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Naibu Gavana apata maambukizi ya Corona na kufanya wagonjwa kufikia 15

    Watanzania tuwe makini majirani zetu maambukizi yameshagonga hodi kwa viongozi ambapo naibu Gavana mmoja amepata maambukizi. Hadi sasa kuna jumla ya wagonjwa 15 nchini humo. ======= Kilifi deputy governor in quarantine after Germany trip Tension is brewing in Kilifi over a...
  8. Tee Bag

    JamiiForums Tanzania Nani anamtumia Mwana FA juu ya ugonjwa wa Corona?

    NANI ANAMTUMIA MWANA FA? Na Thadei Ole Mushi Mwana FA yupo Karantini au yupo nyumbani? Wagonjwa wanaojulikana positive si wanawekwa Karantini chini ya uangalizi? Mbona hajavaa Mask? Wanaomletea Chai, Chakula nk si atawaambukiza wote? Je ni Nani anahusika kuvitangaza hivi visa? Ni wagonjwa...
  9. Mudawote

    JamiiForums Tanzania LHRC kuna viongozi Watanzania?

    Na David Maphone Niko bize kwa siku kadhaa sasa nikijipa kibarua cha kusaka taarifa za mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Tanzania ili kuona wametekeleza kwa kiwango gani jukumu lao la msingi kwenye kipindi hiki kigumu cha ugojwa hatari wa Corona ( COVID 19). Watanzania walio wengi...
  10. Maboso

    JamiiForums Tanzania Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

    Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

    Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona. Mgonjwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la ndege la Rwanda Air. Kwa mujibu wa Waziri Ummy Mwalimu, Mwanamke huyo alitoka Ubelgiji na alikuwa anaishi kwenye nyumba ambapo kuna...
  12. technically

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni wanafiki sana na ndumilakuwili

    CHADEMA walipofanya siasa za kikondoo ndani ya utawala katili tuliwaponda Sasa wamebadilika na wameanza siasa kali kuna watanzania eti wanawapunda awa nawaita wapumbavu mimi. Sisi natural opposition tunataka siasa kali kuliko hata walizofanya juzi wale wamama wawili haiwezekani unapambana na...
  13. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaichukia Tanzania haipendi Tanzania hawapendi watanzania anaiombea mabaya nchi yetu

    Anahamasisha Vita kila anakopita anasema damu itamwagika Anahubiri vita kila anakopita anataka hata watanzania wanyonge wauae kwa vita Anahubiri nchi yetu iwekewe vikwazo vya kiuchumi bila kujua watakaoumia ni watanzania wa Chini ndugu zake wa Singida watakosa madawa Huyu mtu ni hatari sana
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya confirms first case of Corona Virus

    Hii ni habari mpasuko inayotangazwa muda huu na Waziri wa afya wa Kenya. Kwa kuanzia anapiga marufuku mikusanyiko yote. Shule hazitafungwa kwa sasa Mipaka yote kudhibitiwa. ------ The Kenyan Government has confirmed the first case of coronavirus in the country. Health CS Mutahi Kagwe...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amefungua mjadala wa Bunge kufanya mabadiliko ya katiba yanayoweza kumruhusu kukaa madarakani mpaka mwaka 2036. Hata hivyo katika hotuba yake amesema, angependa kuwepo ukomo wa mihula ya Urais nchi ikishakomaa kisiasa. =================== (MOSCOW) — Russian...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaweza kuufanya huu muujiza, halafu tuone vioja?

    Tuseme itakuwepo tume huru ya uchaguzi, na uchaguzi uwe huru na wa haki bila ya mizengwe yoyote. - Wananchi kwa ridhaa yao wenyewe waamue kumrudisha Magufuli katika urais, kwa kura za kutosha, (sio za kishindo, <70%) - WaTanzania wachague wabunge wengi toka vyama vya upinzani (>80%) - why not...
  17. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Je, haya Mapungufu ya utoaji sahihi wa Taarifa muhimu kati ya Mainstream Media na Social Media yana Tija gani kwa Watanzania?

    Ukipitia Vyombo vya Habari kama Clouds tv na Mwananchi bila kusahau na vinginevyo vichache utaona wameandika kuwa akina Mbowe na Wenzake wameshindwa Kulipa Faini leo Mahakamani katika muda uliopangwa na wameenda Segerea wakimaanisha Kuanza Vifungo vyao . (Mainstream Media) Lakini hapo hapo tena...
  18. guzman_

    JamiiForums Tanzania Corona Virus: Watanzania hawata wasamehe ugonjwa huu ukifika nchini

    Katika harakati zangu nimezunguka viwanja vya ndege vitatu vinavyopokea sana wageni toka nje, hali niliyoikuta Mungu atusaidie. In short, kinachosemwa na viongozi na yanayotendeka huko ni mbingu na ardhi. Nimeshuhudia raia zaidi ya 200 kutoka Uchina wakipita airport bila kupimwa wala kukaguliwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Julius K. Nyerere: Ikulu ni pahali patakatifu, sio pango la wanyang'anyi

    "Mimi sikuchaguliwa na watanzania ili niifanye Ikulu kuwa Pango la wanyanganyi" Pili naomba tujadili hali ya ikulu yetu, je ni pango la wanyanganyi au ni mahali patakatifu?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
Back
Top Bottom