There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Wasalaam.
Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na...
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.
Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya...
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
Ulishawahi kusikia hadithi kwamba kuna wakati Waarabu walipata watumwa kirahisi kwa kutoa shanga na vioo kwa machifu wetu? Na pia kuna habari kwamba walitumia tende, wakawaonjesha watu tende, waliponogewa wakawaalika kwenda kweye merikebu zao za utumwa na kuwafungia huko, na kuishia kuwa watumwa...
SUALA LA SIMU KWA MAWAKALA: TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MSIHARIBU UCHAGUZI WA WATANZANIA!
Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya kupigia kura imetushtua hata sisi viongozi wa Kanisa! Simu ina mambo mengi sana katika ulimwengu wa sasa...
Salaam wanaJamiiForums na watanzania wote kwa ujumla wetu.
Ni ukweli usiopingika kwamba ndani ya wiki mbili zijazo, tunaenda kufanya uchaguzi wa viongozi mbali mbali kwenye Taifa letu.
Pamoja na mengi yaliyokwishaongelewa na kampeni zote zilizofanyika, kuna jambo moja ambalo halijapata mjadala...
Kwa miaka mitano watanzania wamekuwa wakiumia moyoni,hawana pa kusema shida zao.
Miaka mitano mzunguko wa fedha umesinyaa,hakuna aliyediriki kusema,umekuja wewe umeongea mengi,ya kuwasaidia watanzania.
Miaka mitano wafanyakazi hawajaongezwa mishahara,lakini walikuwa hawana wa kuwasemea,wewe...
HALI YA MAISHA YA WATANZANIA NI NGUMU SANA VYUMA VIMEKAZA NICHAGUENI OKTOBA 28, NIFUTE UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA"
HANDENI VIJIJINI
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
Baada ya kuishiwa hoja mmekuja na slogan kwamba maendeleo ya vitu hayana maana
Kwamba ndege zilizonunuliwa hazina maana, mkasahau kuwa ndugu zetu walipokwama India tuliwafuata na Ndege yetu. Kwenu hata hili halina maana.
Kwamba ndege zetu zitakuwa zinabeba Watalii kuja Tanzania, kwenu hili...
Hapa katibu muenezi wa CCM anazungumza na kuachia nondo, sijui nini huwaingia Watanzania ghafla mnabadilisha na kuanza tena kuponda umuhimu wa katiba nzuri.
Habari wadau,
Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu.
Kwanini simu ya mkononi kupitia laini...
Mama Panya aliona mtego wa panya uliotegwa na binadamu, alisononeka sana kwa sababu ya mtego ule uliokuwa unatishia kuangamiza maisha yake na watoto wake.
Alimfuata Jogoo, akamuomba amsaidie kuutegua ule mtego lakini Jogoo alikataa, alipomfuata mbuzi alimfukuza, akaenda kwa Ng'ombe akamjibu...
Habari za wakati huu;
Kuna mtu ameniomba ushauri kwamba anataka kuwa mwandishi wa vitabu.Kwa kweli nilifurahi ila nilimuuliza analenga kuandika vitabu kwa ajili ya kina nani?Alisema Watanzania wa Rika Lolote lile?
Basi baada ya mjadala mrefu na mipango mingi nikasema nirudi hapa niwaulizeni...
Mchungaji Anthony Lusekelo amewataka Watanzania kutoiga iga mambo kwani demokrasia ina maana pana.
Mzee wa Upako amesema hata Marekani demokrasia wanayoihubiri hawaiishi kwa mfano Hilarry Clinton ndiye aliyeshinda kwa wingi wa kura lakini aliyeteuliwa kuwa Rais ni Donald Trump.
Kadhalika...
Moja ya sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwa na busara katika maamuzi yake. Lissu kwa mara nyingine leo amewathibitishia Watanzania kuwa ni mtu asiyekuwa na busara na anayetaka ligi bila sababu ya msingi. Mtu kama Lissu akipewa madaraka makubwa ya nchi anaweza kuingiza nchi kwenye vita visivyo na...
Hii hoja haijawalenga Sana wale wenzangu na mimi ambao Wao wamechanjwa chale za vyama vyao
Sasa karibu katika mjadara!
Najua kuna wale ambao liwe jua ama mvua Wao ni CCM Tu, lakini kuna wengine ambao hata ukimwamsha usiku wa manane Kutokea usingizini umuulize, wewe ni Chama gani, atakujibu...
Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti.
Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
Ndugu zangu Watanzania wenye mapenzi mema na Taifa hili poleni Kwa shughuli za ujenzi wa Taifa.
Ndugu zangu Watanzania hakuna asie juwa katika kipindi cha uchaguzi Raia/wananchi hutumika kama mtaji wakisiasa na ndio maana kila chama hupenda kuonyesha wingi wa hadhira imekwenda shuhudia mikutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.