watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo watanzania masikini wanavyotumika nyakati za uchaguzi, Je baada ya hapo wanakumbukwa?

    Tumeona miaka yote wananchi wa kawaida wakitumika kama ngazi wakati wa kampeni za uchaguzi, wamekuwa wakivishwa fulana au vitambaa vya kichwani huku wengine wakisimika bendera za vyama vyao mbele ya nyumba zao. Sasa swali ni hili, baada ya chaguzi hizo kufanyika watu hawa hukumbukwa?
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea siku ya kupiga kura, Mzee Butiku apindua meza kibabe

    Inaonekana dhahiri sasa hata wazee wamechoshwa na Taifa la watu kuishi kwa hofu. Msikilize Mzee Butiku hapa anavyopigilia nyundo kwa mzee Meko.
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni lala salama: Magufuli yuko kwenye Mabango na Lissu yuko ndani ya mioyo ya Watanzania!

    Kumekucha...kumekucha! Bado siku 11 tu kipenga Cha kumaliza mchezo kipulizwe hapo 28 Oktoba,2020. Fainali ni kati ya hawa miamba 2 John Joseph Pombe Magufuli (CCM) na Tundu Antipas Mughwai Lissu (CHADEMA). Kampeni za Hawa miamba 2 ndizo zinavuta Hisia, Ushawishi na Hoja zenye mashiko. Wakti...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania tuchague moja, Tanzania kwanza au siasa kwanza

    Wana JF, Nimeandika uzi wa TANZANIA NI BORA KULIKO SIASA Nimepata reply nyingi na niseme wazi kuwa watu wengi wanaonekana kuichoka amani kwani ndani ya Tanzania wana-reply kwa hasira na chuki. Leo naomba TUCHAGUE lipi bora, Tanzania kwanza au siasa kwanza. Tukichagua Tanzania kwanza nadhani...
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania wanamuunga mkono Lissu ni kwa sababu ya sera?

    Mamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu. Nini haswa siri ya mafanikio? Kwa sababu ya sera zake nzuri na ahadi zinazotekelezeka...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Iringa Mjini: Nchi hii inahitaji Rais mchumi na mwenye huruma na watanzania, mkinichagua kuwa nitafuta umasikini

    NCHI HII INAHITAJI RAIS MCHUMI NA MWENYE HURUMA NA WATANZANIA MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAFUTA UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE"PROF.LIPUMBA" IRINGA MJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli umeudanganya umma wa Watanzania na Wanategeta kuhusu kero ya mafuriko

    Wasalaam. Mimi ni mkazi wa Tegeta Nyuki, Leo natoka hali ya kushangaza mgombea Urais kupitia CCM bwana Magufuli amesema hajui matatizo ya mafuriko yanayowakumba wakazi wa Tegeta hivyo wamchagulie mbunge wa CCM Askofu Gwajima ili akaombe pesa za kuchimbia mitaro. Hayo ameyasema akiongea na...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

    Sitaandika mengi Leo, Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S. Ila yangu ni haya, Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema. Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

    Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa. Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwanini Waarabu walituchukua kirahisi kwenda utumwani. Mke kupigwa na kukubaliana na mume anapoambiwa unaona umenifanya nikupige!

    Ulishawahi kusikia hadithi kwamba kuna wakati Waarabu walipata watumwa kirahisi kwa kutoa shanga na vioo kwa machifu wetu? Na pia kuna habari kwamba walitumia tende, wakawaonjesha watu tende, waliponogewa wakawaalika kwenda kweye merikebu zao za utumwa na kuwafungia huko, na kuishia kuwa watumwa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya kupigia kura imetushtua

    SUALA LA SIMU KWA MAWAKALA: TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MSIHARIBU UCHAGUZI WA WATANZANIA! Taarifa kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itazuia Mawakala wa Vyama kuingia na simu zao katika vituo vya kupigia kura imetushtua hata sisi viongozi wa Kanisa! Simu ina mambo mengi sana katika ulimwengu wa sasa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Zingatia, Ukifanya chochote zaidi ya kuweka tiki kwa unaemchagua, umeharibu kura yako

    Salaam wanaJamiiForums na watanzania wote kwa ujumla wetu. Ni ukweli usiopingika kwamba ndani ya wiki mbili zijazo, tunaenda kufanya uchaguzi wa viongozi mbali mbali kwenye Taifa letu. Pamoja na mengi yaliyokwishaongelewa na kampeni zote zilizofanyika, kuna jambo moja ambalo halijapata mjadala...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu inatosha umewasemea watanzania yaliyo mioyoni mwao, Mungu atakulipa

    Kwa miaka mitano watanzania wamekuwa wakiumia moyoni,hawana pa kusema shida zao. Miaka mitano mzunguko wa fedha umesinyaa,hakuna aliyediriki kusema,umekuja wewe umeongea mengi,ya kuwasaidia watanzania. Miaka mitano wafanyakazi hawajaongezwa mishahara,lakini walikuwa hawana wa kuwasemea,wewe...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Handeni Vijijini: Hali ya maisha ya watanzania ni ngumu sana vyuma vimekaza nichagueni nifute umasikini katika nyanja zote

    HALI YA MAISHA YA WATANZANIA NI NGUMU SANA VYUMA VIMEKAZA NICHAGUENI OKTOBA 28, NIFUTE UMASIKINI KATIKA NYANJA ZOTE "PROF.LIPUMBA" HANDENI VIJIJINI Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wapinzani hasa CHADEMA na ACT mnachowafanyia watanzania siyo sahihi, karma itawahukumu

    Baada ya kuishiwa hoja mmekuja na slogan kwamba maendeleo ya vitu hayana maana Kwamba ndege zilizonunuliwa hazina maana, mkasahau kuwa ndugu zetu walipokwama India tuliwafuata na Ndege yetu. Kwenu hata hili halina maana. Kwamba ndege zetu zitakuwa zinabeba Watalii kuja Tanzania, kwenu hili...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: DUh! Kuna wakati Watanzania akili huwakaa vizuri, hadi wanaanza kutamani katiba nzuri yenye ubora kama hii yetu Kenya

    Hapa katibu muenezi wa CCM anazungumza na kuachia nondo, sijui nini huwaingia Watanzania ghafla mnabadilisha na kuanza tena kuponda umuhimu wa katiba nzuri.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

    Habari wadau, Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia kukusanya fedha zinazoweza kutumika kugharamia Elimu ya juu. Kwanini simu ya mkononi kupitia laini...
  19. JamiiForums Tanzania Kisa cha Mama Panya kinatuhusu Watanzania

    Mama Panya aliona mtego wa panya uliotegwa na binadamu, alisononeka sana kwa sababu ya mtego ule uliokuwa unatishia kuangamiza maisha yake na watoto wake. Alimfuata Jogoo, akamuomba amsaidie kuutegua ule mtego lakini Jogoo alikataa, alipomfuata mbuzi alimfukuza, akaenda kwa Ng'ombe akamjibu...
  20. JamiiForums Tanzania Ni Vitabu vya aina gani vinavyosomwa na Watanzania na Kuandikwa na Watanzania?

    Habari za wakati huu; Kuna mtu ameniomba ushauri kwamba anataka kuwa mwandishi wa vitabu.Kwa kweli nilifurahi ila nilimuuliza analenga kuandika vitabu kwa ajili ya kina nani?Alisema Watanzania wa Rika Lolote lile? Basi baada ya mjadala mrefu na mipango mingi nikasema nirudi hapa niwaulizeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…