Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,209
- 42,068
Wasalaam wana jamvi!
Leo Clouds kupitia Clouds 360 walikuwa wamemuandalia Freeman Mbowe mahojiano ambayo angepata wasaha wakutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa yanayo muhusu yeye na chama chake!
Lakini chakushangaza Ndugu Mbowe ametafutwa bila mafanikio na hata walipo ulizwa viongozi wenzie walikosa la kujibu wakisema hawajui alipo!
Kinachoshangaza zaidi ni kwanini Mbowe sasa hivi ana vikimbia vyombo vya habari? Chadema huwa hawakimbii wana habari lakini safari hii Mbowe amekuwa wa kwanza kuvikimbia vyombo vya habari na kujificha kusiko julikana!
Hata hivyo kila mtu bado anajiuliza kwanini Mbowe ana vikimbia vyombo vya habari? Kuna nini ana kificha?
Clouds wamemtafuta sana lakini imeshindikana na inaonekana wazi Mh Mbowe ataki kabisa kuonana na wana habari!