There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Kwa upande wa udiwani matokeo yaliyokwishatoka yanaonyesha CCM ikiwa mbele kwa kuzoa kata nyingi.
Hata ubunge hakuna Mgombea wa Upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa na tayari kiongozi mkuu wa CHADEMA ameshapoteza kiti chake cha ubunge kule Machame.
CCM tunawashukuru sana Watanzania kwa...
Tumeona kwa macho yetu baadhi ya watu wanaojiita wana CCM wakijaribu kuhujumu uchaguzi huu. Tumeona ambavyo wanaonekana wakiwa na kura fake ambazo wanataka kuzichanganya na halisi.
Hawa ni wahujumu, wahujumu na wafitini ambao wanataka kuonesha kuwa Mh. Rais hatakiwi na hawezi shinda hivi hivi...
Kwema wana jukwaa leo nimekuja na hoja jinsi wajina wanavyowanyanyasa wazawa ambao wamewaajiri katika kampuni za ujenzi
Kuna kampuni moja inaitwa Chicco inajenga mto ng'ombe unaopita mitaa ya Sinza, Mtogole mpaka Mkwajuni. Mradi ambao uko chini ya Manispaa ya Kinondoni.
Lakini mwanzoni mwa wiki...
Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana Lissu kwa kampeni zake za hali ya juu na zilizokuwa na mahudhurio makubwa sana kila kona ya Nchi yetu uliyopita. Lugha zako za upendo ulizotumia na kutugusa mamilioni ya Watanzania Wazee, vijana na hata watoto. Ulikutana na vikwazo vya aina mbali mbali...
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutuvusha salama na hatimaye kuifikia siku hii ya leo tunapoenda kuchagua viongozi wetu.
Ninamuomba mwenyezi Mungu awatie nguvu ninyi nyote ili tuweze kukamilisha jukumu hili la kikatiba kwa amani. Tukumbuke kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba siasa haijengi...
RAIS Dk. John Magufuli amewataka Watanzania kutumia utashi wao kuchagua viongozi wanaowafaa, watakapokwenda kwenye vituo vya kupigia kura kesho.
Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa msikiti uliojengwa katika Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma, aliwataka Watanzania kuhamasishana kwenda kupiga...
Habari za jioni watanzania!
Kwa kipindi cha takribani mwezi mmoja tumekuwa kwenye mchakato wa uchaguzi. Katika kipindi chote hiki Watanzania tumeonesha ustaarabu wetu kwa kufanya kampeni safi bila ugomvi au rushwa.
Wapo waliotumwa kuvuruga hali ya hewa hata kabla ya kuingia siku ya upigaji...
Habari za hivi punde zinazoashiria upepo wa matumaini unazidi kuvuma, ni kuwa Twitter imeverify account zifuafazo, tena kwa mkupuo.
Tundu Lissu
Fatma Karume
Chadema Tanzania
John Mnyika
Zitto Kabwe
Carherine Ruge
ACT Wazalendo
Najua kuna watakaokuja na kubeza na hata kutaka kulinganisha na...
Watanzania wa kipindi cha kwanza cha Mkapa watakubaliana nami kuwa mazoea yanaharibu sana fikra za jamii. Kipindi cha kwanza cha Mkapa nchi ilikuwa imetoka katika uongozi wa ruksa maana yake nchi ilikuwa haina mifumo imara hivyo alipoingia Mkapa alisababisha watu wengi kuanza...
Naam, hiyo ndiyo Tanzania na hao ndio viongozi wa chama tawala wanaotaka tuwape ridhaa ya kuendelea kututawala kwa miaka mingine mitano. Cha ajabu ni kwamba wapo Watanzania wenzetu ambao wako tayari kutoa ridhaa hiyo bila hata kuhoji.
Kitu kimoja kilicho wazi ni kwamba tukifanya makosa tena...
