Uchaguzi 2020 Spika Ndugai, upinzani siyo CHADEMA, ni Watanzania waliochoka...

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
856
1,000
Miaka kadhaa sasa, Chama chango tawala CCM imekuwa ikihubiri kukiua Chadema kwa maana wanaonekana ni wapinzani wa utawala. Kukiua Chadema siyo issue, maana CHADEMA ikifa, kitakachokuja mbadala ni mbaya na kubwa Zaidi ya Chadema.

Chadema siyo wapinzani. Wapinzani ni watanzania. Mioyo yao ndio kuna upinzani, na wakiendelea kufanyiwa uhuni kama ninavyoona Spika Ndungai akifanya.

Natumai katika uchaguzi ujao, Spika ndungai na viongozi wengine wa chama changu wata pata aibu kubwa sana, maana huku mtaani hata wana CCM kama sisi tumekuwa wapinzani.

Viongozi wangu, mnaenda kuhaibika kwenye uchaguzi ujao. Polisi hawatakuwa na nguvu kutuokoa,
 
Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
1,256
2,000
Umeandika kitu gani hiki? Jitahidini kuandika kwa ubora ili hata mukiamua kupiga kura, tujue ni kura ya mtu timamu.
 
mangikule

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
3,967
2,000
Miaka kadhaa sasa, Chama chango tawala CCM imekuwa ikihubiri kukiua Chadema kwa maana wanaonekana ni wapinzani wa utawala. Kukiua Chadema siyo issue, maana CHADEMA ikifa, kitakachokuja mbadala ni mbaya na kubwa Zaidi ya Chadema.

Chadema siyo wapinzani. Wapinzani ni watanzania. Mioyo yao ndio kuna upinzani, na wakiendelea kufanyiwa uhuni kama ninavyoona Spika Ndungai akifanya. Natumai katika uchaguzi ujao, Spika ndungai na viongozi wengine wa chama changu wata pata aibu kubwa sana, maana huku mtaani hata wana CCM kama sisi tumekuwa wapinzani.
Viongozi wangu, mnaenda kuhaibika kwenye uchaguzi ujao. Polisi hawatakuwa na nguvu kutuokoa,

Shida ni hii!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom