Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,592
- 11,831
Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote.
Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini.
Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e".
Amesema ahadi hii lazima itekelezwe kwa utaratibu maalumu.
Amesema wapinzani wasiwe wanaongea tu bali kabla hawajaanza kukurupukia sera wawe wanasoma Ilani ya ccm kwanza ili wasiwe wanacopy sera.
Naamini mhe. Tundu Lissu atajibu hili kisomi kabisa.
====
ILANI ya CHADEMA [Ukurasa wa 43(n)]
Uchaguzi 2020 - Kufanya Afya: Tundu Lissu ameudanganya Umma na kunakili ilani ya CCM kuhusu Afya