October 28 ,2020 Watanzania twendeni tukamsimike Dkt. Magufuli Kwa ushindi wa kishindo ,miaka mitano mingine ya kazi, Afrika inajua ,Dunia inajua kazi ya Mtoto wa Afrika kutoka Chato ,mwana Mageuzi ya kweli.
Tunajua nchi za Magharibi hawapendi Juhudi za mwamba JPM kuipeleka nchi katika...
Huwaga naona aibu sana sana,yanapojitokeza mambo yanayoonyesha ni ukosefu wa elimu au WaTanzania hatufai kupewa dhamana ,na hii hali inayojitokeza ambayo matatizo yanatokana na Tume za uchaguzi ,kusema kweli yanatuchafua waTanzania wote kwa kiasi fulani.
Tume wangejiandaa kwa wizi sio...
LISSU: TUKAPIGE KURA JUMATANO IJAYO
Watanzania wenzangu, Jumatano ijayo tutapiga kura. Katika kipindi muhimu kama hiki, nawaomba Watanzania wenzangu wa dini zote tushirikiane kuiombea nchi yetu tuwe na Uchaguzi Huru na Haki, unaokubalika na unaoeleweka dunia kote ambapo sisi ni sehemu yake...
Kikatiba, ni haki ya mpiga kura kuchagua Mbunge au muwakilishi anayeona anafaa.
Kanuni na maadili ya Uchaguzi yanakataza kutisha, kutoa rushwa au ahadi za vitu kwa upendeleo .
Maji ni hitaji la lazima kwa mtu achilia mbali viumbe hai wengine.
Fedha za miradi zinatokana na kodi inayolipwa na...
Majuzi hapa Rais Magufuli alinukuliwa akiwaasa watu waukatae ubaguzi.
Lakini kwa baadhi ya kauli zake, watu wanaweza kusema aanze yeye kwanza kuufanyia kazi huo ushauri wake maana mara kadhaa keshawahi kutoa kauli ambazo zilionekana kuwa ni za kibaguzi.
Karibu miaka 3 ilopita, niliwahi kumsema...
Nimesikitishwa na kitendo cha TBC1 kutumika kumfanyia kampeni mgombea Urais wa CCM.
Kumekuwa na vipindi kadhaa vya kumpigia kampeni Mgombea Urais wa CCM lakini kitendo cha kuweka vipindi kadhaa wakati huo huo kukiwa na background ya wimbo wa Zuku akiimba wapinzani wanyong'onyee ni kuwakosea...
Huenda wengi wasinielewe kwenye hili.
Nani anakumbuka 2018 harakati za Mange? Sasa kama bado tuko na akili na uoga huo basi bora tumpigie Magufuli kura kwa sababu hizi.
1. Sehemu zenye Wapinzani maendeleo hayataletwa(Magu mwenyewe anasema sana)
2. Kutakuwa na wimbi kubwa la waunga mkono...
Kuna mambo inabidi ifike hatua muwe mnaongozwa na akili badala ya mapenzi ya vyama au mihemko isiyo na faida siasa sio Kama ushabiki wa mpira siasa inagusa maisha yetu.
Kuna mambo nimeona hapa wakiaminishana eti akiingia Tundu Lissu na CHADEMA kiujumla ndio watakuwa na maisha Bora hiv Nani...
Habari wanajamvi!
Naam, hukumu imekatwa. Watanzania wameamua kwa dhati ya mioyo yao kuwa CCM wapumzike. Tanga kwa bashasha wamesema ni yeye! Kagera wamenena ya moyoni bila kificho kuwa ni yeye! Mara yote walisha kata shauri toka mwanzo wa kampeni kuwa ni yeye Tundu Lissu! Usukumani kwa umoja...
Tumekuwa tukisikia wanasiasa fulani wakijisifu kuleta maendeleo kwa kununua ndege na wengine wakikosoa vikali uamuzi huo.
Ukweli unaokubalika kwa makundi yote mawili kuhusu usafiri wa ndege ni kuwa; usafiri wa ndege ni jambo la gharama kubwa na huenda ni mahususi kwa baadhi ya watu tu.
Nimekaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.