watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani. Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania 80% ya Watanzania waliokataa mfumo wa vyama vingi walikuwa sahihi, kizazi cha Upinzani wa kweli bado hakijazaliwa

    Ikumbukwe kuwa ni takribani 20% ya wananchi ndio walisema wanapendelea mfumo wa vyama vingi uanzishwe nchini na 80% waliukataa kwa madai kuwa kwa wakati ule taifa halikuhitaji na wala halina wapinzani wa "kweli". Baba wa taifa akasema wachache wapewe na wengi wasikilizwe, ndipo ukaanzishwa huu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia: Zaidi ya dola milioni 680 zimewekwa na watanzania katika mabenki ya kigeni kutokana na kuongezeka kwa mikopo na misaada kutoka nje

    Ni Zitto akinukuu utafiti wa wataalamu wa Benki ya Dunia kupitia twitter: Utafiti wa Wataalamu wa Benki ya Dunia (World Bank Chief Economist) umeonyesha kuwa zaidi ya Dola za Marekani 680 milioni zimewekwa kwenye Benki za kigeni na Watanzania kutokana na kuongezeka kwa misaada na mikopo kutoka...
  5. kimbendengu

    JamiiForums Tanzania RPC Lindi Watanzania wanaomba tamko lako, uhujumu uchumi waendelea huko Lindi

    Jamani tunaomba muendelezo wa Yale matamko ya uhujumu uchumi yaendelee huko Lindi leo wafanyakazi wa Azam media walishindwa kufanyakazi na kuchelewa safari yao kutokana na barabara ya wilaya ya Ruangwa kuwa na makorongo, tope, sasa naomba wale makamanda wa matamko mkuje huku haraka video hii kwa...
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Dkt. Albina Chuwa, Kauli yako kuhusu kupungua kwa umaskini ni kejeli kwa Watanzania

    Amesema Dkt Albina Chuwa Mkurugenzi wa Takwimu. ameyaongea juzi tarehe 17/ 02/ 2020, Ninamnukuu; “Hali ya umaskini wa kipato hapa nchini Mwaka 1991-92 ulikuwa Asilimia 39, 2007 umaskini ulikuwa asilimia 34, 2012 Asilimia 28.4 na 2018 hali ya umaskini likuwa 26.4, kasi ya kupungua umaskini hapa...
  7. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Natamani Watanzania wengi tuwe kama Rugemalira

    Najua kuna ambao watashangaa ninachotaka kusema hapa. Namzungumzia mtu anayeitwa Rugemalira wa Escrow. Huyu ni mmoja kati ya matajiri wa nchi hii ambao historia ya utajiri wao iko wazi. Ni mtu ambaye pamoja na serikali kutaka kumfanya aonekane ni muhalifu, uwezo na ushawishi wake katika kufikia...
  8. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Balozi Mbelwa Kairuki: Mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi ya Corona

    Leo Februari 11, 2020 Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki amezungumza kuhusu video inayowaonesha vijana wa Kitanzania wanaosoma China wakiomba msaada wa kurejeshwa makwao. Balozi ameeleza kuwa mpaka sasa hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeambukizwa maradhi hayo kutokana na kufuata...
  9. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Watanzania wanapenda sana kupiga?

    Je, sisi ni violent society? Watanzania wanapenda sana kutumia nguvu kutatua tatizo, kila kitu utasikia nitakutandika, hata JF utasikia mtu anakwambia ungekuwa karibu yangu ningekupiga ngumi, kidogo utasikia yule jamaa karibia nimzabe makofi, sasa ni kwa nini? Ni nani anakupa haki ya kumzaba...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wajua ukweli pesa za misaada bado nyingi

    Watanzania wengi walikuwa na tabia ya kukebehi sana hawa wazungu wakitukosoa kwenye lolote hata kama Watanzania wengi wanakubaliana nao. Kumbe ukweli ni kwamba kuna pesa nyingi sana bado tunategemea za msaada. Kwasababu zamani zilikuwa zinakuja tu ilikuwa rahisi kila kitu kusema ni cha chama...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Kwanini Watanzania tuna huu Ushamba sana na ambao umepitiliza?

