There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Hii inaitwa 60 years of incompetence, inefficiency and failure of CCM.
Leo hii miaka 60 bado chama cha mapinduzi kinategemea wanyonge, watu masikini na wasiojielewa, wajinga. Miaka 60 chama kinajinasibu kua ni chama cha wanyonge, kinatetea wanyonge unajiuliza hao wanyonge walitengenezwa na...
Huyu ndiye kijana ambaye wakati alipokuwa hahitaji mke alimvunja mguu kaka wa dada. Sasa anamhitaji dada ameamua kujipendekeza kwa kaka eti nipe mke ninakupenda nitakuajiri kwenye kampuni zangu.
Huyu ndiye kijana ambaye alipokuwa hana haja ya kuoa aliibeza familia ya dada, akawachenjia mama...
Si wananchi, si Polisi, si Wanajeshi si Vyombo vya Usalama si wafanyakazi serikalini,wote wameshaichoka CCM kwa jinsi inavyowahangaisha, njooni huku twendeni kule watu hawana raha na maisha wapo mbioni tu wakitakiwa kuilinda CCM, ambayo bila ya kuwatisha watu kwa barua za kuhudhuria mikutano na...
Wanajamvi,
Kwa wale ambao wamefuatialia “Tanzania demographics”, watakubaliana na mimi. Lakini pia kama upo Tanzania utaelewa ninachosema.
Lakini kuna mabandiko mengi ambayo nilikwishazungumzia kuhusu “Tanzania Demographics”, haswa kwenye thread za kuhusiana na “COVID-19”. Ambapo niliweka...
Wajumbe
Nasoma hapa ukurasa wa 5 mwanzoni kabisa, kwamba CCM imezamiria kustawisha maisha ya kila Mtanzania kwa kutokomeza umaskini na kuhakikisha taifa linafikia uchumi wa kati ( Kumbe bado hatujafika au wamecopy na kupaste ya 2015 😁😁😁😁 ) kwa kuongeza ajira zaidi ya MILIONI 8 ( 1,2,3 ...
Aman iwe nanyi wakuu
Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana.
Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
Sipati picha nyomi kama hii ikisheheni kwenye mkutano wa Chama cha Siasa hali itakuwaje huko mitandaoni.
Je, mapenzi ya vilabu vya mpira hasa Simba na Yanga yanazidi yale ya vyama vya siasa?
Maendeleo hayana vyama!
1. Rais uhuru kenyata alichangia wahanga million 200.
2. Serikali ya korea iliwachangia wahanga million 108.
3. Serikali ya uingereza iliwachangia wahanga billion 6
4. Askofu mkuu wa EAGT dkt brown mwakipesile alichangia million 10.
5. Mh Freeman Mbowe million 5.
6. Waziri mkuu wa india...
Watanzania wanataka ;-
Hali bora za maisha.
Ajira
Biashara zao zifufuke na kukua
Mzunguko wa fedha uwe mzuri
Uhuru na haki vitamalaki.
Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado...
Amani iwe nanyi wadau,
Kama mnavyojua watanzania, kampeni zimeanza rasmi kwa ajili ya uchaguzi Mkuu. Vyama Vikuu vinavyoshindana mwaka huu kwa Upande wa Tanzania bara ni Chadema na CCM na upande wa Tanzania visiwani ni ACT na CCM.
Ni siku ya pili tangu kampeni zianze rasmi leo naomba niwape...
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake katika mkutano wao wa kuzindua Kampeni za Mgombea wao wa Urais katika viwanja vya Zakheim, Mbagala Jijini Dar es Salaam, jioni hii.
TBC1 na TBC Taifa kama chaneli za umma...
Imani tuliyonayo watanzania kwa jemedari wetu wa mapambano dhidi ya ufisadi, rushwa, uhujumu uchumi na uzembe ni wa kiwango kisichotiliwa shaka yoyote hususani kwa tukio lilipo mbele yetu la uchaguzi. Binafsi , mimi ni mmoja wa waumini safi wa kazi na misimamo ya Rais Magufuli kwa rasilimali...
Ndugu watanzania wenzangu, Kipekee napenda kumshukru Mungu kwa kunipa siku ya leo.
Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa vyama vingi vya siasa, CHADEMA imekuwa na wagombea uraisi kama vile: Mhe. Mbow, Mh. Dr. Slaa, Mh. Lowasa. Waheshimiwa hawa hawakuwa na makando makando ya wazi ya kuwa na mkono wa...
Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania
Updates
----
Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form
UPDATE:-...
Binafsi sijawahi kuwa Mwanachama wa chama Chochote Cha Siasa. Yeyote anayefanya vizuri Mimi ni Mfuasi wake kwa Maslahi ya Tanzania.
Nawashauri CHADEMA waanze kumwandaa Tundu Lisu Kuanzia Sasa ili aje kuwa Mgombea wa Uraisi 2020.Huyu ni Mwanasheria Nguli Na ni Mtu anayejitambua sana. Kwa taaluma...
Tuacheni propaganda rahisi kiasi hicho zisizokua na kichwa wala miguu. Unapolalamika kua Lissu anakatwa na NEC kwa kipengele kipi cha Sheria? Taja hicho kifungu hapa hapa usiwe muongo muongo na mpotoshaji.
Kwa wanaodai kuwa alianza kampeni mapema hawajui sheria wanafanya propaganda. Hakuna kitu...
Wanajamvi Salaam,
Bw. Lissu katika muda wake wakufanya kampeni ya kutafuta wadhamini alisikika mara kwa mara akisema hatokubaliana na matokeo ya uchaguzi yakitangazwa iwapo kama hatotangazwa mshindi, akaenda mbele zaidi akawahamasisha wananchi waingie barabarani kupinga matokeo hayo...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2020 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Mohammed Dewji 'MO' amekutana na kuzungumza na Rais wa Shirikisho la Soka duniani FIFA Gianni Infantino kuhusu masuala ya maendeleo ya mpira wa miguu hususan barani Afrika.
Baada ya mazungumzo hayo MO Dewji amemkabidhi jezi ya Simba SC ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.