watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

    Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine. Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
  2. Dam55

    JamiiForums Tanzania Prof. Lumumba: Hongera Magufuli, hongera Watanzania

    Hizi ndio Salam za pongezi kutoka kwa Prof. Lumumba. Imani yake bado ni kubwa kwa Rais Magufuli
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sisi Watanzania tunakushukuru sana Tundu Lissu kwa kampeni zako za kiwango cha juu, Tunakutakia kila la heri, Mungu aendelee kukulinda

    Nikiwa mmoja wa maripota wa Kampeni za Tundu Lissu humu JF na kwingineko kuanzia mwanzo hadi mwisho na kwa kadri ya umri nilionao na uzoefu wangu katika siasa za Tanzania na za kimataifa, Tundu Lissu amefanya kampeni za kiwango cha juu mno, huyu mtu hakuwa tu mgombea wa Urais bali alikuwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu ametusahau Watanzania?

    Je, Mungu ametusahau watanzania? Jibu ni hapana. Baada ya kila neno kusemwa na kila lililosemwa kutimia basi ndio utukufu wa Mungu utakapo shuka Kwa Watanzania. Watanzania ni watu wakarimu Sana na niwatu wasio weza kujipambania pale wanaitaji Lao la msingi. Niwatu wasio penda fujo na ghasia na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka nchi ya aina gani?

    Bila kupindisha maneno nchi yetu kwasasa inakabiliwa na mabadiliko makubwa ya mfumo. Mfumo wa zamani wa vyama vingi na demokrasia unaelekee kufa na kuja mfumo mpya kama wa Rwanda, Urusi na China. Utawala wa Chama kimoja na mtu mmoja wa awapendaje. Huu mfumo wa aina yake unaonekanaga mzuri pale...
  6. G Sam

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
  7. Securelens

    JamiiForums Tanzania Kila CHADEMA wanalojaribu linabuma: La Lissu na Lema pia limebuma. Watanzania tunaendelea na maisha

    CHADEMA kama ilivyo kawaida yao ya kutunga na kutengeneza matukio ya uongo. Wamejaribu kutengeneza ya Lissu, Lema na Nyarandu lakini yote yamebuma. Watanzania na wajanja duniani wamekwishawagundua kuwa ni walaghai. Wamebaki na kujipa moyo kwenye keyboards zao na vyombo vya habari uchwara vya...
  8. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ushindi mzito wa CCM: Sisi kama Watanzania tunapaswa kutafakari kwa kina juu ya hili

    Tanzania ni moja ya Nchi ambayo baada tu ya Uhuru ilifanikiwa kujenga msingi Imara wa kiutawala kupitia TANU na baadae CCM. Msingi ambao unaifanya Tanzania kuwa moja ya Nchi chache Barani Afrika zenye uimara wa hali ya juu kiutawala. Sasa ni miaka 20 tangu mfumo wa vyama vingi uanze, na hakuna...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Watanzania watalipenda sana Bunge lijalo

    Habari WanaJF, Binafsi ninaamini Bunge lijalo litakuwa ni Bunge la kufurahisha sana na lenye changamoto kuliko bunge lenye wabunge wengi Wa upinzani ndani yake. Ni bunge litakalojadili na kufanya maamuzi makubwa yenye maslahi mapana kwa taifa letu. Ni bunge litakalothibitisha ubora na...
  10. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA pamoja na kushindwa uchaguzi bado mna deni kubwa wa watanzania

    Najua fika kuwa mlitegemea hili anguko ila mlifanya siasa kwa mazoea kwa kudhania kuwa Tanzania ya 1995- 2015 bado ni ile ile. Hapana kabisa Tanzania ya leo sio kama hiyo mliodhania na kufikiria, sio Tanzania ambayo inahitaji wanaharakati au wanasiasa wajanja wajanja kama mlivyokuwa...
  11. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kuamini Sana uchawi huwa kunaambatana na ujinga

