watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio nje ya nchi (Tanzania Diaspora) waanza kuandamana

    Watanzania tuishio nje ya nchi (TANZANIA DIASPORA) tumeanza kuandamana kupinga UCHAFUZI uliofanyika juzi hapo nyumbani Tanzania! Hawa ni ndugu zetu kutoka Ulaya ya Kaskazini (Sweden 🇸🇪, Norway 🇳🇴 na Denmark 🇩🇰) ambao tayari wameanza maandamano yao nje ya Ubalozi wetu uliopo Stockholm, Sweden...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Hata kama mteja ni mfalme (Customer Caring), Watanzania ni lazima tujifunze kuwa wastaarabu pindi tuendapo kupata huduma katika ofisi za watu wengine

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Hata kama mteja ni mfalme (Customer Caring), watanzania ni lazima tujifunze kuwa wastaarabu pindi tuendapo kupata huduma katika ofisi za watu wengine. Hata kama wewe ni mfalme na una stress zako za kifamilia ndio...
  4. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ni matokeo yaliokisi kile watanzania wanakihitaji

    Watanzania sio wajinga hata kidogo,maana wanahitaji maendeleo. Maana bila maendeleo maisha yanakuwa magumu kwa kila mwananchi. Mfano kila mtanzania anakumbuka wakati taifa letu lilikuwa na barabara mbovu,mtu kutoka Dar es salaaam mpaka Mwanza aliweza kusafiri kwa siku tatu,na hii sio mbali...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Sauti ya Watanzania wasiozidi milioni tatu kwenye sanduku la kura

    Takwimu za tume ya Taifa ya uchaguzi zinaonyesha wapiga kura waliopiga kura upinzani ni takribani milioni tatu kati ya milioni kumi na tano waliojitokeza na kati ya milioni 29 walioandikishwa. Pamoja na watanzania hawa kuwa wachache kwa msingi wa tume ya uchaguzi ila mtaani inaonekana nguvu yao...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo: Hoja saba zinazowafanya Watanzania wasiwe tayari kumwaga damu kwa maandamano

    CHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana. Vyama vya CHADEMA na ACT- Wazalendo vimekutana na kuwaambia waandishi wa habari eti kuanzia jumatatu wataanza maandamano yasiokuwa na kikomo kwa kile walichodai eti kuibiwa kura katika Uchaguzi...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama tisa vya upinzani vyatoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

    Vyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya kura zote. Katika tamko lao, vyama hivyo vimempongeza mgombea huyo kwa kushinda na kusema kwamba...
  8. Zanika

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jumuiya za Madola ziheshimu maamuzi yetu watanzania

    Nianze kwa kusema democracy sio kuondoa chama fulani madarakani ama lazima kuondoa vyama vikongwe vilinavyotawala tangu taifa husika lianze hadi sasa. Democracy sio kuwa chama fulani kisikae madarakani muda mrefu hata kama wananchi wa nchi husika wanakihitaji basi ninyi mnataka kiondoke...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hongera Dkt. John P. J. Magufuli, Hongera CCM: Ushindi wenu ni ishara ya mapenzi ya watanzania juu yenu

    Na: McWenceslaus 31/10/2020 Wapinzani sikieni, Ujumbe mshikeni, Iloletwa na wageni, Ndicho chenu kishikeni. Wambieni Mabeberu, Na Robert Amstardamu, Nchi yetu ipo huru, na CCM ndio Nuru. Magufuli 5 tena, Ndio neno lilojema, Tumaini lipo tena, Kazi ndio wetu wema. Haki uhuru na amani, Ndizo...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

    Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani kwenye mgomo wao na maandamano. Kwanza vyama vya upinzani vimegoma kukubali mapungufu yao makubwa kabisa ya kimuundo na kisera katika vyama vyao. Kwanza kabisa wananchi wanataka kujua kama kweli wana nia ya dhati? Kwanini kuna ACT Wazalendo...
  11. Lukuiza

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania wameamua...

