Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo.
Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea haki na imegeuka kero masikioni mwa watu hivyo si busara kuitumia japo Lissu atakuwa ni mtu tofauti.Jambo lingine kingine ni ukweli kuwa, kauli mbiu hii imekaa kisiasa zaidi kwa maana ya kwamba inaleta picha au hisia za kuwa iko kisiasa zaidi(inaleta impression waipatayo wananchi pale wanapomuona mwanasiasa fulani akigawa fedha mitaani au kuchimba mtaro wa maji au kujenga ukuta).
Tafuteni kauli mbiu zenye ku-reflect uwezekana wa kutekelezeki na sio zinye kuonyesha maneno matamu yenye muelekeo wa ulaghai wa kisiasa kwa wananchi.
Kwa mfano,leo hii ukija na kauli yenye kufanana na ile ya "maisha bora kwa kila mtanzania" jiandae tu kupoteza wapiga kura wengi na kura nyingi.