Uchaguzi 2020 Watanzania wanashindwa kuwaamini wagombea wa CHADEMA kwa hofu ya kujitoa

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Tumeshuhudia kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita wabunge na madiwani wengi kutoka chadema wakijivua ubunge au udiwani. CHADEMA haijawahi kuwaambia wananchi sababu ya msingi iliyopelekea hayo.

Hii imeondoa imani ya wapiga kura kwao hasa hasa baada ya mchakato wa kuwapata wagombea wa CHADEMA kugubikwa na utata na usanii mtupu.

Wapiga kura watawekeza kwa wabunge na madiwani walio serious kutoka Chama cha mapinduzi.

Oktoba 28 nitawakumbushia.
 
Ukiachana na Hilo huwa jamaa hawakai Bungeni wanatoka kila Mara.

Bajeti yenyewe ya Uchaguzi hawakuipitisha wao,

Walikua wanaogopa korona,

ila uchaguzi wanashiriki hawaogopi korona.
 
Ukiachana na Hilo huwa jamaa hawakai Bungeni wanatoka kila Mara.

Bajeti yenyewe ya Uchaguzi hawakuipitisha wao,

Walikua wanaogopa korona,

ila uchaguzi wanashiriki hawaogopi korona.
hukumu yao ni sasa
 
Back
Top Bottom