watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Alwatan Mabruki

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

    Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka Watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea. Pia amewatahadhalisha Watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania, uongozi haujaribiwi. Chagua kwa ajili ya Uhuru na Amani ya Watanzania

    Habari za muda huu ndugu wanabodi wenzangu? Leo nimerudi tena baada ya takribani siku kadha zilizopita kuwa na majukumu mengine na hasa ya kiuchumi pamoja na ya kisiasa. Tumetafuta kura za kutosha na kwa tathimini ya haraka tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuweza kuwafahamisha watanzania wengi...
  3. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mufti Mkuu wa Waislamu Sheikh Zuberi leo Korogwe mbele ya Rais Magufuli

    Mufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufungua kwa Dua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM na kabla ya kuanza dua amesema ana mambo mawili; 1. Kukanusha kile kinachodaiwa kuwa Waumini wa Dini ya Kiislam wana udini. ( hili linahitaji mjadala wake) 2. Amemuomba Dkt.Magufuli ajenge barabara...
  4. kidadari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pale Polepole akiwatambia Watanzania kuwa Watendaji wa CCM wanatembelea Land Cruiser V8

    Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao? Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ? Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini. Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Alhamdulillah - WaTanzania tumeanza kuelewa faida ya kupiga kura - CCM ni waongo tunaiondoa

    Hili si jambo dogo na ndio maendeleo ya demokrasia,sasa waTanzania tunaenda kupiga kura tarehe 28/10/2020. Na sio tunaenda kupiga kura kuchagua chama au mgombea hapana ukweli tunaenda kupiga kura kuondoa utawala uliotoa ahadi na hazikutimizwa,hali ya maisha tuliyoahidiwa na haikutimizwa na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hili la Sheikh Ponda liacheni. Hatua ya Ponda ni kwa maslahi ya Waislam na Watanzania

    Kwenu Masheikh na wahadhiri wetu Nawasalimien Assalam Aleikum. Jana mmefanya press conference, mmezungumza na kutoa kauli yenu kuhusu hatua ya Sheikh Ponda kusimama na kuwataka Waislamu na wananchi wamchague mheshimiwa Lissu katika uchaguzi huu. Mmepinga vikali kauli yake kuwa Waislamu...
  7. ZNM

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nimeamini watanzania wameamua kufanya mabadiliko!

    Hii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii! Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi tuliingiwa na hofu kuwa huenda pumzi itakata kabla ya kumalizika kwa siku za kampeni! Imani kubwa...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Oktoba 28 ni mashindano kati ya Ukweli na Ubatili. Wanaojielewa, kujitambua na kutaka maendeleo ya kweli, watachagua ukweli. Wewe upo kundi gani?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kuhusu uchaguzi wa mwaka huu ambao ni mashindano kati ya ukweli vs ubatili, Je, wewe utachagua nini? Utachagua ukweli au ubatili? The choice is yours! Declaration of Interest Japo mimi Pascal Mayalla ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ila mimi ni Kada...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watanzania Wenzangu Tuliombee Taifa letu watu wabaya wametukatili

    Ndugu zangu watanzania naandika thread hii Kwa uchungu Sana na Kwa nasikitika makubwa Ila Sito penda andika Kwa undani kutokana na unyeti wa hili Jambo na Kwa bahati mbaya uwenda Kwa uchungu serikali imeupata Jambo hili limekuwa Siri Sana hakuna chombo cha ndani kimetoa taarifa isipokuwa chombo...
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya Maadili ya Uchaguzi yamsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa siku 7

    Kamati ya Maadili imemkuta Mgombea wa Jimbo la Vunjo kupitia NCCR Mageuzi, James Mbatia na hatia katika tuhuma ya uvunjivu wa Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Mwaka 2020. Hivyo Kamati hiyo imemsimamisha James Mbatia kufanya kampeni kwa muda wa siku 7 kuanzia tarehe 17 Oktoba...
  11. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Simu yapora Watanzania kwa kuongeza gharama za Bando mara mbili ya kawaida, hakuna anayejali

    Tuna makampuni ya simu mengi hapa Tanzania. Kwa bahati mbaya, karibu yote ni ya kigeni baada yale ya wazawa kufilisika. Kuanzia 30-07-2020 Mkampuni haya ya simu yameanza kidogo kidogo kupandisha gharama za vifurushi, wanapandisha alafu wansikilizia kama wanyonge watashtuka, sasa wamefika mahali...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania tubadilike

    Habari Zenu Bandugu, Naomba niende moja kwa moja kwenye maada.... Vijana wengi au kundi kubwa la vijana hua hatunaamuzi yetu binafsi hasa pale tunapofikisha umri kuanzia miaka 18 na kuendelea maana yangu ni nini? Yaani unakuta kijana amezaliwa anakuta baba/ mama yeye ni shabiki wa Simba/ yanga...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watanzania ( Wabongo ) wanaozamia katika Meli kwenda Bondeni au Mamtoni 'hushtukiwa' haraka 'Melini' kuliko Waafrika wengine?

    Nimetaarifiwa kuwa kama kuna Waafrika ambao ni 'Mafundi' wa 'Kujificha' katika 'Meli' wakiwa 'wanazimia' zao kwenda ama Bondeni ( Afrika Kusini ) au Mamtoni ( Nchi za Ulaya ) kabisa na 'hawashtukiwi' hadi wanafika ni Raia wa Nigeria, Senegal, Cameroon, Mali na Congo DR ila kwa Watanzania...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo watanzania masikini wanavyotumika nyakati za uchaguzi, Je baada ya hapo wanakumbukwa?

    Tumeona miaka yote wananchi wa kawaida wakitumika kama ngazi wakati wa kampeni za uchaguzi, wamekuwa wakivishwa fulana au vitambaa vya kichwani huku wengine wakisimika bendera za vyama vyao mbele ya nyumba zao. Sasa swali ni hili, baada ya chaguzi hizo kufanyika watu hawa hukumbukwa?
  15. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea siku ya kupiga kura, Mzee Butiku apindua meza kibabe

    Inaonekana dhahiri sasa hata wazee wamechoshwa na Taifa la watu kuishi kwa hofu. Msikilize Mzee Butiku hapa anavyopigilia nyundo kwa mzee Meko.
  16. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

    Kumekucha...kumekucha! Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020. Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli (CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu (CHADEMA). Kampeni za Hawa miamba 2 ndizo zinavuta Hisia, Ushawishi na Hoja zenye mashiko. Wakti...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  18. Dorin Kaaya

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuchague moja, Tanzania kwanza au siasa kwanza

    Wana JF, Nimeandika uzi wa TANZANIA NI BORA KULIKO SIASA Nimepata reply nyingi na niseme wazi kuwa watu wengi wanaonekana kuichoka amani kwani ndani ya Tanzania wana-reply kwa hasira na chuki. Leo naomba TUCHAGUE lipi bora, Tanzania kwanza au siasa kwanza. Tukichagua Tanzania kwanza nadhani...
  19. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania wanamuunga mkono Lissu ni kwa sababu ya sera?

    Mamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu. Nini haswa siri ya mafanikio? Kwa sababu ya sera zake nzuri na ahadi zinazotekelezeka...
  20. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Iringa Mjini: Nchi hii inahitaji Rais mchumi na mwenye huruma na watanzania, mkinichagua kuwa nitafuta umasikini

    NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF.LIPUMBA" IRINGA MJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
Back
Top Bottom