Ahsante Mbunge Cecil Mwambe kwa kueleza kiu ya watanzania baada ya kutoka kuhojiwa na Takukuru

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
888
821
Niliwahi kuleta uzi hapa nikiwasihi wabunge wa CHADEMA waliokuwa wakitoka kuhojiwa takukuru wasitupe majibu tusiyoyahitaji.

Hasa suala la makato ya pesa kwa wabunge wao, kwani hakuna aliyekuwa anahoji makato, bali maswali yalikuwa ni matumizi.

Sasa leo kupitia itv mbunge Cecil Mwambe ameliweka wazi kuwa, tatizo siyo makato, tatizo ni matumizi!

Makamanda naomba mje hapa mjibu ufisadi huu uliolalamikiwa na mh. Lijualikali mbunge wa Chadema wakati huo.

Je, Mwamba na kundi lake watatoka?

Sijaiona kamati ya wapigaji bungeni muda mrefu, nadhani wanahangaika namna bora ya kuvuka ukizingatia Bunge linaisha kesho.

Hivyo zile kelele za ooh mbunge au kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni hazitakuwepo.

Mwamba atabaki kama mwamba.
Bulaya atabaki kama Bulaya.
Mdee atabaki kama Mdee
Msigwa atabaki kama Msigwa

Naona sasa kumekucha!
Hivyo tunataka majibu.
 
Kesho ubunge unakoma! Ha ha ha ha leo nimemuona mdee kakonda gafra
Kwajisi walivyokuwa wakitukana police, serikari, nahisi sasa wanawaza!
Mbowe atujibu km anakampuni ya kukopesha chama.

Tunataka kujua pesa alizokopesha chama miaka yte deni haliishi? Je analipa kodi kwa kukopesha taasisi kubwa kama chadema?
Mali za chadema zote zipo wapi?
Pesa za mawakili na matibabu na matumizi yte je! Yana risiri? Na idhini ya watu wa fedha???

Naisubiri ripoti ya takukuru , kwani naamini itakuja na mzigo mkubwa.

Najisi mwambe alivyokuwa anaongea kwa kujiamini nahisi alikuwa anajua kinachoenderea.
 
Mkuu kwahiyo huko ccm hakuna ufisadi?

Ulikuwepo sana tu zamani. Lakini Naweza kusema kwa sasa hamna! Siku ukiwepo wanachama watalalamika,

Kamati ya kuhakiki mali za chama ya Dr bashiru aly ilienda kurudisha kila kitu
Wanachotakiwa chadema wawe wakweli ili warudishiwe mali zao kama mali za ccm zilivyorudi.

Ile nitaasisi huwezi kusema uongo utakuwa unajidanganya tu.

Nazikiokolewa bado zitakuwa za chadema. Ila wezi itakuwa imewa cost.

Tatizo chadema walianza vita bila wao kujipanga.
 
Akikujibu usisahau kuni-tag mkuu...

Sent from my itel S32 using JamiiForums mobile app
Nimeshamjibu hivi.
1.ulikuwepo mkubwa sana kuliko hata huu wa chadema
2.kamati ya Dr bashiru aly ulienda kurudisha kila kitu
3.kwa sasa haupo ndio maana hakuna mwanachama aliyelalamika au mbunge
4. Chadema wawe wakweli ili mali zao warudishiwe.
Japo fisadi utamkosti kijamii na kisiasa pia.

Nikamalizia kwa kusema chadema walianza vita na serikali bila kujipanga.
 
Rudi shule kwanza ukajifunze kuandika, elimu ya msingi ni buree then uje hapa kucomment upuuzi wako!!
 
Ulikuwepo sana tu zamani. Lakini Naweza kusema kwa sasa hamna! Siku ukiwepo wanachama watalalamika,

Kamati ya kuhakiki mali za chama ya Dr bashiru aly ilienda kurudisha kila kitu
Wanachotakiwa chadema wawe wakweli ili warudishiwe mali zao kama mali za ccm zilivyorudi.

Ile nitaasisi huwezi kusema uongo utakuwa unajidanganya tu.

Nazikiokolewa bado zitakuwa za chadema. Ila wezi itakuwa imewa cost.

Tatizo chadema walianza vita bila wao kujipanga.
Uijui Ccm wewe acha kupiga kelele hapa
 
El
Rudi shule kwanza ukajifunze kuandika, elimu ya msingi ni buree then uje hapa kucomment upuuzi wako!!
Elim ya msingi!!!
Ungesema ngumbaru kabisa.
Elim yangu ndogo nibora kuliko ya faru john anayetembea baa zote dodoma na kutembea na vimada huku akivunja heshima ya mkewe.

Chako ni chako leo bia zimepanda bei baada ya mbowe kubainika huwa anatembelea hapo.
 
W
TSHs 1.5T hadi leo mwenyekiti anadumu

Walizani watadumu kuwa wabunge siku zote, ss ubunge haupo! Wanahojiwa kama wanachama wakawaida.

Walitukana police, wakatukana mahakama, wakatukana usarama wa taifa.
Walizani watadumu nahiyo kinga yakibunge.

Mzungu hana rafiki! Mzungu anakutumia kama condom!

Sasa hao mabeberu tuone watakavyowasemea

Walisahau maisha yapo hata baada ya ubunge.
 
Wi

Acha wivu wa kike.
 
Ulikuwepo sana tu zamani. Lakini Naweza kusema kwa sasa hamna! Siku ukiwepo wanachama watalalamika,

Kamati ya kuhakiki mali za chama ya Dr bashiru aly ilienda kurudisha kila kitu
Wanachotakiwa chadema wawe wakweli ili warudishiwe mali zao kama mali za ccm zilivyorudi.

Ile nitaasisi huwezi kusema uongo utakuwa unajidanganya tu.

Nazikiokolewa bado zitakuwa za chadema. Ila wezi itakuwa imewa cost.

Tatizo chadema walianza vita bila wao kujipanga.
Acha porojo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kuleta uzi hapa nikiwasihi wabunge wa CHADEMA waliokuwa wakitoka kuhojiwa takukuru wasitupe majibu tusiyoyahitaji.

Hasa suala la makato ya pesa kwa wabunge wao, kwani hakuna aliyekuwa anahoji makato, bali maswali yalikuwa ni matumizi.

Sasa leo kupitia itv mbunge Cecil Mwambe ameliweka wazi kuwa, tatizo siyo makato, tatizo ni matumizi!

Makamanda naomba mje hapa mjibu ufisadi huu uliolalamikiwa na mh. Lijualikali mbunge wa Chadema wakati huo.

Je, Mwamba na kundi lake watatoka?

Sijaiona kamati ya wapigaji bungeni muda mrefu, nadhani wanahangaika namna bora ya kuvuka ukizingatia Bunge linaisha kesho.

Hivyo zile kelele za ooh mbunge au kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni hazitakuwepo.

Mwamba atabaki kama mwamba.
Bulaya atabaki kama Bulaya.
Mdee atabaki kama Mdee
Msigwa atabaki kama Msigwa

Naona sasa kumekucha!
Hivyo tunataka majibu.
KINACHONITISHA N MAKATO YANAKATWA. BUNGENI SASA SIJUI NAN KAWAPA. MAMLAKA BUNGE KUKATA HAYA MAKATOO HAPA NDIPO PA KUANZIAA CHAIN N NDEFU KULIKO TULIVYOFIKIRIA MWANZONI... NAPITA TU
 
Back
Top Bottom