    Kuna Watu Watatu kutokea Mbagala alipokuwa akiishi Mchezaji ' Mahiri ' kwa sasa wa Kitanzania Mbwana Ally Samata a.k.a Popa wamenifanya nianze Kuamini kuwa Watanzania tuna ' Nongwa ' na ' Uswahili / Upuuzi ' mno. Ni kwamba kila mwana Mbagala sasa anajifanya alikuwa anamjua na aliweza Kumsaidia...
  12. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

    (1) Ni muhimu kutambua kwamba kipindi tunachopitia hakijawahi kuwepo katika historia ya mfumo wa vyama vingi vya siasa nchini na hata wakati wa chama kimoja. (2) Hatujawahi kuwa utawala wa kikatili wazi wazi kama huu. Hatujawahi kuwa na utawala usioheshimu Katiba na Sheria za nchi yetu wazi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunamharibia Mbwana Samatta.

    Hii tabia ya kujifanya tunaujua mpira saaaaana hadi kwenda kuchafua page ya Aston villa na wachezaji, hakika tunamharibia kijana wetu tunayempenda saana. Atakosa ushirikiano kwenye timu na mwisho aonekane tu hafai. Jifunzeni kutoka kwa wenzenu, wanakosoa na kutoa ushauri bila kutukana matusi...
  14. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Katika Afrika ni Watanzania tu ndo tuna kifungua kinywa (Breakfast)

    Nimebahatika kutembelea nchi mbalimbali Afrika (Kusini mwa Sahara); nilichokiona ni kwamba wengi hawana utamaduni wa kifungua kinywa asubuhi (Mzungu huita breakfast). Najua hata Tanzania yetu pia sio wote wanapata kifungua kinywa, lakini ni jambo la kawaida hasa mijini, asubuhi kupata kikombe...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Ni Waziri gani wa Mambo ya Nje wa Marekani ni Maarufu kwa Watanzania kati ya hawa?

    1.Henry Kissinger 2.Madeline Albright 3.Christopher Warren 4.Collin Powell 5.Condolleezza Rice 6.John Kerry 7. Hillary Rodham Clinton 8.Rex Tillerson 9. Mike Pompeo Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzania na unadhani ni maarufu kwa lipi?
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

    Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote "Department has credible information that Makonda was involved in such violations in...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wito: Kampeni ya kum-follow Pompeo

    Wale tuliofurahishwa na maamuzi ya Secretary Pompeo naomba tumfollow Twitter, tuvamie Twitter page yake na following za kutosha. Kama ilivyo kwa watu wa mpira walivyofollow aston villa hadi wazungu wakajua tulivyofurahishwa na usajili wa Samatta kule kwao basi tumfollow Pompeo hadi ajue...
  18. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Watanzania wazuiliwa kucheza bahati nasibu ya kupata ukazi wa kudumu (Green Card) Marekani

    Wadau Vyombo vya habari nchini Marekani vinaripoti kuwa raia wa Tanzania wamepigwa marufuku kushiriki katika mchezo wa bahati nasibu wa kupata viza ya kuingia Marekani. Bahati nasibu hiyo hutoa visa kwa watu takribani 50,000 kutoka nchi zenye kasi ndogo ya maendeleo kila mwaka kuingia na...
  19. DocJayGroup

    JamiiForums Tanzania Zuio Kwa WaTZ: Wahi Ubalozi wa USA Kabla haijala Kwako Kama Ulishinda Viza ya Kukupa Makazi ya Kudumu Marekani

    Kila mwaka, Marekani inatoa makazi ya kudumu kwa watu 50,000 kupitia mchezo wa bahati nasibu. Mchezo huo, unachezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Oktoba hadi Mwanzoni mwa mwezi Novemba. Leo hii, Serikali ya Marekani imetangaza kwamba waTanzania wote watazuiliwa kwenda Marekani kupitia bahati na...
  20. hearly

    JamiiForums Tanzania Hekima za Mandela na wakati tulionao Watanzania

    (Summary). Habari wana jamvi leo nazidondosha kwenu nukuu kadhaa za mzee wetu mandela ambazo nimezifanyia uchambuzi kidogo dhidi ya mustakabali wa taifa letu katika upungufu wa democracy Karibuni jamvini " (A) KUHUSU HUKUMU (1) Do not judge me by my successes " judge me by how many times I...
Back
Top Bottom