    Watanzania wameamua kuendelea kuwa na haya yafuatayo:- Mambo hamsini tu! Na:KAWAWA 1. Elimu Bure 2. Barabara 3. Madaraja 4. Meli 5. Uchumi 6. Afya 7. Ndege 8. Viwanja vya Ndege 9. Maji 10. Utatuzi wa kero 11. Upendo kwa wananchi 12. Kutetea haki 13. Kulinda Uhuru wa Wananchi 14. Uzalendo 15...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mahali pote duniani, wanasiasa uchwara ndio chanzo cha machafuko nchini mwao, Watanzania tuwe makini

    Watanzania wenzangu, ninawasalimu kwa jina la Tanzania. Awali ya yote ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza watanzania wote kwa kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani. Hongereni sana. Dhumuni la bandiko langu ni kuwakumbusha ndugu zangu watanzania kuhusu umuhimu wa amani kutawala nchini na...
  13. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri. Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo. Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe. Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Watanzania mlimchagua Magufuli katika Ulimwengu wa Rohoni toka enzi za JK

    Chaguo la watanzania katika ulimwengu wa roho ni Rais Dokta.Joh Pombe Magufuli. Katika ulimwengu wa rohoni watanzania mlimchagua Magufuli toka Jk akiwa madarakani.. How? Majibu haya hapa. Hivi ndivyo ulimwengu wa rohoni unavyo fanya Kazi. Nitaelezea Kwa mifano moja Kwa moja. 1. MAMA WA...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haijatokea duniani, Watanzania wafaulu kufuta upinzani

    Nacheck hapa matokeo ya uchaguzi wa Tanzania, yaani upinzani umefutwa rasmi, mpaka sasa hawana mbunge hata mmoja aliyefaulu kwenye pembe zote za nchi aliyegombea kwa tiketi ya chama cha upinzani, ni mwendo wa CCM kote kote, kijani kwa kwenda mbele. Kwa kifupi bunge litafurika wabunge wa mlengo...
  17. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania hawapo tayari kwa mabadiliko?

    Poleni kwa kuzimiwa internet. Nirejee kwenye mada yangu,Je watanzania wanaweza kweli kupigania kuikomboa nchi toka kwa mkoloni mweusi huyu. Kila siku tumekuwa tukiona matukio mengi ya uonevu kutoka chama dola lakini hakuna siku watanzania wakachukua hatua stahiki za kuwawajibisha wahusika...
  18. Dua

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Watanzania wote chini ya uongozi imara wa CCM na kiongozi wetu Dkt. Magufuli

    Hongera sana Watanzania kwa kutuheshimisha na kutuletea maendeleo. Dkt. Magufuli utaendelea kuwa kileleni katika uongozi uliotukuka. Sasa tuna kazi moja kubwa ya kuijenga Tanzania kuelekea kwenye maendeleo ya kweli ya kuwanufaisha Watanzania kutokana na kazi zao. Watanzania tusonge mbele...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tufunge mkanda, kipindi kigumu zaidi kinakuja

    Nchi yetu ni moja ya nchi inayopkea misaada na mikopo mingi kutoka nchi wahisani na mashirika ya fedha ya kimataifa kuendeshea miradi na shughuli mbalimbali za maendeleo hapa nchini. Fedha hizi,hasa misaada,zinatusaidia kupunguza nakisi ya Bajeti lakini pia zinatupa uwezo wa kulipa deni la...
  20. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chadema Kubalini matokeo, Watanzania Wote tunaendelea na Shughuli zetu tumeanza kuwasahau

    Baada ya tarehe 28 October, Tanzania hali ni shwari na yenye utulivu Watanzania tumemaliza Uchaguzi na Chadema wameshindwa Vibaya sana wamebaki kama Chauma. Lissu nani alikudanganya kuwa utawaambia Watanzania Nendeni Barabarani nao watatoka. Washabiki wako wa mtandaoni wako Instagram wanapitia...
Back
Top Bottom