    Ukikaa na watu wanaoamini uchawi na kupiga stori za uchawi huwa Kuna mambo ya kushangaza Sana. 1. Mmoja anasimulia eti Kuna mzee alikamatwa na radi ameiweka kwenye mfuko wa salfeti. polisi kumuuliza akasema huwa anaiuza. 2.Mwingine anasema eti radi ikipiga sehemu huwa inataga yai . Basi...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu amewashukuru Watumishi wa Sekta ya Afya na Watanzania kwa ushirikiano alioupata kipindi cha Uwaziri wake

    "Ninawashukuru watumishi wa sekta ya Afya na Maendeleo ya jamii wa ngazi zote kwa ushirikiano mzuri walionipatia katika kutekeleza majukumu Nawashukuru kwa imani na upendo wao mkubwa kwangu.Siku zote wamekuwa wakiniamini na kuniheshimu licha ya kuwa sio mwanataaluma wa Afya." "Kwa unyenyekevu...
  13. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Tanzania mbioni kuwakabidhi mgodi Waaustralia wachimbe madini yanayounda vifaa vya computer na simu. Huku watanzania wakiwa hawana ujuzi wowote

    Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources. The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika zoezi la kumuapisha Rais mteule Dkt. Magufuli katika uwanja wa Jamhuri Dodoma

    Rais Magufuli anaapishwa leo katika sherehe itakayohudhuriwa na viongozi wa nchi zaidi ya 20 na mabalozi zaidi ya 80 kutoka sehemu mbalimbali duniani. Updates: Rais Magufuli ameshakula kiapo kiapo na na kuweka saini. Makamu wa Rais mama Samia naye ameshakula kiapo na kusaini. Sasa Rais...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli wewe ni Rais wetu sisi sote Watanzania. IGP Sirro hafai ukiapishwa teua IGP mwingine

    Mimi ni Mwana CHADEMA ila msema ukweli na ukweli unampa mtu uhuru. Uchaguzi umeisha ila tumeshuhudia mambo mabaya sana hasa huko Zanzibar Pemba. Tumeshuhudia picha za maiti zikiwa zinatisha na ndugu wa marehemu wakisema ndugu zao waliuliwa na polisi. Kwa jeshi linalofanya kazi kwa weledi sisi...
  16. YEHODAYA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ya Ripoti ya BBI ya Kenya jinsi ya kumaliza ukabila naiweka Watanzania tusome Tuwashauri hapa

    Hii ni sehemu tu ya reporti ya Building Bridge Intiative (BBI) iliyokabidhiwa kwa Raisi Uhuru Kenyatta katika kipengele cha jinsi ya kumaliza ukabila nchini Kenya Mimi nawashauri kuwa wapige marufuku matumizi ya lugha za kikabila kwenye public places kama ofisi za serikali,mikutano ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee sana Lissu

    Kwanza kabisa tunamuomba Lissu ajitokeze na aseme alipelekwa Polisi kwa tuhuma zipi kwani inaonekana tuhuma hizo sio za kawaida unless zimeisha leo leo. Binafsi nimesoma tweet ya mwandishi mmoja (Halima Gikandi) ambae kafanya mahojiano na Lissu, mahojiano ambayo yamegusia sababu za Lissu...
  18. shamimuodd

    JamiiForums Tanzania Wapinzani ombeni msamaha kwa Watanzania, mtasamehewa

    Nianze kwa kuwapongeza Watanzania kwa uzalendo wao wa kuchagua maendeleo bila kujali itikadi za vyama vyao, hakika ushindi wa CCM ni uthibitisho wa mageuzi ya ki-fikra ya Mwafrika yenye kuachana na mawazo tegemezi ya kila aletacho mzungu ni bora kuliko tulicho nacho. Binafsi nilikuwa nina...
  19. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi. Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia...
  20. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Watanzania mbona waoga hivi, tatizo ni nini?

    Very funny but questionable Mtu pekee alieweza kutawanya kikundi hiki cha wanaume wa kitanzania ni polisi mmoja tu, tena ni dereva ambae hakuwa hata na chochote. Jibu la ni moja tu ....UOGA 😂😂 Polisi kashuka bila chochote na hii ni ishara tu kwamba alikuwa ana nia njema kabisa
Back
Top Bottom