There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, tokea nimezaliwa nimekuwa nikisikia juu neno maendeleo hasa zikizungumziwa Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za mashariki, lakini imekuja kunigusa tena kwenye kampeni za uchaguzi ambapo watu wanabishana kipi kianze sasa...
Hakuna cha Makame Mbarawa wala nani. Huyu ndiye atayeiingiza Zanzibar kwenye karne ya 21.
Wasifu wake ni huu hapa:
Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli. Kiongozi...
Na hapa ndipo sehemu pekee ambayo CCM yangu inanifanya niipende kwani inajua mno kufanya 'Utafiti' hasa ule wa 'Kujitathmini' yenyewe ili baadae ijue jinsi ya 'Kumkabili' na 'Kumshinda' Mpinzani wake mapema tu. Na sasa nimeamini kuwa Siasa ni 'Sayansi' na kujua 'Mvumo' wa Kipindi husika ilimradi...
Moja ya jambo ambalo Watanzania na Waafrika wenzangukwa ujumla tunapaswa kujiuliza sana.
Je, hivi ni kweli, nchi ya Marekani na vibaraka wake ni watetezi wa demokraaia au ni watetezi wa maslahi yao binafsi?
Kwanini?
Kwa sababu, kumekuwepo na kukosekana kwa usawa (double standard ) zà hali ya...
Salaam Wakuu,
Muda wowote kuanzia sasa, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha CHADEMA, Tundu Lissu atakuwa anaongea na Waandishi wa Habari Nyumbani kwake Tegeta.
Nitawaletea kila kinachojiri Kutokea hapa Tegeta.
Agenda kubwa ni kusimamishwa kufanya Kampeni
======
UPDATES:
16:54HRS...
Wanabodi
Watu wameisha zoea ukitolewa wito, then wito huo uwe umetolewa na kiongozi fulani, mtu ukiwa nobody, huwezi kutoa wito.
Mimi ni nobody, lakini hapa natoa wito kwa Watanzania wenzangu tukiwemo sisi wana Jf, kwanza hiyo Tarehe 28 October, tujitokeze kwa wingi, twende tukapige kura...
Kama yupo anaetutakia amani na nchi yetu kwenye kipindi hiki basi atusaidie kuifanya Tume ya uchaguzi isiyumbishwe na wanasiasa wote.
Afande Sirro ni msomi sana na muelewa, Maaskofu na Masheikh ni waelewa sana, wananchi ni wapenda amani na ni waelewa sana. Makundi yote haya washirikiane...
NDIYO, hatutakubali yaliyofanyika kipindi kile cha uchaguzi na Zanzibar ya Jecha
Kwa mjibu wa kanuni za maadili na Sheria za uchaguzi, zinavitaka Vyama Vyote vinavyotoa wagombea Kwa ajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao kuomba kuchaguliwa na wananchi katika Nyanja mbalimbali za kiuongozi...
“Mimi sioni tabu kumwambia (Magufuli) tugawane mbao”. Haya ni maneno aliyoyatamka Mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Mkele, Mjini Magharibi visiwani Zanzibar.
Kauli hiyo ameitoa sambamba...
Jukwaa la wasanii katika kampeni za CCM limezidi kuimarika baada ya kuongezeka msanii wa nyimbo za Injili Rose Mhando.
Rose amekuja na wimbo mpya wa kampeni "Magufuli Tubebe"
Siasa ni sayansi.
Maendeleo hayana vyama!
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma.
MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki wanatozwa 50,000. Naifuta leo moja kwa moja hiyo tozo.
Kwa hiyo pasitokee mtu yoyote kutoka wizara...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania eti;
Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio Armenia pamoja na Azerbaijan?
Kuna mapigano makubwa ya kijeshi yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo leo baina ya nchi hizo mbili...
Nakumbuka katika kampeni za 2015 na kurudi nyuma hoja kubwa za upinzani ilikuwa ni ufisadi na ubadhilifu wa mali za umma, alipoingia Rais John Joseph Magufuli amefanya mengi kuakikisha anayafuta kabisa, ametumia nguvu nyingi kuyaondoa lakini kwa kipindi hicho pesa ilikuwa nyingi sana lakini...
Iwe ameshinda au ameshindwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. John P. Magufuli lazima abadilike. Lazima awe mpya. Hawezi tena na kamwe kubaki alivyo. Anapaswa kujirudi; kujitathmini; kujiangalia na kuwaangalia watanzania wake na kujiuliza bila kujiliza...
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
Hakuna mtu aliyechukia mgombea wenu, alianza vizuri lakini akajawa na madaraka yakamzidi akasahau kua kuna uchaguzi mbeleni.
Yaani wasamaria wema wachangie pesa kwa ajili ya majanga halafu wewe unajipeleka kwenye miradi ya serikali siyo ukatili na uonevu kitu gani? Magufuli akishindwa urais huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.