Yawezekana watanzania wanapenda zaidi kandanda kuliko Siasa, siyo kwa nyomi hii ya Yanga hapa Mkapa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,961
141,956
Sipati picha nyomi kama hii ikisheheni kwenye mkutano wa Chama cha Siasa hali itakuwaje huko mitandaoni.

Je, mapenzi ya vilabu vya mpira hasa Simba na Yanga yanazidi yale ya vyama vya siasa?

Maendeleo hayana vyama!

Yanga.jpg
 
Yaani na kwenye Mpira ingekuwa timu moja ndo inachagua mkereketwa wake awe refa halafu Huyo refa kabla mechi haijaanza anawapiga kadi nyekundu wachezaji 7 wa timu shindani usingeona shabiki hata mmoja uwanjani bwasheee!
Mbona viongozi wa TFF wote ni wanazi wa Simba lakini viwanja bado vinajaza?
 
Wapinzani walijiua wenyewe 2015. Kosa kumtosa slaa na kumkumbatia lowassa bado wakawekeza nguvu kubwa kumkaribisha wema sepetu daah

Lipumba akamaliza kazi kujiuzulu na kurudi kwa nguvu
Wema yule wa CCM Singida?
 
Sasa kwa upuuzi mkubwa uliofanyika, unategemea nipende siasa. Bora nikakeshe kwenye maombi kuliko kuhudhuria siasa na kupiga kura katika uchafuzi wa mwaka huu 2020.
 
Hio ni sababu nojawapo, ila yaliyofanyika miaka hii mitano(siasa za kuunga mkono juhudi na haya ya leo ya kuengua wapinzani na mengineyo ya siku za nyuma),yamechangia sana kuwakatisha wananchi tamaa kufuatilia mambo ya siasa.
Amini usiamini siasa zinafuatiliwa sana tu kupitia online Tvs, Twitter, Facebook, Instagram etc. Zile siasa za majukwaani zilipumzishwa kwa miaka mitano hivi ...si rahisi ziibuke ghafla hivi.......yaani ndio kumepambazuka pigeni kazi ya uenezi vijana....
 
Hio ni sababu nojawapo, ila yaliyofanyika miaka hii mitano(siasa za kuunga mkono juhudi na haya ya leo ya kuengua wapinzani na mengineyo ya siku za nyuma),yamechangia sana kuwakatisha wananchi tamaa kufuatilia mambo ya siasa.
Ila siku ya kupiga kura watajitokeza na kukipa kura chama cha rangi za jezi zao.
P
 
Kuna mambo mengine katika maisha yana umuhimu mkubwa sana kuliko kwenda kuangalia mpira.
Ndio maana nikasema, ni vyema Lissu angetumia nafasi hyo kufikisha ujumbe... Lissu kuonekana taifa tu ingemuweka karibu sana na Wananchi
 
Lissu awe karibu na Wananchi mara ngapi? Unayajua aliyoyafanya Lissu Nchini kuwasaidia Watanzania wanyonge mbali mbali bila kudai hata senti moja?

Ndio maana nikasema, ni vyema Lissu angetumia nafasi hyo kufikisha ujumbe... Lissu kuonekana taifa tu ingemuweka karibu sana na Wananchi
 
Back
Top Bottom